yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naandika uzi huu wa historia yangu ya mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja niliyempenda lakini wazazi wake wakaharibu na sasa wanajuta

    Naandika uzi huu wa historia yangu ya mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja niliyempenda lakini wazazi wake wakaharibu na sasa wanajuta Hii ni historia ya kweli na sio fiction. Katika maisha yangu nilimpenda binti mmoja na tuliendana sana kiasi kwamba tulipendana kwa dhati Wachawi wa mahusiano...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tuongelee kuhusu Matunda tuyapendayo

    Binafsi Matunda ninayoyapenda ni Parachichi, Papai, Ndizi Mbivu, Nanasi, Matunda Damu na Machungwa. Karibuni kila Mtu ataje Matunda yake pendwa.
  3. JamiiForums Tanzania Hali ya ndugu yangu imezidi kuwa mbaya naombeni msaada wa tiba

    Guys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
  4. JamiiForums Tanzania BONTA NAUZA KULA YANGU

    Bonta Maarifa ni Katibu wa Afya Halmashauri ya Ushetu Wilaya ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga. Makazi yake ni Kahama Mjini maeneo ya Igomero (Masaki). Lakini pia ni member wa Crew ya Weusi kampuni , crew ambayo ina wasanii kama Vile joe makin, nikk wa pili, lord eyez na G nako.. Bonta maarifa...
  5. JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa gani unaompata ndugu yangu huyu kila akisaini mkataba mpya?

    Ndugu zangu hili jambo linanitatiza sijui niseme ni ugonjwa au ni nini. Iko hivi, nina kaka yangu anaendesha bodaboda hizi za mikataba, sasa mara ya kwanza mwaka jana alikabidhiwa pikipiki mpya na boss wake akafanya kazi kama wiki hivi mara ghafla akaanza kuwehuka, yaani ni kama ukichaa hivi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maoni Yangu na Kinachoendelea Kwa Sasa

    Nakiri kuwa mimi sishabikii Simba, maoni nayotoa hapa sio ya kiushabiki bali ni uhalisia wa hali ilivyokuwa uwanjani 1.Pengo la Ahoua nadhani mmeliona. Zile faulo zilizokuwa zinapigwa pale nje ya box ingekuwa yule jamaa nadahni Mashujaa wangekuwa wameisha tangu kipidi cha kwanza. Wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Gari yangu haipandishi mshale wa speed na feni ya rejejeta haizunguki

    Wakuu habari Gari yangu haipandishi mshale wa speed ukiendesha pamoja na feni ya reheat haizunguki hivy kupelekea Gari kuchemsha shida inaweza kuwa nn? NB tatzo limeanza jioni hii wakati natoka job
  8. JamiiForums Tanzania Ili niamini kuwa kweli Wafanyakazi wa Tanzania wameongezewa kweli Mishahara yao 'Meidei' ya Leo naomba nijibiwe haraka Kwanza haya Maswali yangu....

    1. Kwa income ipi ya sasa hadi ipandishwe kwa Kiwango hicho? 2. Exportation capacity kwa Taifa kwa sasa ni ipi? 3. Kwa ulipwaji mkubwa wa Madeni je, tuna Jeuri ya kuwa na Fedha ya Kulipa Mishahara kwa 35%? 4. Tumeshaweza kuziba mianya mikubwa ya Rushwa nchini hadi tuweze kuwa na jeuri ya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nashangaa mzazi mwenzangu bado ana number yangu ya simu mpaka leo.

    Aliondoka nyumbani hapa na watoto na kila kitu chake tena kwa nyodo,akajiapiza hatokaa anitafute kwa lolote na number yangu ya simu anafuta. Sasa leo ktk kuperuzi huko whatsapp nakutana na status yake kaweka vifungu vya biblia, nijuavyo mtu kama hana number yako akiweka status wewe huwezi...
  10. JamiiForums Tanzania Kupatiwa mawazo juu ya afya yangu

    Habari zenu wana jamvi leo nimekuja kwa unyenyekevu mkubwa ndugu yenu naumwa hlf sijui nini kinanisumbua najua itawashangaza ila na huu ukubwa nilonao sijui naumwa nini ni vile najiskia vibaya mwili unakosa nguvu mda mwengine viungo vinauma tu mda mwengine kama nataka kutapika inafika mwezi wa 4...
  11. JamiiForums Tanzania Kila mpenzi wangu akishika simu yangu, anazidisha mapenzi na heshima kwangu

    Kuna muda ni kama analeta kunizoea, ila akishika simu akiangalia social media ninavyotongozwa, anajua kumbe yuko na " Dhahabu" Yenye thaman sana. Unakua sometimes wapenzi wetu wanatuzoea af wanatuchukulia poa sana. Ila wakiona kua tunahitajika, akili zawakaa sawa. Sometimes she forget that...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi msaaidieni ana hali mbaya kiuchumi

    Habari kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi ameishia form4 hajafanikiwa kuendelea na wazazi wake wamefariki mda kidogo. Amekuja Dar amefikia kwa rafiki yangu mwingine wa kike kwa maana mimi ni mwanaume nilimdirect kwa rafiki yangu wa kike. Tatizo linaanzia huyo rafiki yangu wa kike...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba mnishauri kuhusiana na huyu dada yangu mkubwa

    Mambo wakuu? Nina dada yangu mkubwa ana umri kama 38yrs hivi,sasa huyu dada alikua anaishi na mwanaume wake ila hawakua wamefunga ndoa,wameishi kama miaka 8 kama sikosei.wamebahatika kupata watoto watatu mpaka sasa, mumewe ni muajiriwa kwenye shirika flani kubwa tu hapa nchini,dada yangu yeye...
  14. JamiiForums Tanzania Wimbo wa ONLY GOD CAN JUDGE ME, Tupac alisema "Na wanasema ni Mzungu ninayepaswa kumuogopa, Lakini ni wa aina kama yangu ndio wanaofanya mauaji hapa"

    "And they say it's the White man I should fear, But it's my own kind doin' all the killin' here" Katika wimbo huu anaongelea experience yake alivyopigwa risasi wakati alipoenda kuwatembelea bad boys pale quad studios. Ni statement fupi ila iliojaa ujumbe mkuu kulingana na hivi vituko waafrika...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi content creator walivyoniharibia simu yangu.

    Ilikuwa hivi. Niliingia instagram jamaa akasema zima vitu vifuatavyo kwenye simu yako kuimarisha ulinzi wa taarifa zako. Ingiza settings Zima Google password manager Nikazima. Nikaenda settings nikazima payment method Nikaenda privacy and policy Access payments method ni kazima. Baadae...
  16. JamiiForums Tanzania Jamani hawa watumishi wa umma wameishalipwa ili niende kudai madeni yangu

    Tangu Jumamosi nilidhani wangelipwa, lakini hadi leo kimya. Isije kuwa wameshalipwa wakaamua kunyamaza. Biashara imekuwa ngumu jamani—wadeni wangu, kama mmepokea malipo, tafadhali msinisahau.
  17. JamiiForums Tanzania Nimegundua asili yangu ni nyoka, sitaua nyoka, wala hawatonidhuru.

    Maishani mwangu nimekuwa nikiwaua nyoka kwa namna rahisi sana. Sikuwahi kujua kwanini nyoka wakiniona huwa wanaduwaa, na kubako kunishangaa. Hata nikienda mbali kutafuta kitu cha kuwapigia nawakuta wapo tu hapo hapo, nawapiga, nawaua kisha najiona bonge la mwamba. Sasa nimepata enlightment...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu kuna kanisa la walokole

    Nifanyeje? Usiku na mchana ni kwaya tu, wakati mwengine wanatia kanda na kuwasha maspika ya nje wao wapo majumbani. Hawana Jumamosi, jumapili au ijumaa , siku zote wao ndio hivyo. Kuna shule karibu nao wanaipata Pata. Tufanyeje? Tuhame mpaka shule nayo tuihamishe?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Siku hizi wadada hawaombwi tena namba, bali mvulana unaulizwa kwa nini hunaga namba yangu

    Hasa Hawa wadada wanaocheza michezo ya mtu kutoka kila siku😃😁😁
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo la simu kusumbua chaji ni langu peke yangu?

    Eti wakuu Nina kama mwezi hivi ninanunua vichwa vya chaji na cable karibia laki imenitoka nikibadilisha kichwa hasa cha oraiomo ndo naona vinapatikana sana madukani vinafanya kazi baada ya week kinaanza kuzingua pia hata cable nabadilisha zinazingua baada ya muda. Naombeni uzoefu wenu watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…