yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Kila nikitaka kujiandikisha daftari la wapiga kura, sauti ya 'ILI IWEJE' inanijia masikioni, nami najeuka speed kali kuendelea na mambo yangu binafsi

    Kuna kila dalili kwamba sitahuisha kichinjio changu kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Nimejaribu mara mbili kuhuisha ila imeshindikana kabisa kufanya hivo, mara zote nikikaribia eneo la tukio, huwa inanijia ile sauti ya 'ili iweje', basi na mimi najeuka kwa kasi, nyuzi za pembe 180, naamua kuelekea...
  2. JAJ FASHIONS

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini biashara yangu ikue?

    Nimejiuliza sana juu ya kulinda na kukuza mtaji lakin siona mwanga mbele yangu tafadhali naombeni mnisaidie.
  3. Dr Chi

    JamiiForums Tanzania Sijafanya kitu chochote cha maana katika maisha yangu na nina umri wa miaka 32. Je, hii ni kawaida?

    Hakuna kitu katika maisha kitakachobadilika hadi tubadilike sisi wenyewe. Kulaumu hali, watu wengine, au hata bahati mbaya kunaweza kuonekana kuwa sawa kwa sasa, lakini huku kunatuacha bila nguvu. Unapoelekeza kidole chako kwa mtu mwingine kama sababu, unampa udhibiti wa maisha yako kwa nguvu...
  4. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania MREJESHO; Wa Kaka yangu aliyechanganyikiwa

    Guys, yule kaka yangu niliyewaambia alipatwa na ukichaa kwa mara ya pili baada ya kukabidhiwa pikipiki mpya, sasa tulihangaika na tiba kwa mtaalamu. Kwasasa ana nafuu kubwa kabisa japokuwa bado hajatulia kuna muda anakuwa anahisi kama watu wanaokuja kumuona wanataka kumfanyia vitu vibaya ila...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kitaalamu

    Habari! DVD yangu moja imegoma kusoma/haisomi. Nifanye nini kuisoma tena?
  6. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kukwepa deni kwenye account Yangu.?

    Nilikopa boom advance bhana, Sasa hili boom ndio la mwisho na hela ikiingia tu kwenye account inakatwa automatically na system Wazee wa IT nitumie njia gani kukwepa deni hili ??
  7. Nusratt

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu wa Kike simuelewi jamani!

    Naombeni ushauri au neno lolote. Hapa ninapoishi (Ubungo) nimepata mgeni wa kike. Dada huyu alikuwa ni rafiki yangu wa huko nyuma kabla sijaachana na ile kazi ya haramu niliyokuwa naifanya kule Mori na Dodoma. Sasa huyu mgeni kwanza nimeshangaa kapajuaje hapa ninapoishi na licha ya hivo pia...
  8. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa dada yangu Dr Tulia, epuka mizaha na Neno la Mungu.

    Kwa wakristo, tunaamini Neno la Mungu linapokujia ni vema kulitia moyoni na kulitafakari. Kulifanyia mizaha ni kufuru, ambayo madhara yake hayatambulikani. Zaburi 1: 1-2 Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa...
  9. AmKATRINA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safari yangu ya Pemba, Kojani kwa mganga, imerudi na mimba

    Rejea hapa safari yangu hii ya kwenda Pemba kutafuta mganga wa kienyeji kwa ajili ya kunitibia. https://www.jamiiforums.com/threads/naumwa-sana-nimefika-pemba-ili-nitibiwe-kienyeji-naombeni-msaada-wa-mtaalamu.2298569/ Sasa baada ya kushuka bandarini (Mkoani) nilipanda gari (coaster) ya...
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeona uchi wa mama wa rafiki yangu.

    Wakuu Kwa masikitiko makubwa sana naleta huu uzi hapa jamvini. Nimemtembelea rafiki yangu ambae aliniambia yuko likizo nyumbani kwao,sasa nimefika nikapiga hodi hakuna aliyeitikia,nikaamua kukaa nje tu pale nisubiri wahusika waje,huyu jamaa kwao wanatumia bafu la nje,nikaona mlango wa bafu...
  11. Isenye

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa yangu ni mchawi au ni roho mbaya tu?

    Huyu mshikaji wangu nashindwa kumuelewa,tuko nae kwenye harakati kitambo tu ila naona ni kama kaanza kuwa na roho ya kichawi hivi. Yeye ameanza hizi harakati za kupiga paper za ajira za serikali kitambo tu na kwa maelezo yake hajawahi kufika oral hata moja. Sasa me mwaka huu nilimuambia tukaze...
  12. Mr Why

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naandika uzi huu wa historia yangu ya mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja niliyempenda lakini wazazi wake wakaharibu na sasa wanajuta

    Naandika uzi huu wa historia yangu ya mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja niliyempenda lakini wazazi wake wakaharibu na sasa wanajuta Hii ni historia ya kweli na sio fiction. Katika maisha yangu nilimpenda binti mmoja na tuliendana sana kiasi kwamba tulipendana kwa dhati Wachawi wa mahusiano...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tuongelee kuhusu Matunda tuyapendayo

    Binafsi Matunda ninayoyapenda ni Parachichi, Papai, Ndizi Mbivu, Nanasi, Matunda Damu na Machungwa. Karibuni kila Mtu ataje Matunda yake pendwa.
  14. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Hali ya ndugu yangu imezidi kuwa mbaya naombeni msaada wa tiba

    Guys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
  15. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania BONTA NAUZA KULA YANGU

    Bonta Maarifa ni Katibu wa Afya Halmashauri ya Ushetu Wilaya ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga. Makazi yake ni Kahama Mjini maeneo ya Igomero (Masaki). Lakini pia ni member wa Crew ya Weusi kampuni , crew ambayo ina wasanii kama Vile joe makin, nikk wa pili, lord eyez na G nako.. Bonta maarifa...
  16. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa gani unaompata ndugu yangu huyu kila akisaini mkataba mpya?

    Ndugu zangu hili jambo linanitatiza sijui niseme ni ugonjwa au ni nini. Iko hivi, nina kaka yangu anaendesha bodaboda hizi za mikataba, sasa mara ya kwanza mwaka jana alikabidhiwa pikipiki mpya na boss wake akafanya kazi kama wiki hivi mara ghafla akaanza kuwehuka, yaani ni kama ukichaa hivi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Maoni Yangu na Kinachoendelea Kwa Sasa

    Nakiri kuwa mimi sishabikii Simba, maoni nayotoa hapa sio ya kiushabiki bali ni uhalisia wa hali ilivyokuwa uwanjani 1.Pengo la Ahoua nadhani mmeliona. Zile faulo zilizokuwa zinapigwa pale nje ya box ingekuwa yule jamaa nadahni Mashujaa wangekuwa wameisha tangu kipidi cha kwanza. Wakati...
  18. Revolution 22

    JamiiForums Tanzania Gari yangu haipandishi mshale wa speed na feni ya rejejeta haizunguki

    Wakuu habari Gari yangu haipandishi mshale wa speed ukiendesha pamoja na feni ya reheat haizunguki hivy kupelekea Gari kuchemsha shida inaweza kuwa nn? NB tatzo limeanza jioni hii wakati natoka job
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ili niamini kuwa kweli Wafanyakazi wa Tanzania wameongezewa kweli Mishahara yao 'Meidei' ya Leo naomba nijibiwe haraka Kwanza haya Maswali yangu....

    1. Kwa income ipi ya sasa hadi ipandishwe kwa Kiwango hicho? 2. Exportation capacity kwa Taifa kwa sasa ni ipi? 3. Kwa ulipwaji mkubwa wa Madeni je, tuna Jeuri ya kuwa na Fedha ya Kulipa Mishahara kwa 35%? 4. Tumeshaweza kuziba mianya mikubwa ya Rushwa nchini hadi tuweze kuwa na jeuri ya...
  20. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashangaa mzazi mwenzangu bado ana number yangu ya simu mpaka leo.

    Aliondoka nyumbani hapa na watoto na kila kitu chake tena kwa nyodo,akajiapiza hatokaa anitafute kwa lolote na number yangu ya simu anafuta. Sasa leo ktk kuperuzi huko whatsapp nakutana na status yake kaweka vifungu vya biblia, nijuavyo mtu kama hana number yako akiweka status wewe huwezi...
Back
Top Bottom