Maoni yangu ufanano wa dini ya Kiislamu na Kiyahudi

Mateso chakubanga

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2021
Posts
649
Reaction score
903
Nimekua nikifuatilia dini hizi mbili kubwa katika mambo kadhaa kama yafuatayo
Wote huamini maandiko ya mwanzo yasiobadilika
.Wote huamuni Mungu ni mmoja wala hana mtoto.
Wote hulotaja jina la Mungu kwa ufanano Wayahudi Wanaia Yahwel,Waislamu huita Yallah au Allah
.wote hawamuamini Yesu kama mwana wa Mungu
.Wote wana vaa kofia wayahudi kofia kama ya papa na waislamu kofia inayoziba kichwa chote
.Wanawake wao Hujifunika kichwa
.Wote wana fuga ndevu ingawa wayahudi zinaanzia kichwani kushuka na Waislamu zinaanzia kidevuni
.Wote wana sujudu chini
.Wote huvaa nguo ndefu wanawake na wanaume
Upande wa salam, au amani wanasema Salam ama shalom kuna ufanano wa kivumishi M
 
Nimekua nikifuatilia dini hizi mbili kubwa katika mambo kadhaa kama yafuatayo
Wote huamini maandiko ya mwanzo yasiobadilika
.Wote huamuni Mungu ni mmoja wala hana mtoto.
Wote hulotaja jina la Mungu kwa ufanano Wayahudi Wanaia Yahwel,Waislamu huita Yallah au Allah
.wote hawamuamini Yesu kama mwana wa Mungu
.Wote wana vaa kofia wayahudi kofia kama ya papa na waislamu kofia inayoziba kichwa chote
.Wanawake wao Hujifunika kichwa
.Wote wana fuga ndevu ingawa wayahudi zinaanzia kichwani kushuka na Waislamu zinaanzia kidevuni
.Wote wana sujudu chini
.Wote huvaa nguo ndefu wanawake na wanaume
Kofia/kifiyyeh(barghashia) si uislam
 
Back
Top Bottom