yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mama yangu ananilazimisha niingie uchawini, wakuu nifanyeje

    Mm ni mtoto peke katika familia ya mama na mtoto mmoja ambae ni mimi Mama yangu ananambia ni mda wa mimi kwenda kurithi mikoba yake huko uchawini kwao Mm nimekataa ila amenitishia atanichukua kwa nguvu na sitorudi tena abadan Kanambia ni chague moja niende mwenyew nijiunge au anichukue kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Nimefanya kosa kubwa Sana, Siri yangu ya muda mrefu imefichuka

    Juzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio mazuri hayajatulia, si akaanza kucheka bwana, ananiambia unasema huna hela wakati niliona risiti kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC yangu Ahmed Ally tafadhali popote pale ulipo nakuomba unijibu haya Maswali yangu....

    1. Nani aliyekuambia kuwa Simba SC ikitangaza Kufungwa Mechi zake za Pre Season huko Misri ni vibaya kwa Mashabiki? 2. Kama umesema Watu wa Kitengo cha Habari Simba SC mmekubaliana msitoe Taarifa yoyote ya Matokeo ya Mechi za Pre Season huko Misri katika Page ya Simba SC ili kutowashtua...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji IST Old Model budget yangu 8-9.5m

    Nahitaji IST Old Model namba ya usajili yoyote ile but yenye vigezo vifuatavyo: 1. Body iwe nzuri 2. Mwaka wa usajili kuanzia 2017 kuendelea, ili niweze kulipia bima kubwa. 3. Iwe na AC 4. Engine iwe vizuri 5. Gearbox iwe vizuri 6. Ikiwa na bampa kubwa ni vizuri zaidi japo sio muhimu sana...
  5. JamiiForums Tanzania Namtafuta kijana wa rafiki yangu

    Huyu kijana baada ya baba yake kufariki alikaa kwangu.... kwa kifupi baba yake alikuwa ni rafiki yangu sana,,,tulisafiri nae mikoa mbalimbali ya Tanzania kibiashara..... HUyu rafiki yangu asili yake ni Uarabuni,,,,na huyu kijana wake mama yake ni mswahili kutoka huko mikoani tunakofanya...
  6. JamiiForums Tanzania Huyu Mchezaji wa Taifa Stars PIPINO JR anakimbia kimbia tu Uwanjani hana Tija

    Ni nadra sana kukuta Mchezaji wa Mpira wa Miguu mwenye Matege mabaya kama yake akawa anajua Mpira. Ilitokea bahati tu kwa Marehemu Ramadhan Lenny kuwa nayo na hakika alikuwa na Kipaji cha hali ya Juu hasa katika Nafasi ya Kiungo wa Juu na cha Chini. Hebu upesi sana Kocha Hemed Morocco amtoe...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Walimwengu ninechanganyikiwa; Nimezifuma meseji za mpenzi wangu akimuomba jamaa amuoe kwa kutumia vocha yangu!!

    Mbaya zaidi amezituma muda mfupi tu baada ya kumtumia vocha, Kinachouma sana ni kwamba kazituma akiwa ndani ya gari anakuja kwangu baada ya kumtumia nauli (nilidhani atakuwa ananifikiria Mimi kumbe sivyo mbwa huyu)., Inasikitisha amemshawishi jamaa ikiwezekana abadilishe dini hata kwa kuzuga...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini ipo hivi, yaani unakuta hii inajulikana kabisa kwamba ipo hivi alafu inakua vile au mawazo yangu ni tofauti sana?

    Kipindi kile nilipenda sana somo la geographia, yaani baada ya kujua kusoma bwinde uko kijijini basi mwalimu yule aliefundisha somo la maarifa ya jamii hakika alinivutia sana. Yule mwamba alikua na story nyingi sana katika kusoma. Mara Dunia ina mabara saba, mara mto mrefu kuliko yote Dunian...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Sitomsahau Rais Magufuli, machozi hutiririka ninapowaona aliowaamini wakimsaliti waziwazi

    Hivi Rais Samia anafuraha moyoni mwake kukaa na mafisadi waliokataliwa na mtangulizi wake?Chukulia Mama yako mzazi anakula na kunywa na wale maadui wa marehemu baba yako huku ukijua kifo cha baba yako kilikuwa na utata? Hivi huyu Mama nastahili kumpa heshima ya kumuita Mama yangu, kila...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nina visa kadhaa vya kusisimua katika maisha yangu, ni wapi naweza kuiuza kwa watengeneza movie / series ?

    Ni visa ambavyo vimewahi kufanya watu wanisikilize kwa umakini mkubwa, kuwa na hamu ya kuendelea kuwasimulia nilipoishia na kuniomba updates. Sioni haja tena ya kusimulia visa vyangu kama hakuna pesa, ni wapi naweza kuuza hivi visa ambavyo ni true life stories na nipate motivation ya kuingia...
  11. JamiiForums Tanzania Je ninaweza kuongeza daraja class E katika leseni kama nina cheti cha class E hata kama leseni yangu ndogo haikutimiza mwaka au hata kama ina mwaka

    Naombeni muongozo wakulu Elewa swali.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, shupaza Shingo kabisa, Huu ni ujumbe kutoka kwa bibi yangu

    Tangu alipochukua uongozi wa nchi baada ya mtangulizi wake kufariki, Rais Samia amekumbana na upinzani mwingi kutoka ndani na nje ya Chama chake. Ndani ya Chama chake wapo ambao hawakutaka Samia aapishwe kuwa Rais kama Katiba inavyosema kwani yeye ndiye alikuwa Makamu wa Rais. Hawa walikuwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Eti umeme ukikatika kwangu na jirani yangu professor wa chuo kikuu pia umeme kwake unakatika 🤣🤣🤣

    Wasomi wa tz hawana mbinu za kutatua matatizo Ni documents tu nyingi Zaidi ya hapo umkute msomi wa bongo hasubuhi kwenye magaazeti chakwanza hanunui gaazeti yeye anachambua tu vichwa vya habari
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Eric Shigongo: Buchosa tulikuwa tunasafiri masaa tisa hadi Mwanza, sina pesa za kugawa mnihukumu kwa matendo yangu

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema kuwa barabara za sasa ni bora zaidi kuliko za miaka iliyopita, ambapo zamani ilichukua hadi saa 9 kusafiri kutoka Buchosa hadi Mwanza Mjini. Shigongo ameongeza kuwa katika kipindi cha miaka mitano ya uongozi wake, mapato ya halmashauri yameongezeka na...
  15. JamiiForums Tanzania Nime share a hotel room na rafiki yangu wa kiume

    Kuna my friend wa kazini mwanaume tulikua na training mkoani so akasema tupunguze gharama tu share hotel room, nikasema it’s fine, Basi kufika uko hotelini akaanza mambo ya ajabu akaenda kuoga, katoka hajavaa nguo ikabidi mimi nijifanye nipo busy naangalia movie, Aya akapanda kitandani kulala...
  16. JamiiForums Tanzania Maombi yangu kwa Mungu kwa ajili yako Lissu

    Sina kizuri cha kuandika Mungu yupo pamoja nawe, Nipo nasikiliza wimbo wa Aswagile: Alienikoa nikakukumbuka mwamba uliekubali ufe umesimama katika kweli , najua wapo wanaokubeza leo ila kesho haipo mbali watakulilia hata ukiwa kaburini.😭😭😭
  17. JamiiForums Tanzania MSAADA: Fani niliyosomea imegawanyika mara mbili AJIRA PORTAL

    Niende moja kwa moja, Nimesoma Ordinary Diploma in Laboratory science and Technology... Pale kwenye kuchagua kozi kuna Diploma in Laboratory science and technology na pia kuna Diploma in Laboratory technology Changamoto ni kuwa nimechagua Diploma In Science and Laboratory Technology...kazi...
  18. JamiiForums Tanzania Safari Yangu ya Masters, Changamoto na Ushindi

    Mwaka juzi, kama mwezi wa kumi, nilikuja hapa JamiiForums kuomba ushauri kuhusu kusoma Masters mara tu baada ya kumaliza Degree yangu ya kwanza. Asilimia kubwa ya wadau waliniponda. Baadhi waliniambia, “Another jobless”, wengine, “Degree ya kwanza haijakulipa, unatafuta nyingine?” Lakini...
  19. S

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Nauza TV Samsung inch 55, bei kitonga

    TV imetumika miezi 4, bei 1,200,000 Tu. Location: Jet Lumo (Dar es salaam) Contact: 0620813101
  20. U

    JamiiForums Tanzania Bado Hadi sasa najiuliza kwanini klabu yangu ya Yanga waliacha kumsajili Shomari Kapombe

    Niwatakie usiku mwema ila naamini walifanya makosa ya kiufundi kuacha kumchukua . Anyway mwakani wasirudie kosa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…