Klabu ya Yanga Sc leo imeingia mkataba wa miaka mitatu na kampuni ya Haier wenye thamani ya shilingi bilioni tatu, haier watakaa kwenye bega la kushoto jezi ya Yanga kwa misimu mitatu.
Je, unadhani thamani ya mikataba inayoingiwa na timu zetu za Tanzania inaendana na hazi na ukubwa walionao?