Ushabiki wa Simba na Yanga unatweza utu wetu

Ushabiki wa Simba na Yanga unatweza utu wetu

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
21,775
Reaction score
57,245
IMG-20250807-WA0144.jpg


Cc:
GENTAMYCINE Kalpana Numbisa Tate Mkuu UMUGHAKA Kipenzi Changu Mshana Jr Nifah Shadeeya
 
Ninachowapenda wanasimba hata wawe wanapitia hali mbaya kiasi gani hawakubali kuwa wanyonge, lazima tu watatafuta hoja za kuwafanya uto wajione kuna mahali simba wamewazidi, sasa hivi ujinga wa mashabiki wa uto unafichwa na timu yao kubeba makombe ila siku si nyingi wanarudi huku acha tusubiri

Screenshot_20250807_235545_WhatsApp.jpg
 
Huu siyo ushabiki. Ni ujinga. Ushabiki wa kutukanana na kudhalilishana, badala ya kutaniana; haukubaliki hata kidogo.

Binafsi ni Yanga lia lia. Ila kama mwanamichezo, nilifurahishwa na goli la Shomary Kapombe pamoja na uwezo alio uonesha kwenye ile mechi. Na ndiye aliyeamua matokeo ya ushindi kwa Taifa Stars! The same kwa Mzize (aliyesababisha penati), Sopu, Zimbwe pamoja na wachezaji wote kwenye mechi ya ufunguzi.
 
Back
Top Bottom