yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Kamati ya ufundi Yanga walimhujumu Likud kwenye mechi dhidi ya CR Belouzdad

    Nianze kwa kueleza kusikitishwa kwangu na kiwango kidogo cha uelewa kilicho onyeshwa na baadhi ya wana jf ambao walikuja kuushushua utabiri wangu baada ya mechi. Komenti za wana jf hao zilinifanya nikumbuke maneno ya mtu mmoja mwenye hekima na busara ambae aliwahi kusema kwamba " The same...
  2. JamiiForums Tanzania Nyie Manara TV acheni kutuongopea

    Kuna huyu mtangazaji wa Manara TV anayehoji watu kwa kifaransa, leo alimuhoji mchezaji wa ASEC Mimosas. Watu wamekuwa wanamsifia sana huyu dogo kisa ufahamu wake wa lugha ila ukiangalia inaonyesha hajawahi kupitia mafunzo yoyote ya uandishi wa habari kwa sababu kuna vitu vingi anavikosea ikiwemo...
  3. JamiiForums Tanzania The Advantage of being a latecomer: Yanga tunalo la kujifunza kwa Simba

    Miaka ya 2000 Mwanzoni, Mpira wa Uingereza—ligi fuatiliwa zaidi duniani—ulikuwa umetawaliwa na Klabu Mbili tu; ARSENAL na MANCHESTER UNITED. Liverpool alikuwa msindikizaji, Manchester City alikuwa bado 'chandimu'. Chelsea walikuwa na timu nzuri sana—Frank Lampard, John Terry, Joe Cole, Petr...
  4. JamiiForums Tanzania Yanga walicheza jana kama wanacheza na Pamba fc Kirumba Stadium

    Ukiangalia gemu ya jana Yanga anakula vyuma vitatu dhidi ya waAlgeria ni kama Jana Yanga walijisahau wakahisi wanacheza na Pamba ya Mwanza au Lipuli ya Iringa na kusahau wale ni professional players wamekamilika kila idara. Ukifanya kosa moja tu lazima watakuadhibu na Yanga walifanya makosa...
  5. JamiiForums Tanzania YANGA tupo IMARA tutafanya vizuri mechi zinazofuata sema mfumo ulituponza

    Huu mfumo wa 4:2:3:1 ni mfumo mbovu kwenye mashindano ya kimataifa yenye waamuzi wazuri na teknolojia ya VAR, Huo mfumo huzalisha offside nyingi pia unaruhusu mashambulizi ya pembeni, huu mfumo unafaa kitumika sana huku kwetu kwenye marefa wa kimakosa ya kibinadamu (marefa wabovu) Siku zote...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kilichoiponza Yanga ni ile kuambiwa wao ni Club ya 3 kwa Ubora Afrika

    Kuna rank ya kipuuzi iliyotolewa na watu wanaoitwa IFFHS sijui kama nimekosea jina, jamaa hawajui kabisa mpira Nilivyoona ile list mimi nikajichekea tu, mashabiki wasiokuwa na uelewa wakashadadia kweli kuwa timu yao ni ya 3 kwa ubora Afrika, wakati hata haijawahi kushiriki klabu bingwa kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga yupo kwenye kundi gumu ila fixture inaweza kumbeba

    Jana Yanga wamepoteza dhidi ya Belouizdad kwa kufungwa goli tatu kwa bila. Kimpira, Yanga alicheza soka safi sana na walikuwa wanapiga mipira ya kasi sana ila safu ya ulinzi ikawa inajisahau sana kurudi, magoli wamefungwa ya counter attacks nadhani ni somo kwao ni vitu vidogo sana...
  8. JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa sana na Kipigo Walichopokea Yanga kutoka kwa Belouizdad

    Habari wakuu, Kiufupi nimepokea matokeo haya kwa Furaha iliyotukuka, Nafikiri sasa ni wakati sahihi wa Yule Rais wenu mbea aliyepeleka umbea kwa Rais wa Fifa kwamba Simba imefungwa 5. Sasa ni wakati sahihi pia amwambie Rais wa Fifa kwamba na Wenyewe wameshikilia Bomba huku pande za Algeria...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ule Uzi wa Saa 1 Ijumaa wa GENTAMYCINE aliyesema matokeo ya Yanga na Mwarabu ni ama 2-0 au 3-0 umepotelea wapi?

    Na naukumbuka tena kama kawaida yake Alifumba na Kuuliza / Kutuuliza je, tunadhani ni Timu gani kati ya Yanga SC na CR Belzoud FC itafungwa Magoli hayo ama 2 kwa 0 au 3 kwa 0? Team GENTAMYCINE tunauhitaji huo Uzi ili tuweze Kuuchangia na kumpa Maua yake GENTAMYCINE ambaye pamoja na kwamba...
  10. JamiiForums Tanzania Yanga yatangaza Viingilio vya Match yake dhidi ya Al Ahly, thamani ya KADI ya Uanachama inaanza kuonekana

    Mabingwa wa Kihistoria Nchi Vijana wa Africa,Ama Young Africans kwa Lugha ya King Charles wametangaza viingilio vya Match yake dhidi ya Vijana kutoka kwa Farao..Al Ahly Sc. Hapa walio na kadi ya Uanachama wanaanza kula Matunda na Club itavutia sana watu wengi kuchukua kadi za uanachama Hai...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Yanga akishinda leo nipigwe ban

    Kwa jinsi hawa Belouzdad ninavyowajua , na kiwango walichokuwanacho sasa hivi, Yanga anakufa sio chini ya goli tatu. Tukutane baada ya mechi
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kinachonipa hofu mechi ya Yanga, ni wachezaji kutokuwa pamoja kambini hivi karibuni wakitumikia timu zao za Taifa kufukuza Fainali za Kombe la Dunia

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, hii ndio hofu yangu kwa mechi ya leo kwani baadhi ya wachezaji wetu wa humu ndani na wale wa kimataifa, walikuwa wanatumikia timu zao za Taifa katika kusaka nafasi ya kushiriki kombe la Dunia mwaka 2026. Sasa sijui wamekaa kambini kwa siku ngapi ingawa bado...
  13. JamiiForums Tanzania Slogans za Simba SC na Yanga SC. Simba "Kwa Mkapa Hatoki Mtu", Yanga " Ugenini Tunaua Mwenyejì"

    Kuna tofauti kubwa sana kati ya Simba na Yanga, kuanzia kwenye slogans, fighting spirit, scouting, management na kila kitu. Kwetu sisi Azam tuna mengi ya kujufunza kutoka kwenye timu hizi kubwa.
  14. JamiiForums Tanzania FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

    Leo ndo leo majira ya saa 4 usiku Yanga sc watakuwa wanacheza mechi yao ya kwanza katika ligi ya mabingwa Afrika Mungu ibariki Yanga SC. Kikosi cha Yanga YANGA YAANZA VIBAYA MAKUNDI CAF, YAPIGWA 3-0 UGENINI Ikicheza kwenye Uwanja wa Stade du 5 Juillet Nchini Algeria, Yanga imeshindwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kauli Mbiu hii ya SKUDU tuishi nayo Wana-YANGA, Hii ni moja ya Kauli Mbiu nyingine nzuri sana

    Kuna video moja Skudu Kijana ya Amapiano kutoka kwa Mzee Mandela. Ametoa Kauli ambayo sisi kama Mashabiki wa Yanga Tumeikubali na Tumeipitisha. #The SUN is YELLOW....The LAND is GREEN...The colors of the Universe! #Hii Imeenda
  16. JamiiForums Tanzania Yanga inakuwa timu ya kwanza duniani kucheza mpira angani

    Mie ni Simba lkn yanga ni kiboko dunia hii https://www.facebook.com/reel/724883866181121/?mibextid=ZKlF025XJ6KyrSs8
  17. JamiiForums Tanzania Yanga yazindua jezi zake kuelekea Ligi ya Mabingwa Africa, ni kali sana

    Dakika chache zilizopita Yanga wamezindua jezi zake kwa ajili ya klabu bingwa africa. Ni jezi nzuri mwananchi usipange kuzikosa. Nashindwa kupandisha picha hapa ila jezi ni kali, Sheria Ngowi apewe maua yake
  18. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga acheni kuingiza porojo za siasa michezoni, somo la jana mmeliona

    Hakuna haja ya kuleta ujinga kama huu uwanjani, jana Taifa Stars imedundwa na wananchi wameshangilia.
  19. JamiiForums Tanzania Wana yanga sc tuna jambo letu ikifika saa 7 kamili usiku tunatambulisha uzi wa kimataifa

    𝐔𝐙𝐈 bora kwa Mashindano Makubwa Afrika ni Saa 7 Usiku! Mwananchi Kaa Tayari….. #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
  20. JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…