yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 5 - 0 Ihefu SC | NBC Premier League | Azam Complex | 11.03.2024

    🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐔𝐏🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC🆚Ihefu FC 📆 11.03.2024 🏟 Azam Complex 🕖 12:00 Jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Ihefu SC Mpira umeanza Dakika ya 5 Yanga SC 0-0 Ihefu SC Dakika ya 10 GOAAAAAAL Pacomeeeee Dakika ya 15 Yanga SC 1-0 Ihefu SC Dakika ya 19 Yanga SC wanakosa...
  2. JamiiForums Tanzania Tafakuri: Mwaka huu Yanga wanashindana na Yanga wenyewe

    🎙️ ALI KAMWE: “Msimu huu Yanga SC wanashindana na Yanga wenyewe, hizo timu nyingine zinawania nafasi ya pili na kushiriki ligi ya mabingwa au shirikisho. Tumejiwekea malengo yakufikisha points 85 ambazo msimu ulipoita hatukuzipata.”
  3. JamiiForums Tanzania Hadi hapa Yanga ni Bingwa Msimu huu wa 2023/2024, Kwa Sababu Kuu hizi 2.

    Habari Mwana-Jukwaa La Sports. Nianze Kwa kusema Soka La Afrika linatofauti Kubwa sana Na Soka La Ulaya ambapo uwekezaji ni Mkubwa na Mchezo huu umepiga hatua kubwa sana. Ulaya kwenye Nchi zenye Ligi Kubwa na Maarfu kama Vile England,Spain,Italy,Ujerumani,Ufaransa,Ureno,Uholanzi na Mataifa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yanga msimu huu wa Simba dhaifu wekeni record mpya ya goli 12

    Kama mliweza kuwafunga goli 5 nina uhakika mkikutana tena mnaweza kuwafunga goli 9 au 12. Kwa ubora mlio nao kwa sasa na unyanya walionao Simba ya sasa nawashauri kaeni chini mkubaliane kuweka record mpya. Yaani goli chache ziwe ni 9
  5. JamiiForums Tanzania Sitaki habari za simba na yanga: Jiheshimu uheshimiwe

    Hivi huko Tanganyika huwa mnasoma somo la nidhamu mashuleni? Umekutana na mtu, wala hamfahamiani kihivyo, hujui anapenda nini, hujui anavutiwa na nini, unakurupuka tu? Nani aliwaambia kila mtu ni shabiki au mfuasi wa mpira? Umekutana na mtu, wala havutiwi hata na mipira, unaanza kuleta...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Yanga leo kacheza vibaya na Namungo

    Leo yanga kacheza mpira wa papatu. very bad football. Bila AUCHO kazi wanayo yanga. Sure Boy bado sana kuwa sita bora. Leo ni neema tu imewabeba ila very low tempo football amna furaha yoyote. yanga can do better. wanajua ball ni swala la morali kama imeshuka vile over achievement kama Bayern...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Simba kushindana na Yanga msimu huu ni ngumu sana

    Huu ndo ukweli mchungu kwa wanasimba ni ngumu sana kushinda na Yanga kwenye mbio za ubingwa wa nbc premier league Nafasi ipo ila ni ngumu kutoka na aina ya mpinzani unayeshindana naye ambaye ni Yanga
  8. JamiiForums Tanzania Kocha Nabii aipongeza Yanga kwa kumfunga Simba Goli Tano

    "Nafurahi sana kusikia Yanga SC inafanya vizuri, hiyo ni familia yangu, sijaondoka kwa ubaya Yanga, ni familia ambayo niliachana nayo kwa muda huku nikiwa na huzuni kubwa moyoni" "Nafurahi kuona mambo yanaendelea vizuri hapo Yanga, hata walipowafunga Simba mabao (5) nilikuwa na furaha kubwa...
  9. JamiiForums Tanzania Dube aaga rasmi Azam FC

    Mshambuliaji Prince Dube raia wa Zimbabwe ametangaza kuachana na Azam FC baada ya kudumu klabuni hapo kwa miaka minne. Hivi karibuni zilitoka taarifa za mshambuliaji hiyo kuomba kuondoka, Azam FC walithibitisha taarifa hizo na kuweka wazi kuwa hawamzuii ila taratibu zifuatwe. Mchezaji huyu...
  10. JamiiForums Tanzania Prince Dube arudisha kila kitu Azam FC, inasemekana anaenda kutafuta maisha mpya Kariakoo

    Mchezaji wa Azam FC PRINCE DUBE amerudisha kilakitu cha klabu hiyo ikiwemo nyumba na kuondoka kambini. Dube aliiandikia klabu hiyo barua akiomba kuondoka klabuni hapo baada ya kuishi Chamazi kwa miaka 4 sasa. Dube anahusishwa kutaka kutafuta maisha mapya ‘Kariakoo'. == Pia soma: Klabu ya...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ishu ya Prince Dube na Fei Toto ni tofauti, huyu mwanasheria wa Yanga mbona sio muelewa?

    Nimeona post ya mwanasheria wa Yanga nae anashadadia eti Azam kuwa walichokifanya kwa Fei ndio wanachofanyiwa hivyo wajifunze Sasa kwa Prince Dube Azam wamesema hela ya kuvunja mkataba wake ni milioni 765, Dube alipe hiyo hela aondoke, hawajamzuia kuondoka kwenda popote Lakini kwa Feisal...
  12. JamiiForums Tanzania Kumekucha sakata la Prince Dube na Azam

    [emoji599]| PRINCE DUBE UPDATES [emoji617] Mazungumzo kati ya Azam na Striker wao, Prince Dube yanaendelea ambapo Azam wanahitaji kiasi cha USD 300,000 sawa na Tsh 765M ili kumuachia mchezaji huyo huku Prince Dube akiwa tayari kulipa kiasi cha USD 230,000 sawa na Tsh 586M ili aweze kuondoka kwa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Dube kuomba kuondoka Azam

    Klabu ya Azam imethibitisha kupokea barua ya PRİNCE DUBE akiomba kuondoka kwenye klabu hiyo. Taarifa ya klabu inasema Azam FC wamemjibu na kumwambia anaweza kuondoka ila kwa kufikiwa kwa vipengele vya mkataba, yani kama klabu nyingine au yeye mwenyewe anaweza kuilipa Azam FC pesa waliyoweka...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga ndio timu mbovu kwa sasa kwenye hatua ya robo final club bingwa

    Hapo vip!! Mpira ni mchezo wa wawazi na data hazidanganyi. Kwa tathmini inavyoonyesha yanga ndio timu dhaifu na mbovu kwa sasa katika hatua hii ya robo final club bingwa kwasababu zifuatazo: 1. Ndio timu pekee iliyoingia na point chache na za mwisho kuliko timu zote. 2. Ndio timu inayoongoza...
  15. JamiiForums Tanzania Klabu ya Azam FC imethibitisha kupokea barua kutoka kwa mshambuliaji Prince Dube akiomba kuvunja mkataba

    Klabu ya Azam FC imethibitisha kupokea barua kutoka kwa mshambuliaji Prince Dube akiomba kuvunja mkataba wa kuwatumikia Waoka Mikate hao ambao amewatumikia tangu mwaka 2020. Mkataba wa nyota huyo raia wa Zimbabwe aliosaini mwaka 2023 utamuweka klabuni hapo mpaka 2026. Hivyo sasa amebakisha...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Simba kumbe aliwekewa hujuma na timu 4 kubwa Asec, Wydad,. Yanga na Galaxy ili aisipenye robo fainali

    Aisee kweli mpira ni vita sasa ni wazi kumbe Simba alikuwa akipambana na hujuma kali kutoka kwa timu 4 ili asiingie robo fainali. Timu hizo ni Wydad ambaye aliamua kucheza mchezo mchafu na kwenda kuwahonga Asec wamuachie goli ashinde kwa uhakika. Timu nyingine ni Asec ambao walikubali kula...
  17. JamiiForums Tanzania Upinzani wa kimpira wa Yanga na Simba ni wenye manufaa na wakuigwa

    Bila kupoteza muda, nazipongeza timu zetu Yanga na Simba kwa kuingia kwenye hatua muhimu ya robo fainali Kimsingi, timu hizi zimeonesha uwezo mkubwa na hayo yote yanachangiwa na upinzani na utani wa jadi uliopo baina ya timu hizi mbili Hakika, kwa sasa hizi ndiyo timu zakuigwa ndani ya Africa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Rekodi za CAF: Yanga ndio timu iliyofuzu kwa pointi chache zaidi, Simba

    Hizi ndio rekodi za CAF msimu huu Mamelodi ndio timu iliyofuzu kwa pointi nyingi zaidi, 13 Yanga ndio iliyofuzu kwa pointi kiduchu zaidi , 8 Simba ndio timu iliyoshinda kwa ushindi mnono zaidi, 6-0 Lakini hii haina maana kuwa Yanga haitosonga, inaweza kuwa kama Ivory Coast
  19. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Yanga tunafanya hivi?

    Inatusaidia nini sisi? Haya kiko wapi? Na kama Simba wangeshindwa sisi tungefaidika na nini? Hizi ni roho za kichawi tu. Viongozi badilikeni acheni huu upumbavu. Mwishoni wote tunaonekana tu vilaza.
  20. JamiiForums Tanzania Simba SC yaipiku Yanga SC kwa kila kitu CAFCL

    Ama kwà hakika Mpirà ni mchezo wa wazi,hauna longolongo kwà watu wanaoamini Mpirà ni sayansi. Ni wiki sasa tangu ule upande wa MAJINI FC ushinde goli zao nne na kupelekea benchi zima la ufundi likiongozwa na msemaji wao Ally Komwe kuzimia na kulazwa Hospitali ya Mwananyamala 8kutokana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…