yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kakolanya Kutimukia Yanga Msimu ujao?

    Upo uwezekano mkubwa wa Beno kakolanya kurejea yanga msimu ujao. Inaelezwa yanga ipo kwenye mpango wa kuachana na Metacha mnata japo bado anamkataba wa mwaka mmoja umesalia. Beno kakolanya amebakisha mkataba wa mwaka mmoja ndani ya Singida fountain Get, Yanga na singida black stars (Ihefu)...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Fei Toto na Azam ilikuwa kete ngumu kwa Yanga

    Kwa mujibu wa Ricardo Momo Feisal Salum anapokea Mshahara wa 16M kwa mwezi familia yake nzima ikiwemo mama yake wamepewa kazi kwenye kampuni la Bkharesa Group Of Company na Mshahara si chini ya 2.5M. Wazazi wake wamejengewa nyumba ikiwa ni sehemu ya kumshawishi ajiunge na Azam. Dirisha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tunaisaka nafasi ya pili kwa udi na uvumba na tukishaipata TFF ,mtutaeleza kwanini Yanga imefungiwa na FIFA kusajili vinginevyo itakuwa kama Sigara

    Sisi sasa hivi tumeweka kiporo hoja ya Yanga kufungiwa kusajili kutokana na kumchezea mfumo, lakini tutakapomaliza nafasi ya pili mtatueleza ilikuwaje kuwaje hadi mkafungiwa, tumeshaandaa wanasheria kabisa wa kushughulikia hoja hiyo na wametuhakikishia ushindi upo dhidi ya uhuni katika soka hapa...
  4. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 1-0 Kagera sugar Fc | NBC Premier League | Azam Complex | 08.5.2024

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans🆚Kagera sugar FC 📆 08.05.2024 🏟 Azam complex 🕖01:00 usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar mpira umeanza dakika ya 5 0-0 dakika ya 10 0-0 dakika 13 yanga sc wanafanya shambulizi aziz k ananaswa kwenye mtego wa offside dakika...
  5. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Yanga inawafukuzia Philip Kinzumbi na Ellie Mpanzu, imeshaweka offa mezani

    Mpaka sasa Elie Mpanzu Kibisawala (striker) ana asilimia nyingi za kutua Yanga. Philip Kinzumbi (winga) ameshawekewa ofa ila Raja nao wameweka ofa mezani. Mpaka sasa kila kitu kipo kwenye mazungumzo bado hakuna aliyesaini.
  6. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Jonas Mkude ameshakula zaidi ya Tsh mil 300 za Yanga mpaka sasa na amecheza mechi 3 tu msimu mzima

    Wachezaji ni kama kausha damu tu, msimu mzima ucheze mechi tatu na uikamue klabu milioni 300 za mshahara, usajiri na bonus, wastani wa milioni 100 kwa kila mechi. Je, huu ni uungwana? Kwanini timu zisisajili wachezaji 24 kila mtu acheze kuliko kurundika watumishi hewa vilabuni
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC kwa huu Utani wenu mbele ya Kocha wa muda wa Simba SC Mgunda mmeniacha Hoi mno

    Yanga SC (Mashabiki) wanasema kuwa Kocha Juma Mgunda hana hata Wiki Simba SC tayari Nazi zimepanda Bei nchini! ==== Pia soma: Juma Mgunda ameridhika kuwasaidia kufundisha Simba SC na kusahau kuwa ana 'profile' kubwa katika Ligi ya Tanzania
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga atangaza atakavyo watambulisha Chama na Kibu

    Rais wa Yanga atangaza atakavyo watambulisha Chama na Kibu Rais wa Yanga amesema watamtambulisha mchezaji mpya ambapo kwa taarifa za ndani ni kati ya Kibu au Chama kabla ya msimu huu kutamatika Ameyasema hayo katika live ilikuwa katika page ya Instagram ya Ali Kamwe jana jioni ambapo wameacha...
  9. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Kwenu Mashabiki wa Simba na Yanga wenye Viherehere

    Tukiwa tunaelekea mwishoni kabisa kukamilisha duru ya mzunguko wa pili wa ligi kuu ya Tanzania,almaarufu kama NBC PREMIER LEAGUE,naomba niwakumbushe mashabiki wa Simba na Yanga ili ikiwezekana waondoe tongo tongo za ujinga ndani ya bongo zao! Klabu za Simba na Yanga ili zijiendeshe zinahitaji...
  10. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Yanga Kumsajili Mchezaji nyota wa timu kubwa, Bango lake kuwekwa kwenye Jengo linalotazamana na Timu hiyo

    Kutoka insta live ya ally Kamwe , Leo engineer HERSI ametupa wananchi breaking news ya moto 😅😅 Engineer HERSI amesema kuwa katika msimu huu wa usajili dirisha kubwa , Kuna mchezaji mmoja uyo fundi akisajiliwa , itatengenezwa bango kubwa lenye picha ya mchezaji huyo alafu litabandikwa opposite...
  11. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Watu katili katika football Simba vs Yanga

    Football ya Tz ina mambo mengi sana nje na ndani ya uwanja, kwa sasa yanga wana watu bora sana nje ya uwanja na ndani ya uwanja, wana pesa na nguvu pia katika serikali. Ikitokea mchezaji mzuri simba wanataka kumsaini na wao hizo taarifa wakazipata basi watafanya kila njia wao ndio wampate, kwa...
  12. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dube amesaini Yanga tayari

    Habari nilizonazo tayari Prince Dube amesaini mkataba na Yanga wa miaka miwili. Tutegemee kumuona Dube akikiwasha Jangwani msimu ujao.
  13. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Ina maana mikataba yote waliyosaini Yanga sc wamekosa pesa ya kumlipa Kambole au ni mikataba hewa?

    nimesikitika kuona Yanga sc kufungiwa kusajili kwa sababu ya kutomlipa pesa aliyekua mchezaji wa Yanga sc LAZARO kAMBOLE , kwa maelezo niliyoyapata ni kuwa FIFA waliiandikia barua YANGA mapema tu kuwa wamlipe pesa kambole lakini yanga walikaidi na kujisahaulisha SWALI LANGU: ina maana mikataba...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kutokana na matatizo ya kifamilia nimehamia yanga

    Hizi familia zina nini. Alieondoka kadai familia, Benchika nae familia problem. Na mimi nimeamua kuhamia rasmi Yanga kutokana na matatizo ya kifamilia.
  15. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Dawa ya simba kusonga mbele ni kukubali yanga wapo mbele zaidi yao.!

    Bodies of jamii forum I salute you..! Hii team inayoitwa simba kwa kweli inasikitisha.! Wana matatizo mengi sana lakini kwa uchache tunayajua na wao hawataki kuyakabili ili wasonge mbele! Inasikitisha WACHEZAJI!. SIMBA miaka hii inafeli upande wa usajiri, Sijui ni nani anawaletea wachezaji...
  16. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba kuibomoa Yanga, Azam

    Kwa taarifa ambazo nimepenyezewa nikuwa Simba imejipanga kufanya kufuru kwa KUIBOMOA YANGA huku ikipanga Kuondoka na wachezaji wanne kutoka Yanga na wachezaji wawili kutoka Azam. Simba inajiandaa kunasa saini za wachezaji Hawa kutoka Yanga ambao wamepangiwa Dau Nono la usajili pamoja na...
  17. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania Yanga yafungiwa tena kutokusajili mpaka walipe madai ya Lazarus Kombole

  18. vvvv

    JamiiForums Tanzania Tangu Yanga wafungiwe usajili na FIFA & CAF Pacome hakucheza tena

    Yanga walipopata barua toka kwa FIFA, CAF na TFF Pacome akapata injury, TFF imeficha jina la mchezaji aliyechezeshwa na Yanga wakati usajili wake wa utata. Wameamua wasimchezeshe kabisa, sheria inajulikana kila mechi aliyochezeshwa points 3 zinatakiwa zikatwe. TFF simamieni sheria acheni...
  19. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Ukweli lazima usemwe Yanga SC iachane na kuingia mikataba ya udhamini ya kitoto maana ishakua taasisi kubwa Afrika

    Nimeshangazwa kuona Yanga sc inaingia na mkataba na kampuni inayofahamika kinondoni ilala na temeke tu na bidhaa zake inauzia palepale Daresalaam tu tena kuna baadhi ya maeneo ya Daresalaam haifahmiki na haiuzi kiufupi hii kampunu ni janja janja tu Wanajiita SILVER INVESTMENT walingia mkataba...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Simba ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Yanga ni Bingwa wa Tanzania Bara tu, msijitoe ufahamu

    Simba wamewakatia denge Yanga, wao ss hv ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yaani Simba ni bingwa nchi hii. Sijui kama nimeekeweka, simba ni bingwa wa hapa bara na kule visiwani.
Back
Top Bottom