yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. mwarabu feki

    JamiiForums Tanzania Afande Muliro: Ukivuruga paredi la Yanga tutakushughulikia

    Safari hii makolo mmeingia cha kike, yaani tukikuona tu unazurula na jezi lako la Mo Xtra kwenye paredi la ubingwa wa Yanga tutakushughulikia ipasavyo maana utakuwa unahatarisha furaha ya wananchii. Ubuntu botho😂😂😂
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Yanga kesho kufanya balaa kukabidhiwa kombe lao la 3 la NBCPL

    Klabu ya Yanga sc kesho ya mei 25 2024 watakabidhiwa kombe lao la Ligi kuu ya NBCPL ikiwa ni mara ya 3 mfululizo na timu pekee ambayo imelibeba kombe hilo tangu bank ya NBC kuwa wa dhamini wa Ligi kuu ya Tanzania. Kombe hilo linatalajiwa kushuka na helikopta kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hivi kila shabiki wa Yanga akachanga Tsh. 1,000 tu, timu haipati Tsh. Bilioni 1 na ushee?

    Yanga yenye kauli mbiu ya Daima mbele, Kurudi nyuma mwiko, Why tushindwe kuichangia Klabu yetu isajili wachezaji bora?
  4. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini TFF mnaipeleka fainali Zanzibar?

    Acheni siasa mnaharibu soka letu mechi ya bara mnapeleka visiwani ili mgundue nini? TFF mnaipeleka Fainali Zanzibar, sehemu ya nje ya utawala wa FA husika? Lini mmewahi kuona FA ya Uingereza imepeleka fainali Ireland, au Scotland? Lini mmewahi kuona FA ya Ujerumani imepeleka fainali zao...
  5. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Simba kuamisha mechi yenu na KMC Tarehe 25 na kuipeleka arusha mnakwepa shamra shamra za ubingwa wa Yanga siku iyo?

    Nimepata taarifa za Simba kuomba mechi yake na KMC ikapigwe Arusha badala ya uwanja wa awali uliotakiwa ipigwe mechi husika wa meja isamuyo kule mbweni! Ninachokiona hapa kina jaribu tena wameona mashabiki watakuwa wachache na ikichochewa na jambo la yanga inayotegemea kufanya sherehe zake za...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Yanga kutumia helikopta na basi la kisasa zaidi kwenye Parade

    “Helikopta ya parade la ubingwa itaanza safari yake majira ya saa nne asubuhi ikiwa imebeba kombe, itapita maeneo mbalimbali jiji la Dar Es Salaam. Tumempa Rubani maelekezo kuna maeneo akifika pale Kariakoo, aishushe chini kidogo ili kila mtu ashuhudie parade la angani. Baadae mchana Helikopta...
  7. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Aziz Ki anaondoka Yanga

    Aziz Ki hatimaye amemalizana na Yanga na sasa anaenda kucheza South Africa. Bado sijapata uhakika ni timu gani ila kati ya Kaizer Chiefs au Orlando. Yanga wameshindwa mpa ofa anayotaka. Sad part Aziz anaondoka kama mchezaji huru. Its over, ila mbadala wake Yanga wanakaribia kumalizana nae...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Aziz Ki anataka Dola laki tano kubaki Yanga

    Kiuongo Mshambuliaji wa Yanga Aziz Ki amewambia viongozi wake kama wanamuhitaji kuendelea kusalia klabu hapo basi wanapaswa kumpa mkataba wenye thamani wa Dola laki 5. Ofa ya Yanga kwa Aziz Ki ni dola laki tatu na nusu pekee. Vipi sasa wadau na mashabiki wa Yanga, Aziz Ki abaki au asepe tu?
  9. M

    JamiiForums Tanzania TFF hakikisheni Simba inakuwa ya pili ili iungane na Yanga kuiletea nchi heshima. Sio Azam

    Kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema TFF ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa. Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya ubabaishaji sana na inaelekea ni timu ambayo lengo lake sio ushingani. NAFASI YA PILI KWA SIMBA...
  10. Mcheza Piano

    JamiiForums Tanzania Yanga Ifungue Chuo Kikuu cha Soka

    Najua maboss wa Yanga mko humu, tafadhali fungueni chuo kikuu cha soka ili kuzisaidia club mbalimbali za soka duniani kama vile Arsenal na Simba. Asante
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Taja mambo 3 Yanga wayafanye katika kusherekea Ubingwa wao ambao watakabidhiwa mei 25,2024

    Taja mambo 3 Yanga wayafanye katika kusherekea Ubingwa wao ambao watakabidhiwa mei 25,2024
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Yanga imekuja na Gamondi day mchezo wao dhidi ya Dodoma Jiji mei 22

    "Kesho tunasafiri majira ya saa nne asubuhi kuelekea pale mkoani Dodoma kucheza dhidi ya Dodoma Jiji. Mchezo huo utafanyika tarehe 22 Mei 2024. Mechi hii ya Dodoma tumeifanya mechi ya kushukuru benchi la ufundi. Hivyo itakuwa ni 𝐆𝐀𝐌𝐎𝐍𝐃𝐈 𝐃𝐀𝐘 Kwenye 𝐆𝐀𝐌𝐎𝐍𝐃𝐈 𝐃𝐀𝐘 itakapofika 𝐝𝐚𝐤𝐢𝐤𝐚 𝐲𝐚 𝟑𝟎, wana...
  13. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Safari hii Yanga atuendi bungeni naona wabunge watatuchoka kila mwaka

    Najua mtatuchoka lakini hakuna jinsi ndio Yanga tamu Tunaomba tukicheza na Dodoma tualikwe hata nje tu bungen tupate chai na spika na pongezi zenu
  14. BUSH BIN LADEN

    JamiiForums Tanzania Baada Ya Yanga Kunyimwa Goli La Wazi Kabisa Dhidi Ya Mamelodi Na Refa Kukataa Kureview VAR Niliikosa Mantiki Ya Huu Mfumo. Mdau We Unasemaje

    Mdau we unasemaje? Waingereza nao huu mfumo umewachosha. https://www.bbc.com/sport/football/articles/c4n1ndlknk1o
  15. C

    JamiiForums Tanzania Carlo Ancelotti Kuja kujifunza Yanga

    Carlo Ancelotti Kuja kujifunza Yanga. habari za sasa hivi ni Kuwa Carlo Ancelotti kuja Yanga ,kupata course ya Kuchukua Makombe mara 3
  16. D

    JamiiForums Tanzania Miguel Gamondi kwenda Kaizer Chiefs?

    Furaha iwe na mipango. === Kaizer Chiefs are set to announce new coach and two signings on Wednesday? On Monday, a statement indicating that Kaizer Chiefs will unveil a new coach and players on Wednesday appeared on the club’s official website. “Kaizer Chiefs MD Kaizer Motaung says the...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Rufaa ya Yanga dhidi ya Mamelodi, majibu yanapaswa kutoka lini?

    Habari Wadau, Naomba kujua rufaa waliyokata Yanga dhidi ya Mamelodi kuhusiana na maamuzi ya Mwamuzi kukataa goli la Azizi K kwenye mechi ya robo fainali mkondo wa pili huko Afrika Kusini kati ya Yanda na Mamelodi, majibu yake yanapaswa kutolewa lini kwa mujibu wa sheria na kanuni za CAF? Japo...
  18. Ileje

    JamiiForums Tanzania Yanga Bingwa 2024

    Bado mechi tatu za NBC Premier league kumalizika Yanga Bingwa. Kinachofuata Yanga watakuwa wanacheza mechi zilizobaki kama wanafanya mazoezi!
  19. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Yanga bingwa 2023-2024:Yaifunga Mtibwa 3-1 | NBC Premier League | Manungu Stadium | 13.05.2024

    Karibuni Kwa Live updates za mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara kati ya Mtibwa Sugar (wenyeji) dhidi ya Mabingwa watetezi , Young Africans sc. Mchezo utaanza leo saa kumi jioni, Katika uwanja wa Namungu Complex, Morogoro. Endapo Yanga atashinda mchezo huu atafikisha alama 71 ambayo haitaweza...
  20. Stroke

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga warudiane

    Naishauri TTF wairudie mechi ya Simba na Yanga. Ichezwe next week mashabiki tutachangia gharama za mchezo.
Back
Top Bottom