nimesikitika kuona Yanga sc kufungiwa kusajili kwa sababu ya kutomlipa pesa aliyekua mchezaji wa Yanga sc LAZARO kAMBOLE , kwa maelezo niliyoyapata ni kuwa FIFA waliiandikia barua YANGA mapema tu kuwa wamlipe pesa kambole lakini yanga walikaidi na kujisahaulisha
SWALI LANGU: ina maana mikataba...
Hizi familia zina nini.
Alieondoka kadai familia, Benchika nae familia problem.
Na mimi nimeamua kuhamia rasmi Yanga kutokana na matatizo ya kifamilia.
Bodies of jamii forum
I salute you..!
Hii team inayoitwa simba kwa kweli inasikitisha.!
Wana matatizo mengi sana lakini kwa uchache tunayajua na wao hawataki kuyakabili ili wasonge mbele! Inasikitisha
WACHEZAJI!.
SIMBA miaka hii inafeli upande wa usajiri,
Sijui ni nani anawaletea wachezaji...
Kwa taarifa ambazo nimepenyezewa nikuwa Simba imejipanga kufanya kufuru kwa KUIBOMOA YANGA huku ikipanga Kuondoka na wachezaji wanne kutoka Yanga na wachezaji wawili kutoka Azam.
Simba inajiandaa kunasa saini za wachezaji Hawa kutoka Yanga ambao wamepangiwa Dau Nono la usajili pamoja na...
Yanga walipopata barua toka kwa FIFA, CAF na TFF Pacome akapata injury, TFF imeficha jina la mchezaji aliyechezeshwa na Yanga wakati usajili wake wa utata.
Wameamua wasimchezeshe kabisa, sheria inajulikana kila mechi aliyochezeshwa points 3 zinatakiwa zikatwe.
TFF simamieni sheria acheni...
Nimeshangazwa kuona Yanga sc inaingia na mkataba na kampuni inayofahamika kinondoni ilala na temeke tu na bidhaa zake inauzia palepale Daresalaam tu tena kuna baadhi ya maeneo ya Daresalaam haifahmiki na haiuzi kiufupi hii kampunu ni janja janja tu
Wanajiita SILVER INVESTMENT walingia mkataba...
Simba wamewakatia denge Yanga, wao ss hv ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yaani Simba ni bingwa nchi hii.
Sijui kama nimeekeweka, simba ni bingwa wa hapa bara na kule visiwani.
Simba na Yanga walishwahi kumtaka Abdul Suleiman Sopu lakini bwana mdogo alikataa ofa za mapacha na kukimbilia chamazi (azam ) siyo kwamba labda bwana mdogo alikua hataki exposure za mapacha hapana ila alijua timu za kariakoo hazina muda wa kumvumilia mtu zinataka ukivaa jezi tu basi ukafunge...
Pacoume ni moja kati ya mchezaji pendwa katika kikosi cha Yanga SC, siyo pendwa kwa kocha bali hata kwa mashabiki kutokana na kipaji chake cha kusakata kabumbu .
Cha kushangaza kumetokea sintofahau kila kukicha msemaji wa yanga Ally kamwe ansema kuwa Pakome yupo tayali na ni mzima wa afya...
Simba imeendeleza ubabe wa Ligi kuu ya Wanawake (WPL) mbele ya Yanga kwa Kuifunga tena mabao 3-1 kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi.
Simba ambayo inafukuzia ubingwa ikiwa kileleni mwa msimamo kwa pointi 34, msimu huu katika ligi imefunga mabao 39 na kuruhusu saba tu, wakati Yanga iliyo...
Hapo vip,
Nimejiuliza maswali sana kuhusiana na hizi kelele za yanga dhidi ya Simba sc, kuweka mabango na kalele.za kufika robo fainali club bingwa.
Majibu ni kwamba yanga ni zee ambalo halina mafanikio ukilinganisha na umri wake.
Kwasababu tokea Dunia kuumbwa na yanga kuanzishwa ndio mara a...
Wakuu binafsi nimeskia sana swala la mashabiki kudai wachezaji wetu baadhi waachwe na wengine wabaki .
Ni sawa ..
Lakini shida tunasahau sana na kukurupuka sana bila kukumbuka na kufuatilia kwa umakini .
Well wafuatao yanga tunapaswa kuwaacha ..!
1. Skudu Makudubela
Huyu ni mfanyakazi hewa na...
“Unajua wakati nikiwa Yanga, mtu pekee aliyekuwa ananipa wakati mgumu ni Hans Poppe. Huyu jamaa alikuwa anafanya kazi yake kuonesha kabisa kuwa Dabi inatakiwa kuwa na mvuto, alikuwa akizungumza na watu wanamuelewa, alinipa wakati mgumu sana.
“Hata niliposikia amefariki, ukweli kibinadamu...
Miaka 30 ni mingi sana kukaa hapa duniani sio tu kukaa nyumbani, inabidi uwe umesha leta impact.
Kuna watu kabla ya hiyo miaka walishafanya makubwa sana hadi sasa bado wanakumbukwa kwenye historia ya Dunia.
Unamjua Alexander the Great, aliyoyafanya yote hadi kutawala almost Dunia nzima Aliya...
"Kiukweli kama kuna Kitu ambacho nawapongeza wana Simba SC ni kuwa na Viongozi wazuri na Mimi nawaomba chonde chonde wala Wasiwabadilishe kwani hawa hawa Viongozi wao wataifikisha Simba SC katika nchi ya Ahadi" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe.
Chanzo: East Africa Radio
Ukiwa Mpumbavu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.