Yanga kutumia helikopta na basi la kisasa zaidi kwenye Parade

gearbox

JF-Expert Member
Apr 20, 2024
521
1,461
“Helikopta ya parade la ubingwa itaanza safari yake majira ya saa nne asubuhi ikiwa imebeba kombe, itapita maeneo mbalimbali jiji la Dar Es Salaam. Tumempa Rubani maelekezo kuna maeneo akifika pale Kariakoo, aishushe chini kidogo ili kila mtu ashuhudie parade la angani. Baadae mchana Helikopta hiyo itashuka ndani ya Uwanja wa Mkapa na sisi Wananchi ndio Tutalipokea Kombe Letu, Niwaombe Mashabiki wa Yanga kuwahi mapema uwanjani tushuhudie Tukio hili kubwa la Kihistoria,” Ally Kamwe
 
Huwa zinaanguka
 
Yanga wanajua mno kukera my wetu!! Hii ni best surprise ever!! Chopa itawakera mno makolo hadi wengine kulazwa, ila wasisahau kuja kwetu Buza Mpalanger!!

Hongera sana Ally Kamwe and company for this innovation!!

Ikumbukwe hili kombe linaenda kabatini kina Karai wachonge jingine!!
 
Nawaza siku Simba wakibeba kombe sijui watatufanyaje 😅😅😅 mana tumejua kuwakera miaka hii mi3 na matukio ambayo hawakufikiriaga
Yan wanasema tumia nafasi unapopata ili siku ukikosa atakaye pata hata akikuringishia vipi hautakua kwenye majuto makubwa. Kwahiyo mimi ningetamani waniweke kwenye kamati ya ubunifu wa kuwakera wapinzani bila malipo ningeifanya kazi vizuri sana.
 
1716434648483.png
 
Mtaji wa CCM ni majitu majinga majinga mashabiki ya simba na yanga. Vitu vya maana hamfatilii kabisa
 
Back
Top Bottom