Yanga Bingwa 2024

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,856
12,359
Bado mechi tatu za NBC Premier league kumalizika Yanga Bingwa.

Kinachofuata Yanga watakuwa wanacheza mechi zilizobaki kama wanafanya mazoezi!
 
Bado mechi tatu za NBC Premier league kumalizika Yanga Bingwa.

Kinachofuata Yanga watakuwa wanacheza mechi zilizobaki kama wanafanya mazoezi!
Vipi hamja tujulisha hali ya semaji la kimataifa na kocha guardiola mnene,hawajazimia kwa habari hizi🫠
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom