Yanga tumebebwa mechi nyingi na marefa kuliko tulizoonewa

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,516
Habari wadau,

Nadeclare interest mimi ni mshabiki wa yanga..

Ukweli kulalamikia marefa sio sahihi kwamba wanatunyima penalty, tumebebwa mechi na tumepewa penalty nyingi zisizo halali mojawapo game na simba Dar. Penalty ya Kisinda na Onyango sio halali, kama unabisha tazama maridio youtube. Kagera pia tulibebwa kaitaba staidum na Gwambina pia tulibebwa.. hapo sijataja mechi zote..

Viongozi wa yanga waache janja janja za zama za Zahera waweke hela timu ipate matokeo

Kesi ya Morisson wametuletea ujanja ujanja... huwezi mleta yikpe na kumsajili bila majaribio kisha ukamleta mchezaji mwenye kiwango cha kueleweka na mwenye cv kubwa kama Morisson ukamsajili baada ya majaribio kwa mkataba wa miezi sita.

Huwezi acha mshambuliaji anaejua kujiposition kama Molinga kwamba hafai na kumbakisha Nchimbi na kumsajili Sarpong.

Sarpong na Molinga hivi kweli wanafanana?

Nchimbi vs Molinga hivi kweli wanafanana?
 
Bora nyie mashabiki wachache mna utashi wa soka. Mjitaidi leo na mtibwa msiendekeze lawama
IMG-20210220-WA0006.jpeg
 
Naona umeongea kwa manufaa ya timu na siyo kufurahisha mashabiki.

Bahati mbaya sana ukiziea hongo unaona kama halali yako kupewa. Ndiyo ilivyo kwa timu zetu
 
Yanga waliacha timu nzima wakasajili magarasa.
Papaa Molinga pamoja na kua chibonge lakini ndo alikua mchezaji anaeongoza kwa magoli pale Uto.
Makosa ya kijinga yanayofanywa na Mwamnyeto na mwenzie pale kati,hakuna shaka kwa beki kama Yondani beki mzoefu yasingetokea.
Juma Abduli beki wa kufa na kupona kulikua na sababu ipi ya kuacha kumuongezea fungu kijana apige kazi?
 
Vileile wanasajili Mauya wanamuacha Papi Tshishimbi. Eti star wa uto siku hizi ni galasa Kaseke ambaye aliyekuwa ametupwa Singida United na kuisaidia kushuka daraja.
 
Back
Top Bottom