yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Simba Sc Vs Namungo | VPL | Mkapa Stadium

    Mabingwa mara nne mfululizo leo wanakabidhiwa ndoo yao wakikipiga na Namungo FC. Hii ni katika mwendelezo wa kuchukua back to back 10
  2. K

    JamiiForums Tanzania Michezo:Je Kesi ya Benard Morrison na Yanga Fc ndio ushindi tuliohaidiwa/ubingwa

    UTANGULIZI Hakika katika msimu huu ukiondoa matokeo mbalimbali na mafaniko waliyo yapata Klubu ya Simba na mwenendo mzima wa ligi kuu bara basi moja ya jambo ambalo limeshika sana katika vichwa vya wapenda soka mashabiki wa Simba na Yanga basi bila shaka ni sakata la kesi ya Benard Morrison na...
  3. JamiiForums Tanzania Yanga yaipiku tena Simba SC

    Jana klabu kubwa kuliko zote Afrika mashariki, Yanga ilikabidhiwa kombe la ubingwa wa kuifunga timu ya Simba SC huku ikiwa imebakiza mechi moja I tu akayopigwa July 18 2020. Haya ni mafanikio makubwa kwa timu ya wananchi ndani ya muda mfupi kwani ndani ya mwezi mmoja wameweza kumsajili mchezaji...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ukufanikiwa kuwadhibiti Yanga kwenye uchawi unawageuza kama chapati

    Hawa utopolo wanatumia taaluma ya mazingaombwe. Ndio maana sasa hivi Mzee mpili kwa sasa ndiye shujaa wao. Kwa sasa wanasajili kwa ajili ya mechi za kimataifa kwani wanajua huko hayo mambo yao hayafanyi kazi. Ila kwa kukosa mikakati sahihi, watapigwa mapema asubuhi na kuaga mashindano.
  5. JamiiForums Tanzania Yanga tumekosaje Ubingwa? Hongereni Watani, tumeona mabadiliko makubwa mliyoyafanya katika Soka lenu

    Hili swali tuliambiwa tuwaulize GSM kama ikitokea tumekosa Ubingwa na ni kutokana na kikosi kikali ambacho Yanga tulisajili ukilinganisha na cha Simba chenye wachezaji Wazee. miaka karibia 4 Simba imekuwa na Kikosi cha wachezaji wazee sana. lakini inashangaza hawa ndo wanaokipatia matokeo...
  6. JamiiForums Tanzania Wakati Simba wanatembeza Kombe la Ubingwa VPL, Sisi Yanga tunamtembeza Mzee Mpili kwa kutupatia ushindi dhidi ya Simba

    Mzee wangu aliwahi nambia vipaumbele vya Mzungu na Mswahili ni tofauti sana. Mzungu anawaza kuwa mwaka huu nataka nivumbue kitu fulani kiisaidie jamii mswahili anasema mwaka huu nikizikamata tu naoa mtoto mbichii. halafu mswahili atakaa kijiweni akilalamika kuwa mzungu anamhujumu. mzungu atakaa...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga yanunua Bus Aina ya Scania kama ya Madrid yenye thamani ya Tshs Bilion Moja, sio TATA kama ya Mtani

    Baada ya GSM kushusha Bus aina ya Scania, klabu ya Yanga imeingia kwenye orodha ya klabu zinazotumia mabasi aina ya Scannia duniani Basi hilo ambalo tayari limetoka bandarini, ni aina ya SCANIA IRIZA 16 ambayo thamani yake ni zaidi ya Tsh Milion 900 hadi Tsh Bilioni moja pamoja na ushuru Yanga...
  8. JamiiForums Tanzania Yanga msikurupuke

    Niwapongeze Yanga kwa "kuuza" haki zao za matangazo kwa bilioni 41 kwa Azam TV. Tumeona kwenye mitandao wachambuzi wengi na washabiki wa Yanga wakiidhihaki Simba kuwa ina thamani ya 20B hivyo wamepigwa na Mo. Wanachofanya ni kuendeshwa na hisia na kutokuona ukweli. Wanakurupuka na kusahau kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kumbe kuna muda huyu Mchambuzi wa Michezo mwana Yanga SC 'lia lia' Privaldinho wa Clouds FM huwa anakuwa na akili Kubwa hivi? Heko Kwake!

    " TV Sponsorship ni tofauti kidogo na uwekezaji ambayo unaweka 20bil mara moja sio kwa mgawanyiko. Kama watu wanafikiri ni rahisi basi atokee mdhamini atoe hata nusu Tsh 20bn kwa mkupuo. Wadhamini wenyewe wanategemea kupata humo humo ili waweze kulipa tena " Chanzo: @privaldinho Haya sasa wana...
  10. JamiiForums Tanzania Simba alikataa ofa na kuwakebehi Azam. Je, Azam kalipa kisasi kwa kuipa yanga dau nono?

    Kama unafatilia haya mambo utakumbuka miezi michache iloyopita Mo ali weka post huko Twitter ya Manchester united kupewa mamia ya mabilioni kwajili ya haki miliki za matangazo, ni kwamba hii ishu ilitotoke baada ya azam kwenda simba kuomba haki ya matangazo kama alivyofanya kwa yanga ila sasa...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga wanasema app yao iliingiza milioni 100. Iliwezekanaje?

    Nadhani niliwasikia vizuri Yanga wakisema app yao iliwaingizia 100m. App hiyo waliiweka January 2020 na inaonyesha install 100k ambayo inweza kuwa hadi karibia na 500k. Waliwezajekuingiza pesa hizo?
  12. JamiiForums Tanzania Yanga yaingia mkataba wa Tsh Bilioni 34.8 na Azam Media

    Klabu kongwe ya Young Africans Sports Club leo inaingia mkataba na Azam Media utakaogharimu jumla ya shilingi Bilioni 34.8 (Bilioni 41 with VAT). Mkataba huu utadumu kwa miaka kumi(10) na utafanyiwa marudio/maboresho baada ya miaka mitano. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari...
  13. JamiiForums Tanzania Sisi Yanga tunashukuru tena Msimu huu Tumefikia lengo letu kumfunga Simba. Hilo ndilo lilikuwa kubwa kwetu

    Nadhani Simba bado mnaugulia kipigo. Poleni sana. Sisi tunaendelea na kufurahia na ushindi wetu dhidi yenu msimu huu. Hilo ndilo lilikuwa lengo letu kubwa na tunashukuru tumefanikiwa sana. Hayo ya Ubingwa si big deal. Wala hatuna presha na mpira au ligi. Tunaendelea ku enjoy ushindi wetu. Na...
  14. JamiiForums Tanzania Picha: Rasmi Yanga yamsajili Djuma Shabani

    Klabu ya Yanga imefanikiwa kumsainisha beki Djuma Shabani akiwa mchezaji huru Kwa mkataba wa miaka miwili. Kulikuwa na tetesi kuwa huenda Djuma Shabani asingekamilisha dili hilo na badala yake angeelekea kunako Klabu ya Rs Berkane kuungana na kocha wake Florent Ibenge aliyejiunga na timu hiyo...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Yanga, wanachana na mashabiki wake wanamuamini kweli Mzee Mpili?

    siku za karibuni ameibuka mzee wetu anaefahamika kwa jina mzee mpili akionekana na kujinasibu kuwa yeye ana watu na mechi ya juzi ya watani yeye ndo aliicheza na mechi ya kigoma fainali ya kombe la azam sport imeshaisha asilimia 90 kuwa yanga anashinda!!!je umnamuamini kweli wanayanga uyu mzee...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Yanga na Simba acheni kuvaa fulana za timu zetu wiki nzima

    Wapenzi wa Yanga na Simba, Jezi zenu huwa zinavaliwa angalau siku moja kabla ya mechi,hadi siku ya mechi na baada ya mechi unaweza ukavaa kwa nusu siku hata kama umeshinda au umefungwa.Ushamba wenyewe unakuwa hivi aliyeshinda anavaa jezi wiki nzima asubuhi hadi wengine wanalala nazo,wakati...
  17. JamiiForums Tanzania TFF wasikitishwa na kauli ya Bashe kuhusu mechi ya Simba na Yanga

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) limetoa wito kwa viongozi wote nchini kuacha kutoa kauli zinaweza kuchochea vurugu katika mpira wa miguu. Kauli hiyo imekuja baada ya TFF kusikitishwa na kauli ya Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ambaye alisema waamuzi wa mechi ya Simba na Yanga...
  18. JamiiForums Tanzania Viongozi na Mastaa wa Bongo ambao ni mashabiki wa Simba na Yanga

    Kama uzi unavyojieleza. Huwezi zungumzia soka la Africa kwa sasa bila kuzitaja club za Simba na Yanga. Kama unamjua kiongozi au celebrity yeyote shabiki wa Simba au Yanga mposti hapa. Itapendeza zaidi akiwa ndani ya uzi wa club husika. Pia, Kama wewe ni shabiki wa Yanga weka like 👍 yako kama...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hivi like goli la Yanga juzi Simba walijifunga au lilifungwa na Zawadi?

    Kwanza tuwapongeze Yanga kwa ushindi wa juzi ni furaha saaana kumfunga Bingwa mtarajiwa kwa Mara nne Mfululuzo, pia Robo finalist wa Klabu Bingwa wa Afirka, aliyewafunga finalist wa Mwaka huu Kaizer Chief na Al Ahl. Turudi kwenye mada, hivi lile goli la Utopolo, ambalo Zawadi alipiga shuti...
  20. JamiiForums Tanzania Mambo kumi (10) ya ali kamwe katika derby ya Simba na Yanga

    Anaandika @alikamwe Mambo 10 nilioyaona Simba vs Yanga 1: DAR ES SALAAM is GREEN & YELLOW 🟢🟡. WENYE NCHI NI WANANCHI🙌 Pointi 3 za HESHIMA. Pointi 3 za KIBABE. Yanga wanaweza kukosa Ubingwa, Lakini angalau wameweka alama isiyofutika kwenye moyo wa Rais, Mama Samia..👏 2: WHAT A MATCH! Yanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…