Manara: Kama uhuni huu wamefanya, tumesema Hatuchezi

Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
6,556
2,000
Haji Manara: Hawajatoa mpaka sasa hivi certicates one hour kabla ya mechi. Hawajatuambia nani yuko positive nani yuko negative. Wanatuletea sasa hivi eti kuna wachezaji sita wako positive, Diara katumiwa email yuko negative. Tumesema hatuchezi, kama uhuni huu walioufanya, hatuchezi.

==========

Hii ni baada ya wachezaji tegemewa kukutwa na Corona. Nini Impact ya kugoma?

Screenshot_20210919-174440.jpg

View attachment 1945027
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom