yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Kama kweli hisi tetesi za kumsajili thomas ulimwengu ni za ukweli, basi usajili wa kukurupuka hutoisha.

    Kuna tetesi kuwa mchezaji wa zaman wa tp mazembe thomas ulimwengu atatambulishwa hii leo na club ya yanga, hvi kuna haja gani ya kumsajili garasa kwa sasa. Viongozi kwann?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga Feitoto ameshageuka adui yenu, achacheni naye

    Leo Feitoto akiwa na lawyers wake walikuwa wakipambana na TFF kuhusu terms of contract, Feitoto anasema hapana mkataba unaniruhusu huku Yanga wakisema no, law of contract haisemi hivyo. Huko tuwaachie wanasheria wenzangu, hoja yangu mimi ni hapa tumefikaje? Leo Feitoto anagombana na timu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania HII TIMU INAYOMRUBUNI FEI TOTO ILI IMSAJILI MPAKA AKAVUNJA MKATABA NA KLABU YAKE YA YANGA MBONA AIMTAMBULISHI MPAKA SASA KAMA YUKO HURU?

    Mpaka sasa sijaelewa kuna tatizo gani kwa mchezaji aliyevunja mkataba na klabu yake na akaona yuko sahihi kisheria na yuko huru kusajiliwa na timu yoyote ile nashangaa timu iliyomrubuni na kumpa mamilioni ya pesa akalipe na kuvunja mkataba imeshindwa kumtambulisha mpaka sasa, Mchezaji huru tena...
  4. NetMaster

    JamiiForums Tanzania 𝗙𝗨𝗟𝗟 𝗧𝗜𝗠𝗘: Mapinduzi cup: Yanga 1-0 KMKM SC

    Mechi ngumu sana lakini Wananchi wamepambana mpaka mwisho, KMKM ni wazuri sana chini ya Kocha Hemed Morocco lakini hawakuweza kuwa wababe mbele ya Wananchi, alama tatu kwao. Sio timu tu kutoka Zanzibar, Ni KMKM, mabingwa wa ligi ya Zanzibar tuliowashinda tena kwa kikosi cha pili, hii ndio maana...
  5. Bundakwetu

    JamiiForums Tanzania Aucho Khalid asaini miaka miwili Yanga

    Kiungo mkabaji kutoka Uganda amesaini tena miaka miwili kuwatumikia Yanga.
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Feisal Toto anarudi akilia na kubembeleza. Labda ameisahau Yanga

    Wekeni Kumbukumbu huu uzi. Feisal Toto sijajua nani anamdanganya. Ila nadhani amesahau. Ameisahau Yanga. Yanga siyo kama Simba wale mabwege. Huyu Fei Toto namwona hapa akija Yanga analia akiomba asamehewe. Tena anaomba acheze kwa mshahara wowote ambao Yanga watapenda kumpa atakubali kwa moyo...
  7. H

    JamiiForums Tanzania TFF yapokea barua ya Malalamiko ya Yanga dhidi ya Feisal

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (Kamati) limepokea malalamiko dhidi yako (FEISAL SALUM ABDALLAH) kutoka kwa Young Africans Sports Club (Klabu) kuhusu hali ya mkataba wako na Klabu. Kwa barua hii, unaitwa kufika binafsi na mshauri wako wa kisheria mbele ya Kamati siku ya Jumatano, tarehe...
  8. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Wanavyowaza wana Yanga kuhusu ubingwa

    Ni wana Yanga pekee wanaowaza tofauti na binadamu wengine. Wao ndio pekee wanaoamini kuwa Chelsea Atatwaa ubingwa wa English Premier league wakati kazidiwa points 16 na anayeongoza ligi lakini Simba hawezi kamwe kutwaa ubingwa wa NBCPL wakati kazidiwa points 6 tu na anayeongoza ligi. Akili zao...
  9. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Yanga kupeleka mwakilishi kwenye msiba wa Pele ni suala la kupongezwa na kila mtu

    Suala la Yanga kumtuma ndg Andrew Mtime nchini Brazil katika shuguli ya msiba wa Pele Ni suala la kupongezwa na kila Mtanzania. Ndugu Andrew aliondoka nchini tarehe 31.12.2022. Pamoja na kuwa watu watakaoshiriki mazishi ni familia pekee, Kuna taarifa isiyo rasmi inasema kuwa mwakilishi huyo...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufungiwa ndani miezi 4, Yanga yamtoa nje Kambole

    Baada ya Yanga kumficha ndani mshambuliaji hatari Kambole kwa miezi 4 hatimaye leo ameachiwa kutoka nje. Kambole amekuwa akifungiwa ndani huko Avic Town Kigamboni ili kuficha aibu ya siasa za usajili. Huyu ni mchezaji aliyetajwa kuachwa na Yanga baada ya idadi ya wachezaji wa kigeni kuzidi...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Sakata la Feitoto linaenda kuwa sawa na la Morisson Yanga

    Sioni jipya kwa uongozi wa Yanga juu ya Feitoto kuendelea chezea Yanga. Huyu sio mchezaji wetu tena mimi ningefurahi kua Yanga wangesema tu tumeachana na fei tuangalie mbele mbona tupo vizuri na wachezaji wetu. Fei juzi kachezea team ya visiwani hata kama friend match ila kavaa uzi mwekundu na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hili kundi la Yanga mchekea sana, Timu hapo ni TP Mazembe tu nayo siku hizi imezembea

    CAF CONFEDERATION CUP 2022/2023 Group D: 1: TP Mazembe (RDC) 2: US Monastri (TUN 3: Young Africans S.C. (TAN) 4: Real Bamako (MLI) Sasa hapo timu inayojiita ya wananchi ishindwe yenyewe tu kuongoza kundi. Hakuna timu hapo, na hiyo TP Mazembe imebakiza jina tu, imezembea sana!! Timu kali za...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania FT: Ligi Kuu Bara: Mtibwa Sugar 0-1 Yanga : Uwanja wa Manungu : 31/12/2013

    Huu ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaotarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Manungu Mkoani Morogoro, Mtibwa wakiwa wageni. Kikosi cha Mtibwa Sugar Kikosi cha Yanga kwa ajili ya mchezo huo Mchezo unatarajiwa kuanza muda wowote kuanzia sasa Mchezo umeanza 3' Umeanza kwa kasi ndogo, Yanga...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Saido mmoja ni sawa na foward nzima ya Yanga

    Uwezo wa Saido hauhitaji uchambuzi mwiiiiiiiingi. Sitaki kujiba kazi ya kuchambua, kama unataka uchambuzi chambua mwenyewe. Mimi nakuwekea sinema tu. Kwa wewe ambaye hukumuona jana basi jionee, maana unaweza kupotoshwa na haters. Ukiangalia kwa jicho lisilo na husda utakubaliana na mimi kuwa...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Singida kufungwa 4 na Yanga yalikuwa maelekezo ya Waziri wa Nchi?

    Pamoja na uimara wa Singida Big Star tukishuhudia ikifungwa 4 na Yaanga. Pamoja na ushindi wa Yanga wa kuungaunga wa 1 mpaka 2 lakini wakaweza kuifunga Singida BS 4. Kwa jinsi waziri huyu anavyotumia cheo chake kumtaka Fei Toto asiondoke Yanga. Na jinsi waziri huyu alivyotoa maelekezo Fei Toto...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga kutaka kuwasajili Akamiko na Kipre Jr ni janjajanja tu

    Yanga Ina watu wenye level mbalimbali za uelewa. Tunajuwa kuwa hii ni janja ya kutuliza joto tu la fei kuondoka kizembe. Tunajuwa kuwa Kuna watu watavuta mkwanja kutuliza mambo ili Fei asepe. Ndio maana hakuna mtu anaehangaika kujua nani alitoa 112m kwa Fei kuvunjia mkataba. Account ipi...
  17. Research Consultant

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga wamgeukia Zimbwe Jr

    Za ndaaaaaani kabisa, #TETESI Yanga wamempa Million 400 Beki wa Simba Mohamed Hussein ''Zimbwe Jr'' ili aweze kujiunga na Yanga katika kipindi hiki. Taarifa zaidi inasema kwamba Yanga wanataka kuendelea kuboresha timu yao kwenye michuano ya kimataifa kwa kuendelea kutafuta wachezaji wenye...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Pele na Santos wageni wa Yanga mwaka 1976

  19. Mr. Miela

    JamiiForums Tanzania Kwa mashabiki na Viongozi wa Yanga

    Wadhamini wa michuano ya CAF (club bingwa na shirikisho) ni total energies rangi yao ni nyekundu na huvaliwa na timu shiriki kwenye jezi zao. Sasa basi Yanga mtavunjwa huo mwiko uko nyuma kwa kuvaa beji ya rangi nyekundu ya Total energies?
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ewe Kiongozi Mwandamizi wana Yanga SC 'wameshakushtukia' kuwa ndiyo umemuuza Feitoto Azam FC hivyo waombe radhi yaishe

    GENTAMYCINE nasisitiza Kwako kuwa acha Kuwazuga kwa kujifanya kuwa Unaumia na Umekereka sana na Dogo Fei kufanya aliyoyafanya. Kwa Taarifa yako tu ni kwamba kuna Masheikh kutoka Zanzibar wameitwa kwa Kazi Maalum juu yako kwa Usaliti uliowafanyia halafu sasa Unawasanifu tu wakati...
Back
Top Bottom