Simba na Yanga na propaganda za mabadiliko

Smart codetz

Senior Member
Jan 25, 2023
187
740
UCHAGUZI WETU KESHO.

Ila sisi tuna kitambulisho cha shule ya msingi wenzetu wana kadi ya uanachamašŸ˜³; Hivi kuna Transformation hapa?

Hebu tuwe serious kwenye hizi taasisi zinazogusa Faraha za watu. Ukiwaona majukwaani Kama viongozi vile kumbe ni hopeless kabisa!

Mpaka leo bado usafiri wetu ni Coaster wachezaji wanalazimika kujikunja miguu wakati wa safari sababu siti ni fupi dah!

Hii aibu kubwa sana

4BB39F31-4F6F-4F49-90F9-1C8FC2C255FB.jpeg
 
Pole Sana... Utopolo..!

Mnaumia kiasi Kikubwa Na Simba..!

Ibenge huko Mkutanoni anaisifia Simba Kuwemo kwenye Super League CAF...!
Mnayo haki Kuumia..!

Hata mie ningekuwa Utopolo ningeumia Sana!
 
Back
Top Bottom