Timu bora hutoa wachezaji bora, Yanga yaongoza kwa kutoa wachezaji bora timu za Taifa

Mtanzanias

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
1,747
3,714
Takribani wachezaji 12 wa yanga wameitwa timu za taifa ktk nchi zao, icho ni kielelezo cha kuwa na wachezaji bora na usajili bora, wachezaji 12 ni sawa na first eleven ya timu nzima na mchezaji mmoja wa akiba, list ifatayo ni wachezaji walioitwa timu za taifa;

Tanzania;
Bakari Nondo Mwamnyeto
Dicksoni Jobu
Kibwana Shomari
Mudathir Yahya
Feusal Salum
Ibrahim Baka
Metacha Mnata

Zambia;
Kenedy Musonda

Kongo;
Fistoni Kalala Mayele

Burkina Faso;
Stephen Aziz Ki

Uganda;
Kharid Aucho

Mali;
Djigui Diarra

Kwa maana hiyo Yanga ndiyo timu bora kwa sasa Afrika Mashariki na Kati kwakuwa ndio timu iliyoongoza kwa kutoa wachezaji wengi katika timu za taifa za mataifa bora katika soka la Afrika, kongole Wananchi🙌🙌🙌
 
Mchezaji mmoja anayeitwa kwenye timu ya taifa namba moja barani africa na namba 18 dunia nzima, ni zaidi ya wachezaji wote wa utopolo walioitwa kwenye timu zao..
 
Takribani wachezaji 12 wa yanga wameitwa timu za taifa ktk nchi zao, icho ni kielelezo cha kuwa na wachezaji bora na usajili bora, wachezaji 12 ni sawa na first eleven ya timu nzima na mchezaji mmoja wa akiba, list ifatayo ni wachezaji walioitwa timu za taifa;

Tanzania;
Bakari nondo mwamnyeto
Dicksoni jobu
Kibwana shomari
Mudathir yahya
Feusal salum
Ibrahim baka
Metacha mnata

Zambia;
Kenedy musonda

Kongo;
Fistoni kalala mayele

Burkinafaso;
Stephen Aziz ki

Uganda;
Kharid aucho

Mali;
Djigui diarra

Kwa maana iyo yanga ndiyo timu bora kwa sasa Africa mashariki na kati kwakuwa ndio timu iliyoongoza kwa kutoa wachezaji wengi katika timu za taifa za mataifa bora katika soka la africa, kongole Wananchi🙌🙌🙌
Wote hao ukiwapeleka Senegal hawachukuliwi hatammoja

Kwenye loser cup mbona hawachaguliwi wachezaji bora Kama Kaka zenu wanavyo chaguliwa huko mabingwani?
 
Sasa sisi tuliotoa wachezaji wanne wa kikosi bora cha wiki kwenye ligi ya kiume (Cafcl) na wachezaji wawili wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa wiki wa Caf tusemeje ??,, emu jaribuni kukaa kimya mnajichoresha ..
Misimu iliyopita mlifanya hivyo hivyo, je unaweza kuniambia mlichofaidika nacho?
 
Yanga acheni kijichoresha🤣🤣malooser mnajifariji kwa mambo yakawaida sana.

Simba wametoa mchezaji Kwenda timu yataifa namba moja afrika hawongei Sana🤣🤣🤣🤣

Nyie wenu wauswekeni huko mnaazisha na nyuzi kabisa maamae😅😅😄😅😄

Kunakitu mnatamani muwe nacho sema ndoivyo sio liziki yenu.

Sakoooooooooooo-timu no moja africa naharingi Wala Nini🤣🤣🤣🤣 ingekuwa nyie nasherehe mngemfanyia
 
Takribani wachezaji 12 wa yanga wameitwa timu za taifa ktk nchi zao, icho ni kielelezo cha kuwa na wachezaji bora na usajili bora, wachezaji 12 ni sawa na first eleven ya timu nzima na mchezaji mmoja wa akiba, list ifatayo ni wachezaji walioitwa timu za taifa;

Tanzania;
Bakari Nondo Mwamnyeto
Dicksoni Jobu
Kibwana Shomari
Mudathir Yahya
Feusal Salum
Ibrahim Baka
Metacha Mnata

Zambia;
Kenedy Musonda

Kongo;
Fistoni Kalala Mayele

Burkina Faso;
Stephen Aziz Ki

Uganda;
Kharid Aucho

Mali;
Djigui Diarra

Kwa maana hiyo Yanga ndiyo timu bora kwa sasa Afrika Mashariki na Kati kwakuwa ndio timu iliyoongoza kwa kutoa wachezaji wengi katika timu za taifa za mataifa bora katika soka la Afrika, kongole Wananchi
Daah uto mnatumia nguvu nyingi sana kuonekana ni wakubwa yaani badala ukubwa wenyewe uwafuate automatically nyie ndo mnalazimisha?
 
yanga acheni kijichoreshamalooser mnajifariji kwa mambo yakawaida sana.

Simba wametoa mchezaji Kwenda timu yataifa namba moja afrika hawongei Sana

nyie wenu wauswekeni huko mnaazisha na nyuzi kabisa maamae

kunakitu mnatamani muwe nacho sema ndoivyo sio liziki yenu.

sakoooooooooooo-timu no moja africa naharingi Wala Nini ingekuwa nyie nasherehe mngemfanyia
Kwamba katika wachezaji wa kigeni waliosajiliwa Simba, ni mchezaji mmoja tu ndio mwenye hadhi ya kuchezea timu ya taifa. Wengine hamna kitu
 
Kuna timu za taifa hazina hata hadhi ya kujivunia, mojawapo ni taifa stars. Kuna wachezaji wameitwa wana viwango vya chini sana.

Ila kwa sababu za ushabiki utadhani wameitwa timu ya taifa Argentina au Ufaransa kumbe taifa stars.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom