Hii ni moja ya rekodi CAF: Yanga kufungwa magoli mengi zaidi kwenye hatua ya makundi champions league!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,663
18,037
Hii ni rekodi inayoshikiliwa na Yanga hadi sasa. Ni timu iliyowahi kufungwa magoli mengi zaidi kuliko timu yoyote kwenye hatua ya makundi kwenye ligi nya mabingwa CAF. Ilifungwa magoli 19 kwenye mechi 6 na ikaburuza mkia!! Hii ilikuwa mwaka 1998.

Most goals conceded in group stage (single season): 19
Young Africans SC Tanzania in 1998

Hadi leo haijawahi kutokea timu ikafungwa magoli mengi hivyo kwenye hatua hiyo ya makundi CAF champions league!!
 
Tunashukuru kuwa Simba wameweka rekodi kuwa timu ya kwanza toka afrika ya mashariki kuifunga timu toka afrika ya magharibi magoli 7 bila kwenye hatua ya makundi caf champions league. Imeifunga Horoya ya GUINEA 7-0
 
Hii haijawahi Kuvunjwa
Screenshot_20230310-112032.jpg
 
Hii ni rekodi inayoshikiliwa na Yanga hadi sasa. Ni timu iliyowahi kufungwa magoli mengi zaidi kuliko timu yoyote kwenye hatua ya makundi kwenye ligi nya mabingwa CAF. Ilifungwa magoli 19 kwenye mechi 6 na ikaburuza mkia!! Hii ilikuwa mwaka 1998.

Most goals conceded in group stage (single season): 19
Young Africans SC Tanzania in 1998

Hadi leo haijawahi kutokea timu ikafungwa magoli mengi hivyo kwenye hatua hiyo ya makundi CAF champions league!!
Kama anashikilia hiyo rekodi maana yake ana ubora tayari, we utapata wapi hiyo rekodi wakati hata kushiriki tu hujawahi, means huna hata ubora wa kushiriki tu hilo kombe
 
Mwongo!! Timu nyingi tu hufungwa zaidi ya goli tano halafu bila aibu unasema haijawahi vunjwa!! Juzi tu horoya kapigwa wiki bila ie 7-0, au unajifanya haujui!
rekodi ya kufungwa goli 14 katika mechi tatu ndiyo inayozungumziwa!!
 
Walituaibisha sana ule mwaka hawa watu. Nchi ilipoteza kabisa matumaini ikaingia kwenye kiza kizito.
 
Back
Top Bottom