yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Edmund John aliyesajiliwa Yanga ni mchezaji hatari sana, nimeumia kusajiliwa Yanga

    Kama makocha wetu wangekuwa na uwezo wa kutambua vipaji basi kiungo wa pembeni Edmund John ni namba moja, dogo anajua sana boli, awali alipokuwa Singida nilidhan ni mchezaji wa kigeni lkn baadae nikaambiwa ni mbongo. Sipepesi macho, kwa sasa Tanzania ukimuondoa Kibbu Dennis, anayefuatia upande...
  2. Ileje

    JamiiForums Tanzania TFF iadhibiwe na FIFA endapo haitaiadhibu Yanga kwa kushiriki kampeni za CCM!

    Ni wazi Yanga imekiuka kanuni za FIFA kwa kushiriki kampeni za CCM katika uchaguzi mkuu wa kisiasa kupata viongozi wa serikali. Kwa hiyo ili kuepuka rungu la FIFA na kulinda heshima ya nchi kimichezo lazima TFF ichukue hatua za kuiadhibu Yanga ikiwa na pamoja na kuifungia kushiriki mashindano yo...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa mpira acheni kelele, Kisheria pesa za timu ya Yanga haziwahusu

    Zama hizi mtu anayepiga kelele na kubwabwaja huyo ni tahira. Kama kiongozi au viongozi wame misuse pesa za timu ambazo ni za shirika mahakama ziko wazi. Kubwabwaja maana yake pesa za Yanga au Simba hazina uhusiano na mashabiki (haziwahusu) ila viongozi wakitaka pesa wanatumia ujinga wenu...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Yanga na CCM wanapigania ukombozi kutoka kwa nani?

    Msemaji wa yanga akijieleza kwa mashabiki wake kuhusu mchango wa milioni 100 kwa ajili ya ccm,amesema kuwa timu yao ina historia ndefu ya kupigania ukombozi wa wananchi. Mimi nauliza tu,wanapigania ukombozi dhidi ya nani? Tunajua kuwa ninyi sio club ya mpira tu bali mnatumika sana kwa maslahi...
  5. H

    JamiiForums Tanzania CCM kuichukia Yanga na kuifanya kuwa moja Ya miradi yake ya kuipatia mapato, wanachama na Wapenzi wameshirikishwa? Na Vipi Wafanyabiashara waovu?

    Heading Isomeke ..Kuichukua, na siyo kuichukia Vyanzo vikuu vya mapato vya CCM, kwa kiasi kikubwa, siku zote imekuwa ni uovu na ukosefu wa maadili. Kwa CCM, uovu huipatia mapato makubwa, ila hili la Yanga kuifanya chanzo kimojawapo cha mapato yake, linashamgaza sana. Siku za nyuma, CCM...
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Yanga hawajachangia CCM pesa yoyote!

    Mimi ni SIMBA damu najuikana hivyo.. Na kama mtani wa jadi wa Yanga! Inapopata madhila nafurahi.. Ila kwa hili la kuchangia million mia moja nawatetea hawajafanya hivyo Vilabu vyetu hivi vya soka vingi vinaongozwa na wafadhili na wadhamini, hawana vyanzo vya uhakika vya kuwaingizia mapato...
  7. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Nimejivua rasmi uanachama wa Yanga

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Binafsi kuanzia Leo Mimi UMUGHAKA WA BHAGHAKA Nimejivua rasmi uanachama wa klabu ya Young Africans almaarufu kama Yanga! Nimekuwa shabiki wa hii timu ningali bado niko shule ya msingi,nimekuwa mpenzi wa hii timu ningali bado kinda,nimekuwa mkereketwa...
  8. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Yanga ina mashabiki Waislamu, Wakristo, wapagani, wanachama wa CCM, CHADEMA, CUF, wasionachama n.k

    Yanga ni taasisi watu wanatakiwa wajue hili ndani ya taasisi kuna mashabiki na watu aina tofauti-tofauti Mfano Kuna mashabiki wa Yanga ni Waislamu Kuna mashabiki wa Yanga ni Wakristo Kuna mashabiki wa Yanga ni wapagani Kuna mashabiki wa Yanga ni wachawi Kuna mashabiki wa dini ya ki-hindu Kuna...
  9. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga wameamua kuchoma Jezi za Yanga

    Clips zinasambaa mtandaoni; Mashabiki wa yanga mamia kwa maelfu wanapost video wakichoma Jezi za yanga naba do kuna wengine wanachoma bila kupost na wengine hawachomi ila wameshaikataa yanga. Engineer Hersi kama Rais wa Yanga inabidi sasa Ujiuzulu.Sidhani kama klabu ya Yanga itaichangia...
  10. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Yanga kushitakiwa FIFA na wanaharakati kwa kuvunja Sheria za FIFA zinazikataza vilabu kushiriki siasa za vyama vya siasa

    Hiki ndio kinachoendelea hiko kwenye kurasa za wanaharakati Jamani tuwaandikie FIFA kuhusu ukiukwaji wa kanuni za maadili ya Yanga! Kanuni za FIFA na hata CAF zinakataza kabisa kujihusisha na siasa za vyama! Itume kwa barua pepe ethics@fifa.org Anwani andika: FIFA Ethics Committee...
  11. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Bado nani sijamu UNFOLLOW Yanga?

    Nikiri wazi mimi ni shabiki wa Yanga kindakindaki kutoka moyoni. Lakini kwa hiki kilichofanyika imekua chukizo kwangu na kwa wengine wengi kama mimi. Najua wengine watabeza ila tayari nime unfollow kuanzia page ya Instagram mpaka viongozi wote wa Yanga. Katika wakati kama huu hawakupaswa...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Barua Kwa FIFA

    Ngurumbizi Dudumizi P.O. Box 1920 Iringa, Tanzania 13 August 2025 Head of Integrity & Compliance Fédération Internationale de Football Association (FIFA) FIFA-Strasse 20 8044 Zürich, Switzerland Subject: Grievance regarding Young Africans SC pledge of TZS 100 million to a political party...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuwananga / Kuwasema vibaya Yanga SC kwakuwa tu wamechangia CCM si tu ni Ushamba bali pia ni Upumbavu na Unafiki uliovuka mipaka

    Leo Yanga SC wameichangia CCM ambayo ndiyo inatengeneza Serikali Wapumbavu, Washamba na Wanafiki wote mmekasirika mbona hiyo hiyo Serikali inayoundwa na CCM ikiipa Yanga SC msaada wa Ndege kwenda Kucheza Mechi zake za Kimataifa huwa hamchukii tena huwa mnafurahi na kukenua hovyo na kila Kona...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Yanga hatarini kuadhibiwa na FIFA kwa kuichangia CCM Tsh. 100 Milioni

    Wakuu! Kabla hili la Yanga SC halijapoa, tuzungumze kidogo kuhusu kilichotokea. Labda wengi hawakutarajia kwamba klabu maarufu ya Yanga (Wananchi) ingejikuta katikati ya mjadala mkubwa wa Kitaifa hivi karibuni. Yanga imejikuta ikijadiliwa sana na kukosolewa vikali baada ya kuchangia kiasi cha...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Pichani mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize akiwa dukani kwake akiomba wananchi wamuungishe

    Mfike Kuungisha Wananchi🙏
  16. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Yanga CCM wajitafajari upya hakika wanachukiwa hakuna mfano

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Sijawahi kuwaona mashabiki wa yanga wakimtukana matusi ya nguoni Rais wao heris said ila jana alioga matusi si mchezo Walidiriki kwenda mbali wakimtaka aachie kabisa nafasi ya urais pale yanga Na wao kama mashabiki wako tiari kukaa hata...
  17. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Hersi itenganishe Yanga na CCM mbali, Kumbuka Neutrality phrase

    Yanga ilikuwepo, ipo, na itakuwepo. Usiku wa kuamkia leo umewakera wanayanga wengi kwa uamuzi wa kutoa mchango wa fedha kwa chama cha siasa. Yanga ina mashabiki kutoka vyama vyote vya siasa. Hata Chadema walipofanya harambee kama hii, klabu haikuchangia. Iweje leo klabu ichangie fedha nyingi...
  18. Ileje

    JamiiForums Tanzania Yanga ifungiwe na FIFA kushiriki mashindano yo yote ya kimataifa kwa kuchangia CCM!

    Mimi ni mpenzi wa Yanga lakini nimechukizwa sana kwa club hii kujihusisha na mambo ya siasa! Kwamba kwa kuwa Yanga ilishiriki katika kupigania Uhuru wa Tanganyika siyo sababu ya kujihusisha na mambo ya siasa! Eng. Herse anatumia Yanga kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa, kwa hiyo natoa wito...
  19. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Duniani kote vilabu vya soka havijihusishi na siasa. Inakuwaje Yanga wajihusishe na CCM moja kwa moja? Sisi ambao sio wana CCM tuhame timu?

    Usiku wa Jana nimeona viongozi wa Yanga wakiwa kwenye harambee ya ccm na kuihusisha yangu kama taasisi na kutoa million mia kuichangia CCM!! Swali langu ni lini club za soka duniani zilionekana wazi wazi zikijihusisha na vyama vya kisiasa kote ulimwenguni? Au Manchester united, Aston villa...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ninataka kuiandikia FIFA kuhusu mapendano ya Yanga na CCM. Niongeze nini?

    Kamati ya Maadili na Uadilifu ya FIFA Ninaandika rasmi kuomba uchunguzi wa haraka kuhusu tuhuma kwamba Klabu ya Young African Sports Club (Yanga SC) ya Tanzania inajihusisha na shughuli za kisiasa, jambo ambalo ni kinyume na Kanuni za FIFA zinazokataza kuingiliwa kwa siasa na ushiriki katika...
Back
Top Bottom