yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Mara 1000 Rais Samia angekutana hata na Wahadhiri kuliko Yanga

    Nchi hii imejaa maigizo mengi sana, nikitafakari mantiki ya Rais Samia kukutana na yanga nashindwa kuelewa. Ingekuwa timu ya Taifa hilo nisingeshangaa lakini pia hizi timu zinaonekana zimeanza kutumika vibaya sana Kwa dalili hii. Huko ulaya kuna mitimu kibao inafanya vizuri ila sijasikia hata...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi pesa za magoli ya Simba na Yanga zilipitishwa kwenye bajeti ipi?

    Je, tuseme Tanzania tuna pesa nyingi ambazo hazina matumizi yoyote ?
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Chakula cha Usiku na Timu ya Yanga kwa ajili ya kuwapongeza kwa hatua waliyofikia ya kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF). Hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu Magogoni jijini Dar...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi Wasafi FM inapendwa na wana Yanga na EFM Radio inapendwa na wana Simba

    Kuanzia leo siisikilizi tena Wasafi FM na nitamwona Mpuuzi wa mwisho mwana Simba SC yoyote akiisikiliza kwani hiyo ni Redio ya wana Yanga SC Nawaombeni wana Simba SC wote kuanzia leo anzeni tu Kuisikiliza EFM Radio kwani ndiyo Redio yetu na ina Watangazaji na Wachambuzi Wasomi na wana Akili...
  5. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz amzawadia Diara milioni 10

    Hongela sana CEO diamond kwa kutimiza ahadi yako ya kutoa motisha kwa kipa wa Yanga Diara. Sijui ni sawa na shilingi ngapi za kitanzania badilisheni wenyewe. --- Mkurugenzi wa Wasafi Media Naseeb Abdul Diamond Platnumz ametimiza ahadi yake ya kumkabidhi zawadi mlinda mlango wa klabu ya Yanga...
  6. JamiiForums Tanzania Simba acheni wivu kuona Yanga inapongezwa kila kona na kualikwa Ikulu

    Wana Simba a.k.a Lunyasi kila kitabu na zama zake. Huu ni mwaka wa Yanga, wamefanya vizuri mno. Sisi ni Watanzania, kiu yetu nikuona timu zetu zinafanikiwa kwenye uso wa ndani na kimataifa. Nimeshangaa kuona nyuzi za chuki wazi wazi zikitoka humu. Jamani kwanini roho mbaya hivyo? Simba imewahi...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga acheni visingizio, kubalini tu mmepoteza

    Mashabiki wa yanga acheni visingizio kubalini mmepoteza na hiyo ni moja wapo ya mchezo. Mmekuwa na visingizio vingi zisivyo na msingi, aya tukubali mlipoteza fainal kwa figisu huko Algelia vipi kuhusu kwa mkapa napo mlifungwa kwa sababu ya figisu? Hizo mnazo ita figisu mbona zipo miaka na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yanga kucheza tena Fainali sio baada ya miaka 10 bali ni miaka 88 ijayo

    Wadau nichukue nafasi hii kuipongeza Klabu ya Yanga kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho mwaka huu 2023 ikiwa ni miaka 88 toka Klabu ianzishwe. Miaka 88 sio muda mfupi ni muda mrefu sana. Kuna Shabiki mmoja ametabiri kuwa labda itacheza baada ya miaka 10 lakini mimi ninampinga sana...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Injinia Hersi: Rais Samia atoa ndege kuipeleka Yanga Mbeya

    Muda huu Rais wa Yanga amethibitisha Rais Samia ametoa ndege ya kuipeleka Mbeya Timu ya Yanga kumalizia michezo yake ya Ligi Kuu Bara Nadhan Yanga ina vinasaba na serikali. Sent using Jamii Forums mobile app --- Rais Samia Suluhu ametoa ndege maalum kuipeleka Yanga SC jijini Mbeya kwa ajili...
  10. JamiiForums Tanzania Salamu toka Kwa Shabiki wa Simba, Simba ijifunze kwa Yanga

    Binafsi nikiri wazi mbali ya kujaribu kuponda mafanikio ya watani zetu Yanga kwa ajili tu ya uhasimu tulionao, lakini nina uhakika sisi kama wanasimba na wanamichezo wapenda mpira wa miguu mioyoni mwetu tumeona na kukiri Yanga walivyofanikiwa. Tubeze kwa sababu ya ubinadamu wetu na utani na...
  11. JamiiForums Tanzania Mambo 10 ambayo Simba SC inapaswa Kujifunza Kutoka Yanga SC

    Kwanza, ni muhimu kuelewa kuwa kila timu ina changamoto zake na hakuna njia moja ya kufikia mafanikio. Hata hivyo, hapa kuna mambo kumi ambayo Simba SC wanaweza kuyafanya ili kufikia kiwango na ubora wa Yanga SC hivi sasa:- 1. Kuwa na uongozi thabiti na waaminifu ambao unaweza kuendesha timu...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Yaya Toure akosoa uwepo wa Fainali 2 kwenye Michuano ya Afrika

    Ujumbe wa nyota wa zamani wa Barcelona na Man City, Yaya TOURE juu ya uwepo wa fainali mbili kwenye michuano ya Afrika. Wakati umefika kwa mashabiki wa soka wa nchi zetu barani Afrika kudai HAKI YA MICHEZO kwa kuitaka CAF kuwa na mechi moja pekee ya fainali kwenye uwanja wa usiofungamana na...
  13. JamiiForums Tanzania Kuitwa Ikulu ni ishara kubwa kuwa Yanga SC imetuletea heshima Tanzania

    Sio rahisi ofisi aya rahisi ikaandaa mualiko maalamu pasi na kuwa na sababu ya msingi. Ni dhahiri mafanikio ya Klabu ya Yanga SC katika michuano ya CAFCC yanatambulika kama mafanikio makubwa zaidi katika historia ya mpira wa miguu Tanzania. Kwa kulitambua hilo, serikali imeona ni vyema kuialika...
  14. JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Yanga: Mabango yenye picha ya Rais Samia yapuuzwa, yakanyagwa

    Pamoja na juhudi kubwa za Mamluki walioingilia mapokezi ya Yanga kuchomekea mabango yenye Picha za Samia Suluhu (Haifahamiki Malengo yao) lakini kutokana na Wingi wa Watu kwenye eneo la Uwanja wa ndege, mabango hayo yameishia kupuuzwa na kukanyagwa na wananchi waliojazana uwanjani hapo. Wala...
  15. JamiiForums Tanzania Hatimaye Mabingwa wa medali CAFCC Yanga SC wamerejea nchini

    Baada ya kumchapa mwarabu nyumbani kwake hapo jana Yanga SC na kufanikiwa kutwaa ubingwa wa medali hatimaye wamerejea nchi na ubingwa wao.
  16. JamiiForums Tanzania Hujuma waliofanyiwa wachezaji wetu wa Yanga tunatakiwa tujifunze

    Habari zenu wakubwa, Kwanza nipende kuwashukuru wachezaji wetu wa Yanga kwa kuweza kuitangaza Tanzania kuwa tunaweza kupambana, pia nipende kutoa shukrani Kwa mashabiki, wadau wa mpira na pia mheshimiwa Rais wetu mpendwa kuwapa Ari ya kufanya vizuri. Tumejionea hujuma zilizofanywa na wachezaji...
  17. JamiiForums Tanzania Kocha Nabi: Uongozi wa Yanga utaamua kama natakiwa kubaki au kuondoka

    Kocha Mkuu wa Yanga, Mohamed Nabi amesema kuendelea kwake kusalia ndani ya klabu hiyo kunategemea mipango ya uongozi wa klabu baada ya tathmini ya msimu huu na nini wanahitaji kwa msimu ujao.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Awaandalia Yanga Hafla ya Kuwapongeza

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Ameandaa hafla ya kuwapongeza Wananchi, Young Africans SC kwa hatua waliyofikia kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika ambapo klabu hiyo ilifika fainali na kufanikiwa kutunukiwa medali kama mshindi wa pili. Hafla hiyo ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mbowe awapongeza yanga, asema makolo mjifunze kwetu

    Mimi ni muumini wa kutokukata tamaa, ni muumini mzuri pia wa kupambania ninachokiamini kwa gharama yoyote, na ndicho Yanga mlichokionyesha jana. Asanteni kwa hili, pongezi za dhati kwa kuweka alama kwenye mashindano ya kimataifa ya CAFCC, sina shaka wakati ujao tutalibeba kabisa kombe. Pongezi...
  20. JamiiForums Tanzania Yanga imetoa funzo kubwa kwa Simba na wengineo. Italiandika tena kwenye msimu ujao wa Klabu Bingwa?

    Mwanzo mwanzoni nitamke wazi kuwa mimi ni mshabiki wa Yanga tangu utoto wangu. Lakini, kila ninapotazama mechi ya mpira(nilianza kufuatilia tangu miaka ya 90), huwa nauweka ushabiki wangu pembeni. Daima huwa naitazama mechi kiufundi na kunasa cha kuondoka nacho, achilia mbali matokeo. Huwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…