Yanga acheni visingizio, kubalini tu mmepoteza

ITR

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
4,452
11,371
Mashabiki wa yanga acheni visingizio kubalini mmepoteza na hiyo ni moja wapo ya mchezo.

Mmekuwa na visingizio vingi zisivyo na msingi, aya tukubali mlipoteza fainal kwa figisu huko Algelia vipi kuhusu kwa mkapa napo mlifungwa kwa sababu ya figisu?

Hizo mnazo ita figisu mbona zipo miaka na miaka?

Ukijaribu kusikiliza wachambuzi wanavyo ichambua hii mechi utagundua kuwa Tanzania hakuna wachambuzi bali kuna wafata mkumbo tu, wanakuambia Yanga wamecheza mpila mkubwa lakini ukijaribu kuangalia kwa jicho la mpira nje ya kumiliki mpila yanga hakuna cha ziada ilicho kifanya kwa ajili ya kutafuta goli.

Hivi utasemaje timu imecheza mpila mkubwa hali ya kuwa golikipa wake ndo amekuwa mchezaji bora kwa kuokoa hatari kwenye lango lake?

Kiufupi aliye ifanya fainal kuwa ngumu kwa waarabu ni yule beki aliye sababisha penaliti ya kipuuzi dakika za mwanzo ile penalty ilivuruga plan nzima ya mchezo walio kuwa wamepanga kuucheza.

Pia na ubora wa kipa wa Yanga hasa kipindi cha kwanza uli chagiza fainal kuwa ngumu kwa Waarabu.
 
Domo fc bana
9603445.jpg

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Mashabiki wa yanga acheni visingizio kubalini mmepoteza na hiyo ni moja wapo ya mchezo.
Mmekuwa na visingizio vingi zisivyo na msingi, aya tukubali mlipoteza fainal kwa figisu huko Algelia vipi kuhusu kwa mkapa napo mlifungwa kwa sababu ya figisu?
Hizo mnazo ita figisu mbona zipo miaka na miaka?

Ukijaribu kusikiliza wachambuzi wanavyo ichambua hii mechi utagundua kuwa Tz hakuna wachambuzi bali kuna wafata mkumbo tu, wanakuambia Yanga wamecheza mpila mkubwa lakini ukijaribu kuangalia kwa jicho la mpira nje ya kumiliki mpila yanga hakuna cha ziada ilicho kifanya kwa ajili ya kutafuta goli.

Hivi utasemaje timu imecheza mpila mkubwa hali ya kuwa golikipa wake ndo amekuwa mchezaji bora kwa kuokoa hatari kwenye lango lake?

Kiufupi aliye ifanya fainal kuwa ngumu kwa waarabu ni yule beki aliye sababisha penaliti ya kipuuzi dakika za mwanzo ile penalty ilivuruga plan nzima ya mchezo walio kuwa wamepanga kuucheza.

Pia na ubora wa kipa wa Yanga hasa kipindi cha kwanza uli chagiza fainal kuwa ngumu kwa waarabu.
Kuna uzi humu JF unataarifa za Mh. Rais Samia katoa ndege tena kuipeleka Yanga Mbeya umeuona? Huu mwaka msipokufa kwa wivu....
 
Mashabiki wa yanga acheni visingizio kubalini mmepoteza na hiyo ni moja wapo ya mchezo.
Mmekuwa na visingizio vingi zisivyo na msingi, aya tukubali mlipoteza fainal kwa figisu huko Algelia vipi kuhusu kwa mkapa napo mlifungwa kwa sababu ya figisu?
Hizo mnazo ita figisu mbona zipo miaka na miaka?

Ukijaribu kusikiliza wachambuzi wanavyo ichambua hii mechi utagundua kuwa Tz hakuna wachambuzi bali kuna wafata mkumbo tu, wanakuambia Yanga wamecheza mpila mkubwa lakini ukijaribu kuangalia kwa jicho la mpira nje ya kumiliki mpila yanga hakuna cha ziada ilicho kifanya kwa ajili ya kutafuta goli.

Hivi utasemaje timu imecheza mpila mkubwa hali ya kuwa golikipa wake ndo amekuwa mchezaji bora kwa kuokoa hatari kwenye lango lake?

Kiufupi aliye ifanya fainal kuwa ngumu kwa waarabu ni yule beki aliye sababisha penaliti ya kipuuzi dakika za mwanzo ile penalty ilivuruga plan nzima ya mchezo walio kuwa wamepanga kuucheza.

Pia na ubora wa kipa wa Yanga hasa kipindi cha kwanza uli chagiza fainal kuwa ngumu kwa waarabu.
WAMELOWA TEPETEPE
 
Mashabiki wa yanga acheni visingizio kubalini mmepoteza na hiyo ni moja wapo ya mchezo.

Mmekuwa na visingizio vingi zisivyo na msingi, aya tukubali mlipoteza fainal kwa figisu huko Algelia vipi kuhusu kwa mkapa napo mlifungwa kwa sababu ya figisu?

Hizo mnazo ita figisu mbona zipo miaka na miaka?

Ukijaribu kusikiliza wachambuzi wanavyo ichambua hii mechi utagundua kuwa Tz hakuna wachambuzi bali kuna wafata mkumbo tu, wanakuambia Yanga wamecheza mpila mkubwa lakini ukijaribu kuangalia kwa jicho la mpira nje ya kumiliki mpila yanga hakuna cha ziada ilicho kifanya kwa ajili ya kutafuta goli.

Hivi utasemaje timu imecheza mpila mkubwa hali ya kuwa golikipa wake ndo amekuwa mchezaji bora kwa kuokoa hatari kwenye lango lake?

Kiufupi aliye ifanya fainal kuwa ngumu kwa waarabu ni yule beki aliye sababisha penaliti ya kipuuzi dakika za mwanzo ile penalty ilivuruga plan nzima ya mchezo walio kuwa wamepanga kuucheza.

Pia na ubora wa kipa wa Yanga hasa kipindi cha kwanza uli chagiza fainal kuwa ngumu kwa Waarabu.
wewe ni mpuuzi
 
CD ya final CAFCCL 2023 inaonesha AGGREGATE "USM ALGER 2-2 YANGA FC" mbeleko ndiyo imeamua yupi awe Bingwa wala si matokeo ya kufungwa na kufunga, Pole sana Mbumbumbu Mwandamizi

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ukiwa shabiki wa simba na hata marinda unaanza kuyapoteza ndio maana kilasiku mnafikiria kuwaandika vidume vya Africa YANGA
 
Mashabiki wa yanga acheni visingizio kubalini mmepoteza na hiyo ni moja wapo ya mchezo.

Mmekuwa na visingizio vingi zisivyo na msingi, aya tukubali mlipoteza fainal kwa figisu huko Algelia vipi kuhusu kwa mkapa napo mlifungwa kwa sababu ya figisu?

Hizo mnazo ita figisu mbona zipo miaka na miaka?

Ukijaribu kusikiliza wachambuzi wanavyo ichambua hii mechi utagundua kuwa Tz hakuna wachambuzi bali kuna wafata mkumbo tu, wanakuambia Yanga wamecheza mpila mkubwa lakini ukijaribu kuangalia kwa jicho la mpira nje ya kumiliki mpila yanga hakuna cha ziada ilicho kifanya kwa ajili ya kutafuta goli.

Hivi utasemaje timu imecheza mpila mkubwa hali ya kuwa golikipa wake ndo amekuwa mchezaji bora kwa kuokoa hatari kwenye lango lake?

Kiufupi aliye ifanya fainal kuwa ngumu kwa waarabu ni yule beki aliye sababisha penaliti ya kipuuzi dakika za mwanzo ile penalty ilivuruga plan nzima ya mchezo walio kuwa wamepanga kuucheza.

Pia na ubora wa kipa wa Yanga hasa kipindi cha kwanza uli chagiza fainal kuwa ngumu kwa Waarabu.
waarabu walipelekewa moto mpk dkk ya 6 wakatoa penati,moto ukaendelea kupelekwa mpk mashabiki wakarusha fataki uwanjani ili mechi isimame na timu yao ipate kupumua na kupata maelekeo ya kocha maana km si vile yanga wangepata goli 2 kipindi cha kwanza tu kwa msako ule,pia kipindi cha pili ulipelekwa moto kwa waarabu mashabiki wakaona warudie mbinu yao ya kipindi cha kwanza na kuongeza ile ya kurusha mipira mitatu mitatu uwanjani ili kuipa timu yao ahueni ya kupumua,vyote nilivyoandika hapo hufanywa na timu zisizojiweza huwezi ona hizo mambo kwa timu km yanga,al ahly,raja,waydad...HIZO NDO MAMBO ZILIZOWASAIDIA SANA ALGERS LKN NGOMA INGECHEZWA KI PRO KILA MMOJA ATUMIE UWEZO WAKE JANA USIKU UNGESKIA WATU KADHAA WAMEKUFA KUTOKANA NYOMI LA WANANCHI KUJA KULIPOKEA KOMBE PALE AIRPORT
 
Hebu niambie yanga alitengeneza nafasi ngapi za magoli kwenye hiyo mechi?
Mechi nzima Yanga katengeneza nafasi moja tu ya hatari alafu unasema eti imepeleka moto huo moto ulikuwa moto wa kuni au?

Kuhusu penaliti ndo maana nikaiita panaliti ya kipuuzi kwa sababu haikuwa na urazima maana ule mpira haukuwa na hatari yeyote ile kwa sababu ulikuwa mbali sana msonda asinge weza kuupata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom