yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania CAF: Yanga imekufa kiume lakini Simba imeuawa na wanaume.

    Wakati Simba ikiwa imeuawa na wanaume Yanga imeonyesha maana halisi ya kufa kiume. Simba wamefia uvunguni mwa kitanda wakati Yanga imefia juu ya kitanda.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Yanga wapewe mapokezi ya heshima. Wanastahili kwa viwango vyote

    Timu ya Daresalam Young Africans imehitimisha safari yake salama na kuwa BINGWA NAMBA MBILI AFRICA, wa kombe la shirikisho. Klabu ya Yanga, wanachama na Wapenzi wa Michezo wenye moyo wa uzalendo, wanaombwa kuwapa MABINGWA No 2 mapokezi ya heshima. Kazi walioyofanya ni kubwa haswa KUSHINDA...
  3. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Asanteni sana mashujaa wetu Yanga, Wananchi hatuna cha kuwadai, cha msingi tumemkanda Mwarabu kwao

    Waarabu walicheza mbele ya mashabiki wao full house, viongozi wote wa CAF wakiwa uwanjani kushuhudia fainali Yanga imemkanda Mwarabu kwao na aggregate ni 2-2, Waarabu wananufaika na kanuni za mashindano, Ulaya hakuna upumbavu huu kwa level ya fainali. Sisi wananchi hatuna la kuwadai mashujaa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Yanga ndiye bingwa wa CAFCC 2023

    Naanza kwa kuipongeza timu ya Yanga kwa hatua kubwa waliyoifikia kimpira! Japo hawakushinda kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizowekwa na CAF binafsi naamini Yanga ndiye bingwa wa michuano ya CAFCC 2023. Wamecheza soka safi na la kisomi, hongera kwako Nabi na timu yako ya benchi la ufundi...
  5. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Yanga yaendeleza rekodi, haijawahi kuwekwa na timu yoyote Afrika

    Yanga hongereni sana tena sana, ni rekodi ambayo haijawahi kufikiwa na timu yeyote afrika kushinda mechi zaidi ya tano away? Big up sanaaa Nb Nyumbani kuna wanga na wachawi
  6. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Yanga leo inatuheshimisha Tanzania

    helloow africa Simba tunajua mnawivu sana mnaropoka mpaka mate yanawakauka Ila Ukweli usio pingika hapa leo tunaheshimisha Tanzania hapa tukishindwa nitukanwe matusi yote na ban juu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga tukubaliane japo kwa hili

    Kukubali ukweli siku zote siyo udhaifu bali ni sehemu ya kujisahihisha. Ukweli ni kwamba USM Algers siyo TP Mazembe, Marumo Gallants, Rivers Wala Monastry. Wakati mwingine ni ngumu kwenda vitani huku ukiamini kuwa hutarejea, lazima ufe, ila uamini usiamini ukweli utabaki kuwa kurudi kwako ukiwa...
  8. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Acheni kujiweka fight mode mpaka sasa Yanga ni Bingwa

    Yanga hoyee, Tukifungwa ni mabingwa, tukishinda ni mabingwa. Tayari historia imewekwa, timu ya wananchi wenye akili imeingia fainali. Kama hautaki, andamana
  9. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tarehe 03 Juni, 2023 Yanga inachukua kombe, kila mmoja aseme AMEN

    Ninashabikia klabu ya Simba. Hakuna timu bora Tanzania kama Simba Sports Club. Leo ninasimama kama Mtanzania kuanza kushangilia ushindi wa watani zangu Utopolo wahed. Nawaombea kwa moyo mweupe. Kombe la Shirikisho wakilichukua tutanufaika kama Taifa.... Watanzania tusimame na Yanga kwani...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

    Leo ndiyo nngwe ya pili ya Fainali ya kombe la Shirikisho Afrika ikiikutanisha timu ya USM Alger ya nchini Algeria na Yanga SC ya Tanzania ambapo Yanga itakuwa ugenini. Katika mchezo wa kwanza Yanga ilipoteza 2-1 katika uwanja wa Benjamini Mkapa. Timu hizi katika historia zimeingia fainali kwa...
  11. Tango73

    JamiiForums Tanzania Kama Brazil alifungwa kwao na German kwa nini USM Alger asifungwe kwao na Yanga?

    Uwezo aliokuwa nao Yanga ni mkubwa tena ni wa kutisha katika medani za soka barani africa. kiukweli kweli kabisa Marumo Gallant walikuwa hatari sana na wakalala mabao mawili kwao africa kusini. Recodi hii inanipa ubavu wa kuamini 100% ya kuwa Yanga kesho ataifunga algeria timu ya USM Alger...
  12. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Yanga kupokea wachezaji 3 toka La Liga

    Taarifa toka chanzo cha kuaminika zinasema kuwa Club ya Yanga inatarajia kupokea makinda 3 toka vilabu vya Villarreal na Atlético Madrid kama sehemu ya makubaliano yao na La Liga katika kubadilishana wachezaji wa timu B. Makinda hao ni golikipa mmoja na washambuliaji 2, inasemekana Clement F...
  13. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Yanga mshindi wa pili Kombe la Shirikisho Afrika

    Yanga inao mlima wakupanda kuhakikisha inawafunga goli mbili kwa 0 USM Alger ili iweze kuibuka bingwa kunako michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa. Hilo ni Jambo gumu kutokea lakini kila la kher Yanga Utabiri wangu FT USM Alger Vs Yanga FT 0-1
  14. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Kama Eng Hersi alidiriki kuvaa jezi ya Kaizer chief kwenye mechi muhimu dhidi ya Simba, Mimi ni nani niitakie heri Yanga? Njoo hapa tuiombee mabaya ke

    siwezi kamwe kuiombea heri Yanga ....hata wakicheza na timu ya mtaani kwetu Mimi nitakuwa upande wa timu pinzani... Hata YANGA VS YANGA , mimi nitakuwa upande wa Vs.. Kesho FT USM Alger 3 young Africans 0 Na Kila mtu aseme ameen
  15. Alexander Lukashenko

    JamiiForums Tanzania Jinsi Yanga ilivyopotea Airport 2017

    Unaweza ukajiuliza kwanini Mama kawapa Yanga dege letu la kisasa. Basi ondoa shaka ni kwa nia njema, kwani hawa watu wanahistoria mbaya huko Algeria. Kama lilivyoreport gazeti la Mwanaspoti mwaka 2017. Rubani alisubirii weee akaamua kuamsha.........
  16. Area 56

    JamiiForums Tanzania Bashiri matokeo ya mechi ya USM Alger Vs Yanga na ulambe elfu tano

    Weka ubashiri wako na ulambe elfu tano hiyo kesho, mwisho wa ubashiri ni saa 3:59 usiku wa kesho, yaani dakika 1 kabla ya mechi kuanza. Updates: 🚨🚨🚨🚨🚨 Hakuna aliyepatia, elfu tano itakuwepo tena mechi ya fainali ya Azam Sports Federation
  17. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Njia pekee Feitoto kuondoka Yanga bila makubaliano/kuuzwa ni kustaafu soka

    Najaribu kutafakari endapo Al hilal wangemtaka Messi na kumshawishi avunje mkataba na PSG ili wamchukue bila mazungumzo na ingekuwaje? Duniani kote hakuna utaratibu wa mchezaji kujiamulia kuvunja mkataba na kuondoka, Au club kujiamulia kumvunjia mkataba mchezaji bila mazungumzo/makubaliano...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Yanga SC imebeba jukumu la kuvunja utawala huu CAF

    IKIWA Juni 3, 2023 inatarajiwa kuchezwa mechi ya mkondo wa pili wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, wawakilishi wa Tanzania, Yanga SC wana kazi moja kubwa ya kuweka historia na kuvunja utawala ulioweka kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. Kumbuka Yanga SC watakuwa uwanjani nchini...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Jasmine Razack: Feitoto amekwisha fungua kesi CAS dhidi ya TFF na sio Yanga!

    Msimamizi wa Feisal Salum, Bi. Jasmine Razack asubuhi hii amesema kuwa, tayari Feisal amelipa pesa ya awali na amefungua jalada (CAS). Amesema, kwenye kesi hiyo, Feisal hajaishitaki Yanga huko CAS, ameishitaki (TFF) kwa kushindwa kuvunja mkataba wake na Yanga na kumuamuru arejee Yanga. "Shauri...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Upendeleo wa Rais kwa Yanga unakwenda kuisambaratisha Yanga vipande (inafungwa na USM)

    Yamkini wachambuzi wa soka wameligundua hilo mapema lakini wanaogopa kusema. Kinachofanywa na Rais dhidi ya Simba na yanga ni kama kulea watoto wawili wa kufikia kinafiki! Mtoto wa kambo (simba ya champion) akiwa darasa la juu kabisa la ushindani (champion) anapewa motisha sawa sawa na mtoto...
Back
Top Bottom