Wanayanga SC Wenzangu hili halikubaliki, upesi sana tuwagomee CAF au tujitoe tu CAFCL kabisa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,130
Haiwezekani Sisi tuliofika Fainali ya CAFCC tunaanza hatua za awali kabisa (za Wachovu na Wasiojua) CAFCL halafu Simba SC walioishia au waliozoea kuishia hatua ya Robo Fainali ya CAFCL wao wanaanzia hatua ya Pili.

GENTAMYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC tukuka (Members wana Yanga SC wote wsnajua) nawaombeni wana Yanga SC tusikubali Abadan na Kesho twendeni TFF ili tuwaambie wawapigie Simu CAF na tuwaambie Watuheshimu na watupange Makundi moja kwa moja.
 
Haiwezekani Sisi tuliofika Fainali ya CAFCC tunaanza hatua za Awali kabisa ( za Wachovu na Wasiojua ) CAFCL halafu Simba SC walioishia au waliozoea kuishia hatua ya Robo Fainali ya CAFCL wao wanaanzia hatua ya Pili.

GENTAMYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC tukuka ( Members wana Yanga SC wote wsnajua ) nawaombeni wana Yanga SC tusikubali Abadan na Kesho twendeni TFF ili tuwaambie wawapigie Simu CAF na tuwaambie Watuheshimu na watupange Makundi moja kwa moja.
Nakuona profesa Mruma katika ubora wako
 
Bichwa lako
img_1_1687976012224.jpg
 
Wale washindi wenyewe hawapo ht kwenye 10 ten halafu hao second runner up unadhani vipiii...wao wanashangilia medali tu
Kuna wakati tunakuwaga na ujinga na ushabiki usio na maana kabisa. Viwango hivi vya timu hutegemea performance ya miaka 5 na sio mwaka mmoja. Pamoja na kuwa Simba havuki robo fainali, mwendelezo wa kufikia hatua hii kwa miaka kama minne ndio kunambeba kwenye hizi ranking.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Wala usisumbuke kumjibu acha aendelee kuwashikia akili vijana wa mangungu, yanga kakusanya point 20 ndani ya msimu mmoja, Simbwa kakusanya pont 35 ndani ya misimu 5, Sasa nani kapata mafanikio kuliko mwenzake? Na vipi msimu huu anajua yanga atakusanya point ngapi nyingine? Na baada ya iyo misimu 5 yanga atakuwa wapi kwenye ranking za caf Kama alikuwa nafasi ya 75 na ndani ya msimu mmoja akaruka mpaka nafasi ya 18 wenye uelewa wa mambo watakuwa na majibu!
 
Jifariji!
 
Haiwezekani Sisi tuliofika Fainali ya CAFCC tunaanza hatua za awali kabisa (za Wachovu na Wasiojua) CAFCL halafu Simba SC walioishia au waliozoea kuishia hatua ya Robo Fainali ya CAFCL wao wanaanzia hatua ya Pili.

GENTAMYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC tukuka (Members wana Yanga SC wote wsnajua) nawaombeni wana Yanga SC tusikubali Abadan na Kesho twendeni TFF ili tuwaambie wawapigie Simu CAF na tuwaambie Watuheshimu na watupange Makundi moja kwa moja.
Punguza ujuaji mwingi wewe, haya waulize Esperance Tunis walioishia Nusu fainal kwanini wameanzia kwenye preliminary 1st round.
 
Back
Top Bottom