yaleyale

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Picha: Sanamu ya Nyerere Makao Makuu Umoja wa Afrika, ni yeye au lah?

    Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa kwa ajili ya kutambua mchango wake katika masuala ya ukombozi Barani Afrika tarehe 18 Februari, 2024. Ikumbukwe kuwa katika uzinduzi wa hifadhi ya Burigi...
  2. Richard

    Anayokutana nayo Makonda ziarani mikoani ni yaleyale ambayo yangetatuliwa kupita shule ya uongozi ya Humphrey Polepole bila matumzi makubwa ya fedha

    Katibu Mwenezi, Itikadi na sisa wa CCM Paul Makonda, yupo barabarani akizungukia maeneo mbalimbali ya nchi ambako amekutana na shida lukuki. Kuna shida zingine ni rahisi sana kutatuliwa bila kutumia nguvu wala migogoro. Shida zingine wananchi hukutana nazo kutoka kwenye idara za serikali...
  3. Nsanzagee

    Aidha ni miongoni mwa wenye kumwangusha Rais Samia na au anafanya yaleyale ya mtanifanya nini!

    Samahani, kwa sasa nitakuwa naanza na neno Watu weusi pausua kichwa, tunamatatizo gani? Mbona hatuwezi karibu kila kitu? Baada ya kutugundua na kujiaminisha kwamba, Watanzania hata uwafanyie ubaya unaozidi ubaya, hawawezi kukufanya chochote, zaidi sana wataandika na kulalamika huku wakiishia...
  4. kavulata

    Kuvaa jezi yenye mabango mawili yaleyale ni dalili ya afya ya akili kwa mvaaji.

    Uvaaji wa maVazi ni ishara ya jambo fulani kwa mvaaji kama vile huzuni, furaha, umoja, aina ya kazi ufanyayo na ujumbe unaotaka kuwasilisha kwa jamii. Jezi mpya ya Simba Ina mabango 2 kifuani yanayoitangaza bidhaa ya moxtra, hii inamaanisha nini kwa atakaekuwa ameivaa hii jezi, imekosewa...
  5. William Mshumbusi

    Tetesi: Ni yaleyale mlete mzungu. Fernando Da Cruz kocha Mbovu eti ndio kocha mpya Simba, basi Viongozi hawajitambui

    Wametafuta mzungu asiye na timu anayezulula tu mtaani wakaongea nae. Ifikie sehemu tuheshimu wazawa. Dili la viongozi kupiga Pesa ndefu kwa Mo limekaribia kutiki. Huyu kocha hajawahi kuongoza timu yoyote ile kwa miaka miwili mfululizo. Anaishiaga nusu msimu. Viongozi wanaweka siri ili watu...
  6. Upekuzi101

    Mahitaji ya watanzania ni yaleyale Makonda ukiyatimiza haya kijiji unachukua, Hayati Magufuli alipendwa kwa Haya

    Sina mengi ya kusema ila Makonda ukiweza kutatua kero za wananchi on spot, kurudisha uwajibikaji kwenye ofisi za umma maana waajiriwa wote na watumishi wote wapo kwa udhamini wa CCM so unaweza kuvimba nao, huduma muhimu ziboreshwe, ikiwemo shule, hospitali, miundombinu ya maji, barabara na umeme...
  7. K

    Yaleyale ya C.D.A!

    Nikiwa nimeishi hapa mkoani Dodoma kwa muda wa miaka ishirini sasa(20),nilishuhudia usumbufu wa watu kufuatilia viwanja vyao na kupata hati.Nadhani kwa sasa inabidi mabadiliko makubwa sana!kwani Dodoma sasa ni jiji na makao makuu ya nchi.Kwa ufupi usumbufu bado upo palepale.Ni mwezi sasa...
  8. Melki the Storyteller

    Tukio limejirudia tena katika mazingira yaleyale, nikiwa na watu walewale huku tukizungumza maneno yaleyale

    Msaada wakuu, hii hali imeanza kuwa serious sana. Kwa sasa inanikuta kila mwezi tofauti na awali ilipokuwa inanitokea mara moja kwa mwaka Inaanza uko maeneo fulani ukiwa na mtu fulani, wakati unamalizia mazungumzo, ndipo unakumbuka kuwa hayo maneno umewahi yatamka kabla. Hata eneo ulilopo ndilo...
  9. T

    Mapenzi ni yale yale tu

    We jiulize toka enzi ya adamu mpaka sasa kuna watu wangap walipitia km yako!?? Je walifanya maamuzi gani Ndugu kila kinachotokea ktk mapenz ndio mapenz yenyewe we chukulia ivyo ukipendwa au ukitendwa we chukulia kawaida tuu Ukihongwa Sana au ukichunwa Sana kawaida tuu Yaan hakuna jipya watu...
  10. B

    Waziri wa Mambo ya Nje hajafanya jambo jipya, anafanya majukumu yaleyale. Tunahitaji ubunifu

    Kwa wale ambao wamekuwa wakitembelea Balozi zetu nje watabaini wazi kwamba muundo wa kiutumishi kwenye balozi zetu zote Duniani umejengwa kidiplomasia na tafsiri ya watendaji wa Wizara ni kwamba ukihudumu Wizara ya Mambo ya Nje basi wewe ni mwanadiplomasia na hivyo unaweza kuisaidia nchi kama...
  11. D

    Teknolojia inatuletea yaleyale ya kwetu yaliyotiwa nakshi ya udigitali

    Zamani kule vijijini tulizoea kuweka pazia au milango ya mguu pande mguu sawa na hakuna mwizi aliyethubutu kuvunja! Na aliyethubutu kufanya hivyo cha moto kilimpata. Hii haina tofauti na sasa, teknolojia imekuja na milango ya vioo! Ni yale yale kama yetu lakini huku yamekuja kwa sura ya kioo...
Back
Top Bottom