yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Marehemu Kanumba uliondoka na Bongo Movie yako japo ndiyo ulianza kuichangamsha

    Leo nimekukumbuka baada kuona wasanii wa bongo hawana tofauti wanachama wa CCM baada ya maigizo yao au kazi zao. Japo ndio ulikuwa mwanzo mgumu ila ulitendea haki tukupe shukrani. Huku umetuachia wajinga wengi mpaka wengine wamekuwa wanyekiti wa misiba na mbwembwe.wapo wachache wenye kutimiza...
  2. JamiiForums Tanzania Mafanikio katika maisha hayana formula. Acha kuiogopa kesho yako

    Habari! Mada kuu mahali popote walipo wawili, watatu au hata mtu mmoja ni pesa (mafanikio). Ukikaa maingilio ya Kariakoo asubuhi utajionea maelfu ya watu wakitembea kwa haraka sana kufukuzana na pesa au mafanikio. Mchezo wa kusaka pesa (money game) ni wa milele. Mtu huacha kuwaza pesa pale...
  3. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Taifa na CCM yako hongera kwa Kuachana na ‘afadhali’ Shaka na Kutua kwa ‘Potelea mbali kabisa’ Sofia

    Endeleeni tu Kudhani kila mahala Mwanamke anafaa na kwamba Watanzania wa mwaka 2025 ili wapige / wampigie Mtu Kura wanataka kuona Lundo la Wanawake katika kila Sekta. Bora kule Kwingine kwa Wapokea Mishahara kila tarehe 21 au 22 ya Mwezi na ile ya Chakula kila tarehe 30 au 31 ya Mwezi ulishtuka...
  4. JamiiForums Tanzania Umewahi kubadili dini na badae ukarudi dini yako ya awali? Ilikuwaje?

    Wakuu Habari za Jumapili? Binafsi sijawahi kubadili dini yangu ya awali, ila ninae kaka yangu yeye aliwahi kuhama kutoka KKKT, Full gospel, EAGT na saizi yupo kanisa lingine. Je, humu ndani tunao watu wenye kuhama hama ivo, Nini hasa sababu ya kufanya hivyo. Tunaomba mlete uzoefu.
  5. JamiiForums Tanzania Huwa unajihisi vipi ukikutana na mtu aliyewahi kukudharau kwenye maisha yako?

    Salaam wakuu, kuna nyakati binadamu tunapitia mengi katika Safari yetu ya maisha ya kila siku. Ziwe nyakati nzuri au mbaya, basi kuna funzo muhimu huwa tunalipata katika maisha yetu. Je, huwa unajisikiaje ukikutana na mtu ambae aliwahi kukudharau au kukuchulia poa katika maisha yako na...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza

    Ni mara ya kwanza nakuja jukwaani hapa kutafuta mwenza. Litakuwa jambo jema kama nitampata mwenye kunififkiria na kuruhusu tuishi pamoja. Kabla ya kuweka vigezo, naomba nieleze machache hapa chini: Sijafanikiwa kuwa na kazi maalum ya kuniingizia kipato, kwa hiyo sina kazi kwa sasa japo...
  7. JamiiForums Tanzania Amri Kuu Kuliko Zote ni Upendo! Mpende Mungu, Ipende Nchi, Wapende Viongozi, Mpende Jirani Yako Kama Nafsi Yako!. Jirani yako ni Nani?, Unampenda?

    Heri ya Krisimasi, Merry Christmas Sikukuu ya Krisimasi kwa mwaka huu imedondokea siku nzuri ya Jumapili! Hii ni Makala ya Jumapili ya Krismasi. Kwa mafundisho ya dini ya Kikristu, tuliyopewa na huyu Masiya aliyezaliwa leo, Bwana wetu Yesu Kristu, aliulizwa amri kuu kuliko zote ni amri gani...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vizuri

    Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vzuri.
  9. JamiiForums Tanzania Kijana mwenye uwezo mkubwa wa kutengeneza michezo (games) ya kubeti, changamsha siku yako na hii

    Kila mtu anapenda kufanya kitu kitakacho mpa amani na furaha. Ikiwa utapata furaha ukifanya kitu Fulani, basi hicho ndio kitu kinachokufaa sana. Kuna watu wanapenda kupika, wengine kusoma vitabu, wengine kuimba au kuchora. Hizi zinaitwa hobbies, Mambo unayopenda sana,na siku yako haipiti bila...
  10. JamiiForums Tanzania Dira2023 Kwa Mabinti na Wanawake; Jipe thamani: THAMANI yako haitokani na Mwanaume

    DIRA2023 KWA MABINTI NA WANAWAKE; JIPE THAMANI; THAMANI YAKO HAITOKANI NA MWANAUME. Anaandika, Robert Heriel Kuhani! Na huu ndio ujumbe wenu, enyi mabinti na Wanawake. Hii iwe ndio dira yenu. Jipe THAMANI! Na katika thamani hiyo elewa kuwa sio lazima itokane na Sisi wanaume. Ninyi ni Wake...
  11. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Tupe maoni yako

    Habari Ndugu! Ikiwa tume uwanza mwaka mpya basi nasi tunataka tukuhudumie kwa viwango vya juu kabisa kwa mwaka huu kwa kuwaletea matoleo mazuri zaidi na ya kisasa. Leo tujadiliane kitu kimoja. Kwa namna moja ama nyingine simu zetu za TECNO zimekuwa na watumiaji wengi sana hapa nchini. Huku...
  12. JamiiForums Tanzania Karibu Bright and Genius Editors upate huduma bora

    BRIGHTING AND GENIUS EDITORS TUNAANDIKA NA KUHARIRI DOCUMENTS ZIFUATAZO: Business Proposal/Plan Katiba za Vikundi Cover Letter na CV/Resume Website Content Barua za Wadhamini Study Plan na Statement of Purpose Personal Statement Mikataba LAKINI PIA TUNAHARIRI DOCUMENTS ZIFUATAZO: 9. Thesis...
  13. JamiiForums Tanzania Boss Saalah wa Silent Ocean, wana Simba SC tunajua mchanganuo wa ahadi yako ya milioni 30 kama Tanzania Prisons ikiifunga Simba SC Ijumaa

    Boss Saalah Said Mohammed Mmiliki wa Kampuni ya Silent Ocean na Mdogo wake wa Damu Tajiri wa Yanga SC Gharib Said Mohammed tunajua kila Kitu juu ya ahadi yako ya Tsh Milioni 30 kama wakiifunga Simba SC ijumaa kwa Mkapa. Ufuatao ndiyo Mchanganuo mzima wa hiyo ahadi ya Tsh Milioni 30 kwa Klabu ya...
  14. JamiiForums Tanzania Weka playlist yako ya top 10 l, nyimbo zako bora zilizofanya poa huu mwaka!

    1- taylor swift anti hero 2- mbosso huyu hapa 3- SZA nobody gets me 4- kizz daniel cough 5- Drake ft 21savage Rich flex 6- The weekend die for you 7- rema ft sele gomez calm down 8- the kid laroy ft Justin stay 9- c-kay love nwantiti 10- Ruger Dior
  15. JamiiForums Tanzania Usigawe DNA yako kihuni

    Narudia tena either you are a man or woman na ushajifahamu akili ipo kumkichwa usigawe DNA Yako kizembe. Kwa lugha nyepesi usizae kiholela na Watu wasiojielewa ni hayo tu ndugu zangu. Happy boxing day.
  16. JamiiForums Tanzania Shikamoo Harmonize, (Konde boy) kwa show yako nzuri

    Nakupongeza kijana mwenzangu kwa kutupa burudani ya hadhi ya juu usiku wa kuamkia leo, kiukweli mashabiki wako hatukudai kitu kwa mwaka huu Mungu akulinde umalize mwaka salama na uendelee kutupa nyimba zingine nzuri hapo mwakani, Khoho khoho khoho khoho
  17. JamiiForums Tanzania Hadi sasa wananchi 500 wameuawa Iran, ila maandamano yako pale pale

    Serikali inaendelea kuua wananchi kwa kile inadai kumpigania Mungu, ila maandamano yapo tu. Yote hii ilianza baada ya mwanamke kuuawa kisa nywele zilichomoza kichwani dhidi ya sheria za kiislamu... More than 500 protesters, including 69 children, have been killed, according to the Human Rights...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Sala humtoa mtu kwenye maovu na kumuweka katika mema. Kama unasali na bado unafanya maovu sala yako ni sifuri

    Huwezi kuwa unasali halafu unaendelea kufanya uovu. Ni heri upumzike maana Sala yako haina faida. Nawasilisha.
  19. JamiiForums Tanzania Maliza mwaka na Ramani ya nyumba yako

    Karibu tukuchoree ramani ya nyumba ya kisasa kwa bei ya ofa ya msimu wa sikukuu wasiliana nasi kwa simu au whatsapp 0717 040 837 au +255 767 267 664. Anza mwaka na malengo makubwa ya kumiliki nyumba yako. Kodi Noma, hamia kwako
  20. JamiiForums Tanzania Kama una ndugu yako amekufa lakini bado anaishi njoo hapa

    Kuna watu wana ndugu zao wanaishi nao Majumbani lakini tiyari wamekufa Je, mnajua mnabidi kufanya nini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…