yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Chalamila, kauli yako juu ya wafanyabiashara Makumbusho inavunja Katiba

    Nisikilize kwa makini mwanangu Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Jana nimekuona na kukusikia, ukiwa Stendi ya Makumbusho, ukiongea na wafanyabiashara wadogowadogo stendi pale. Kuna mambo ya msingi yalielezwa nao kwao; nawe kwao na hata na Mstahiki Meya Songoro pamoja na Mkuu wa Wilaya...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania watakujaza 'Upepo' kuisema Serikali ila ukikamatwa tu wanakuacha peke yako

    Ndiyo maana GENTAMYCINE ninachokiangalia ni mimi kula ugali, maharage na dagaa wangu, kuwa na kipato cha kawaida kikibahatisha kuwepo, amani yangu ya moyo, kula bata kama zikinitembelea na kumuabudu na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa hii zawadi yake tukuka ya huu uhai wangu. Kwa nchi za Afrika...
  3. JamiiForums Tanzania Garbage in Garbage out: Acha kulalamika jambo lililo ndani ya uwezo wako au mamlaka yako

    Hello JF, Nitoe angalizo na kuwakumbusha viongozi au wenye mamlaka, acheni kulalamika au kuaibisha mamlaka zenu au nafasi mlizonazo, fanyeni kazi, nchi hii ina heshima kubwa epukeni kuaibisha nchi. Mnaowateua hawaombi kazi sasa iweje uropoke maneno ya aibu kwa taifa, libebe mwenyewe kifuani...
  4. JamiiForums Tanzania Kukosea Kununua LUKU hadi Uandike barua ndio urejeshewe fedha yako?

    Tusipotezeane muda niingie moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, nilikuwa nanunua LUKU nikawa nimekosea namba moja nikawa nimenunua kwa mita namba nyingine. Nimepiga simu nirejeshewe fedha yangu naambiwa hadi niandike barua. Hivi TANESCO hawawezi kuwa na mfumo kama wa mitandao ya simu ya...
  5. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia katika safari za maisha yako hususani kwa sisi vijana

    Hakikisha haya mambo yanakua Siri kwako; 1. Masuala ya mahusiano yako Hii haikumaanisha kujua status kwamba umeoa au umeolewa,hii imelenga watu ambao wanapenda kuongelea masuala ya mausiano yao mfano mwanaume kutangaza madhaifu ya mke wako kwa watu 2. Hali yako ya kifedha 3. Matatizo ya familia...
  6. JamiiForums Tanzania Katabia cha kuchungulia Simu ya Jirani yako wakati wa safari au kwenye mkusanyiko

    Wakuu imekuwa nongwa sasa ,Sometimes tabia hii inakera, Nipale ambapo umekaa either kwenye gari yaani safarini, au sehemu yoyote yenye mkusanyiko Public, Uko bize na simu yako, unashangaa jirani yako na yeye anakosoa mimacho kwenye simu yako Hii tabia sio nzuri na inakera, Pia haileti picha...
  7. JamiiForums Tanzania Ahsante IGP Wambura kauli yako imeturudishia utulivu kwa haraka sana

    Natoa pongezi zangu za dhati kwa IGP Wambura na Waziri wa Mambo ya ndani Masauni. Tangazo lako la juzi, limetoa faraja na amani na tunaelewa kuwa vyombo vya usalama vipo kazini. Maana ilikuwa hohehahe, kila mmoja na lake, mitandaoni, hususan sii wa hapa JF, tulikuwa badala ya kupingana kwa hoja...
  8. JamiiForums Tanzania Graduate wa chuo, tafuta documents zifuatazo omba passport ya kusafiria nenda Ulaya ukapate ramani ya maisha yako

    Mchanganuo wa Nyaraka za zinazohitajika kwa anayetafuta Pasipoti ya Kusafiria Kwa Safari ya Ulaya na Kuweka Mipango ya Maisha. Kabla ya kuanza safari yako ya Ulaya na kuanza hatua mpya ya maisha yako, unahitaji kuwa na nyaraka sahihi zinazohitajika wakati wa kuomba pasipoti ya kusafiria. Hizi...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kazi yako kubwa inayokuweka mjini ni ipi?

    Nmechoka kuficha ndugu zangu mimi kazi kubwa mjini nabeti hakuna kingine uboss wote nautolea hukoo kwenye igaming jamani, Ni pata potea hapakaliki kivumbi uko kwenye maslots mpaka ugali upatikane...😆😆😆 Niambie slot yako moja unayoipenda na inapatikana kampuni ipi. Je ushindi wako mkubwa pia...
  10. JamiiForums Tanzania Ubunifu wakati wa kula tunda la mti wa Eden unasaidia kujenga legacy yako kwenye anga za mahusiano

    Habarini nyote Bazzukulu, Nawakumbusha wanaume kuwekeza kwenye ubunifu wakati wa kula tunda ikiwa ni pamoja na kuicheza ngoma ya mlo wa tunda kwa kumkatikia mwanamke mauno yenye ustadi wa hali ya juu sana. Hii itasaidia kuacha legacy yako nzuri kwa washirika wako. Nisiwachoshe ni hayo tu...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Je Unaijua thamani Yako kama Mtu Mweusi (Mwafrika) kulingana na Quran?

    Mishkat al-Masabih Hadith 119 inasema Allah alipomuumba Adam alipiga baga la kulia wakapatikana Wana weupe; akapiga bega la kushoto wakapatikana Wana weusi. Wana weupe akawazawadia pepo na weusi Jehanamu. Aidha, ulipata kujua kuwa Quran inamtambulisha Mtume Mohammad kuwa mtu mweupe? Sahih...
  12. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally kutetea ugali wako ni sawa lakini uhalisia wa timu yako uwanjani unakuumbua

    Ifike mahala awa maafisa habari wawe wanaweka akiba ya maneno pindi wanapotoa matamko yao, kuaminisha mashabiki na wanachama ya kuwa unayo timu bora wakati uhalisia wa timu husika ni mdebwedo uwanjani ni kichekesho kingine! Huyu Ahmed Ally anachowaaminisha mashabiki wake na mpira unaochezwa...
  13. JamiiForums Tanzania Nitajie mahali yako

    Nataka nije nitoe mahari kwenu, nitajie mahari yako Najua kila mmoja anamuhitaji mwenzake, kwa kifupi tunahitajiana. Haya mambo ya kumfanya mwingine agharamike sana, ili aonekane ndio muhitaji sana katika mahusiano, hayana maana; kwa kifupi tunahitajiana. Nimekupenda wewe pisi kali unaetembea...
  14. JamiiForums Tanzania Huwezi kupanda mlima hadi juu kileleni bila kuponda baadhi ya mimea kwa miguu yako

    Wazee wanasema: huwezi kupanda mlima hadi juu kileleni bila kuponda baadhi ya mimea kwa miguu yako. Aliye kileleni ni vyema akumbuke maumivu aliyosababisha wakati wa safari ya kupanda mlima. Hakuna aliyepata mafanikio bila kusababisha maumivu kwa wengine. Baadhi ya ndoto za dada, kaka na wadogo...
  15. JamiiForums Tanzania Kila ukiamka usisahau kuiombea Nchi yako

    Unapo amka kila asubuhi muombe mungu pia ainusuru nchi yako na machafuko, na viongozi uchwala, na viongozi wajinga ✍️✍️✍️ Good Morning Guys
  16. JamiiForums Tanzania Namna ya kupima IQ yako hapa jukwaani

    Chukua idadi ya 'likes' ugawanye na idadi ya ujumbe uliochangia kwenye hili jukwa, = (likes/ujumbe). Kama utapata zaidi ya 1, hiyo inatafsiri mchango wako hapa jukwaani unakubalika na wewe ni hazina, sio 'liability'. Ila kama katika kugawanya ukapata pungufu ya moja, hii ina maana michango...
  17. JamiiForums Tanzania Nyota yako imeibwa lakini ulitakiwa utembelee VX

    Huwa namkubali sana Daniel Mgogo. ********** “Mna akili nyingi. Wanawakamataje? Unaambia ulete KSh 100k tuirudishe nyota yako ambayo ulikuwa hujaiona,” Tanzanian preacher Daniel Mgogo says, insists some preachers dupe Christians who don’t interrogate their statements. “Unarudisha nyota hewa...
  18. JamiiForums Tanzania Je, Wajua jinsi ya kufuta email za matangazo kwenye g- mail yako?

    Je?l, umekuwa sehemu ya watu ambao wana kerwa na Email za matangazo kwenye G-Mail yako. Pole kwa hilo na tuwie radhi kwa kuchelewa kukufahamisha namna ya kuyaondoa, Fanya hivi Ingia kwenye G-mail yako alafu juu kabisa sehemu ya ''search'' andika neno unsubscribe ukishaandika, bonyeza kitufe...
  19. JamiiForums Tanzania Siku yako Uwanja haukujaa na ukaingiza Watu 'Fungulia Mbwa' halafu utegemee Rais Samia apoteze muda wake Kuja?

    Rais Samia anaenda katika Tamasha la Timu ambayo imefanya yafuatayo.... 1. Imeitangaza nchi hasa Mlima Kilimanjaro 2. Imefanikiwa Kimataifa hasa CAFCL na siyo kwa Watoto na Wasiojua kule CAFCC 3. Inashiriki Michuano mikubwa na mipya Barani Afrika ya Africa Super Cup 4. Imeweka Kambi yake ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka ofisa TRA anayedaiwa kujiua hotelini

    Tanga. Familia ya Richard Walalaze, ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Arusha aliyedaiwa kujiua kwa kujirusha kutoka ghorofani, imesema haiamini kama kweli alijirusha. Imeeleza inatia shaka tukio la kifo cha ndugu yao baada ya kuuona mwili wake katika chumba cha kuhifadhia maiti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…