yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Faida za kuvaa T-shirt za biashara yako

    FAIDA ZA KUVAA T-SHIRT ZA BIASHARA YAKO KWA NINI UPRINT KWETU? WEKA ORDER YAKO LEO HUDUMA ZETU Tunaprint T-Shirt, Mashati na Uniform aina zote kwa kutumia mashine za kisasa, Embroidery(Kudarizi), DTF na screen printing. Tunaprint Product Label(Sticker za vigungashio) kwa gharama nafuu...
  2. JamiiForums Tanzania Wewe au Rafiki yako u/aliwezaje kudhibiti Sex Addiction?

    Too much of something is harmful. Ukishakuwa na uraibu wa ngono ina affect maisha yako katika nyanja za uchumi, afya, perception mbaya kutoka kwa jamii na afya ya mahusiano hususani ndoa. Tofauti kuwa wanaume ndio tunaonekana wapenda ngono sana ila Sex addict anaweza kuwa ni mwanamke pia...
  3. JamiiForums Tanzania Mo Dewji tunaomba utusamehe sisi sote tuliokunyoshea kidole kwenye Mali yako

    Kiukweli tusamehe sana MO, Mimi nikiwa wakilisha Mashabiki wenzangu wa Simba. Naomba Utusamehe sana kukusema kuwa wewe ni bahili Mara hujitoi na tukaenda mbali kukulazimisha kuachia Timu pasipokujua hii ni Mali yako na umeinunua Miaka Mingi yapata 5 sasa. Tusamehe sana RAIS WA HESHIMA Sisi ni...
  4. JamiiForums Tanzania Ukikutana na abiria anachungulia unachofanya kwenye simu yako bila ridhaa yako unafanyaje?

    Baadhi ya abiria wamekuwa na tabia hii ya kuchungulia kinachoendelea kwenye simu za majirani zao wanapokuwa kwenye usafiri wa umma bila kujali hawapaswi kufanya hivyo. Ukikutana na abiria kama huyu akiwa anachungulia unachofanya kwenye simu yako bila ridhaa yako unafanyaje?
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kinamama waache kuendekeza kisingizio cha "Baba yako alitutelekeza", si kila baba alitelekeza mtoto

    1. Mwanamke kapigwa mimba na mwanaume X anaenda kumtegeshea mimba Mwanaume Y, hapo unakuta Mwanaume Y kategeshewa sababu anajiweza kiuchumi, Mwanaume Y anakuja kugundua mchezo anaachana na mwanamke aliebeba mtoto ambae si wake, wala sio kutelekeza mtoto, ajabu ni kwamba mama anaona aibu...
  6. JamiiForums Tanzania Utafiti: Kutumia Simu wakati wa Kulala kunaharibu Moyo, Ubongo na Macho yako

    #AFYA: Kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa na Taasisi za All India Institute Of Medical Science (AIIMS) na Cleveland Clinic, Watu wanaotumia Simu za Mkononi 'Smartphone' wakati wa Kulala, wako hatarini zaidi kuharibu Afya za Moyo, Ubongo na Macho. Utafiti huo umeonesha matumizi ya Simu muda ambao...
  7. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuthamini mapito yako

    Usimahau aliyejitoa kidogo alichokua nacho ili akukwamue katika shida zako. Alisimama kama ngazi ukapita , basi nawe simama kama ngazi apite au kipite kizazi chake hiyo ndiyo hekima, busara na mapenzi ya kweli.
  8. JamiiForums Tanzania EPL: Mbio za ubingwa, unampa nani karata yako ya kutwaa ubingwa?

    Licha ya ratiba ngumu, nawapa Man City nafasi ya kunyanyua ubingwa mwisho wa msimu. Arsenal kama kawaida yao kuanzia mwezi march tutaona madudu yao, Liverpool ni tishio lakini hawatobeba ndoo. Kutokana na mechi zilizosalia unampa nani nafasi ya kutwaa ubingwa? Tuambie…
  9. J

    JamiiForums Tanzania Jisajili sasa UWT kiganjani kwako kupitia simu janja yako popote ulipo

    JISAJILI SASA UWT - KIGANJANI KWAKO Jisajili kuwa MWANACHAMA WA UWT kwa kutumia Simu Janja (Smart phone) Yako popote ulipo mkononi Kwako. #UWTJisajiliKidijitali
  10. JamiiForums Tanzania Maneno yako ni watumishi wako waaminifu

    Inategemeana na unavyoyatumia! Yanaweza kukufanikisha! Yanaweza kukukwamisha! Yanaweza kukutajitisha! Yanaweza kukufukarisha! Leo yako ni matokeo ya maneno ya Jana. Kesho yako haitakuwa tofauti na maneno yako ya leo. Kama hujajizoesha, bora uanze sasa. Tumia kinywa chako kwa makini sana...
  11. JamiiForums Tanzania Kama unamini Mungu huwa anasikiliza na kujibu dua nzuri tu basi amini dua mbaya ya kuombea Simba ifungwe leo haitosikilizwa

    Sitaki kuanza kwa kujitetea eti mi shabiki wa team flani ila nasema haya kwa Mapenzi ya Nchi. Ila nataka niseme tu kuwa Mungu hua hasikilizi Dua Mbovu na Mbaya za kuombeana Mabaya. Ndio maana wote wanaoombea ushindwe hua maombi yao hayajibiwi. Kila la Kheri MNYAMA.🦁🦁
  12. JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Serikali haiwezi kukuletea mabadiliko kwenye maisha yako, kuilaumu ni kupoteza muda tu

    "Kosa kubwa la kwanza utakalolifanya kwenye maisha yako ni kutegemea eti Serikali itakuletea mabadiliko kwenye maisha yako, na kupoteza muda wako ukiilaumu serikali kila kukicha, na la pili ni kudhani eti waliofanikiwa ni kwa sababu ya hisani ama fursa ya kuwa kwenye serikali, wakati naanza...
  13. JamiiForums Tanzania Ni breed ipi ya mbwa ndio ndoto yako ya kuwa naye nyumbani?

    Kwa kweli namkubali mbwa anaeitwa "GREAT DANE" Size yao, nguvu ya sauti ya kubweka, uchangamfu na nguvu.
  14. JamiiForums Tanzania Tujuze mifumo ya Tehama unayotumia kuendesha biashara yako kisasa na kudhibiti wizi

    Habarini za wakati huu wana jamvi. Hope this article finds you in a good mood! Leo natamani sana kufahamu mifumo hasa ya kitehama (digital systems) ambayo unaitumia kurahisisha majukumu mbalimbali katika biashara yako au kuifanya biashara yako kidigitali. Biashara yoyote ile. This is a call to...
  15. JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama: Unajua kuzungumza Lugha Mama yako? Watoto wako je?

    Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama husherehekewa kila mwaka tarehe 21 Februari. Ni siku iliyotambuliwa na Umoja wa Mataifa kukuza utofauti wa lugha na tamaduni na kuhamasisha ufahamu wa urithi wa lugha na tamaduni ulimwenguni kote. Siku hiyo inakumbuka Maandamano ya Lugha ya Kibengali ya mwaka...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Dkt. Janabi alisema sukari ni hatari kwa afya, tumieni fursa ya upungufu huu kuachana nayo msipate magonjwa mbeleni

    Chalamila asema ukimsikiliza Dr. Janabi anasema ulaji wa sukari nyingi unasababisha maradhi mengi, kwahiyo wakati huu ambako sukari imeadimika tuachane nayo kabisa ili usiweze kupata matatizo ya afya hapo baadaye. Kwahiyo serikali imeshindwa kabisa kutatua changamoto hii ya upatikaji wa...
  17. JamiiForums Tanzania Funzo kwenye mazishi ya Lowassa, andika historia yako mwenyewe usisubiri kuandikiwa, na mwisho wa ubaya ni aibu

    Mtibeli humu aliwahi kuandika humu na nampa credit Kwa kuliona hili mapema. Leo katika mazishi ya Mwamba wa kaskazini Mzee Lowasa kwenye wasifu wa marehemu Kwa makusudi na mpaka Sasa haijurikani ni Kwa maslahi ya Nani kuna kundi la wahuni hawakuandika chapter muhimu ya historia ya Mzee Lowasa...
  18. JamiiForums Tanzania Naweza kukuonesha njia nzuri ya kuipa muonekano nadhifu ofisi au nyumba yako

    Habari zenu wadau, leo nawakaribisha na kuwaambia kwamba sisi kama African businesses tunatoa huduma ya kupamba na kupendezesha ofisi au makazi kwa kwa kutumia mapambo ya mbao na picha pamoja na materials mengine, tunafanya ofisi au nyumba yako kuwa nadhifu kabisa. Gharama zetu ni nafuu sana...
  19. JamiiForums Tanzania Valentine yako iliendaje?

    Wana MMU, na waumini wote wa mapenzi mpo salama? Valentine yako iliendaje? Matarajio yalifikiwa? Ulipata ulichokuwa unafikiria ungepata? Valentine wako allitokomea? Au ulipata surprise ya mwaka iliyoongeza tabasamu siku hiyo na kufanya iwe Valentine ya kukumbukwa? Let's go😀😀
  20. JamiiForums Tanzania Ukiweza kufanikiwa Joburg basi wewe ni Mpambananji na unatakiwa upewe maua yako

    Tanzania watu wanaoshi kwemye comfort zone huo ndo ukweli ukitembea ndo utaelewa watu wako kwenye comfort zone Ni kawaida Tanzania kupita na kukuta watu wapo kwenye vijiwe vya kahawa au shoe shine mda wa kazi wanabishania yanga na simba au mambo ya siasa, Tanzania mtu anaweza asiwe anafanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…