yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Aaliyyah

    JamiiForums Tanzania Watoto wako walibadilisha vipi maisha Yako...!

    Natumaini mkopoa Natamani kujua namna malezi ya watoto wenu yalivoleta changes kwenye maisha ya wazazi wengi Nitaanza na mm story yangu ya kweli lakin nilisimuliwa na mamayangu pia Kwa kias baba japo baba hakuuwa msimuliaji nzuri NB Visa nilivopata Kwa muda tofaut tofaut mara nying nilikuwa...
  2. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje hadi uka komaa na kukua katika biashara yako?

    Binafsi nilipewa mbegu kumi za kahawa nikaziotesha adi sasa namiliki hekari 5 za kahawa Misenyi mkoani Kagera. Wewe je?
  3. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Mtego wa kuoa/kuolewa na mtu wa dini yako unavyoweza kukucost maishani

    Kuna baadhi ya madhehebu ya dini yameweka msimamo kwamba muumini haruhusiwi kuoa/olewa na mtu wa dhehebu lingine. Binafsi nimeona watu wakipata matatizo yafuatayo kutokana na msimamo huo; 1. Baadhi ya madhehebu hayo unakuta vijana (hasa wanaume) ni wachache. Kwahiyo linapokuja suala la kuolewa...
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ni maamuzi gani ya Hayati Magufuli yaliyokuathiri katika levo yako binafsi au familia

    CHANYA Maji- Kwa mara ya kwanza tangu kuwekwa historia ya dunia majinsafi yaliletwa mtaani kwetu. COVID 19. Nilikuwa na msimamo wa kuovaa Barakoa maana niliamini Covid 19 haipo. Msimamo wake uliungana na wangu iliniondolea usumbufu mkubwa hasa kwa wale wanaopenda magonjwa na habari za kufakufa...
  5. Jay_255

    JamiiForums Tanzania Ongeza uwezo wa laptop yako kwa Kuongeza RAM ya 8gb kwa 30,000 Tu

    Ram za ddr4 ambazo kila moja ina 8gb bei ni 30,000 Tu. NINAZO 2 ukichukua zote 2 yaani 16gb nakufanyia kwa 50,000. Nipo kimara Dar es Salaam 0782780980
  6. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuona Aura yako

    💠💠💠💠Namna ya kuona aura yako💠💠💠💠 ✍️Kama ilivyo katika aina nyingi za uwezo wa kiakili, kuona aura kunaweza kutokea kwa hiari au kwa mapenzi. ✍️Wakati mwingine watu huripoti kuona aura ya rafiki wakati wa mazungumzo au kuona rangi karibu na chakra ya taji ya mtu mwingine wakati wa kipindi cha...
  7. tpaul

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa single mothers: Single Mothers Special Thread

    Ndugu wanaMMU, naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Baada ya kuona idadi ya single mothers inazidi kuongezeka kila kukicha, nimeshawishika kufungua uzi maalumu kwa ajili yao ili kwa pamoja tuweze kutoa mawazo jinsi ya kuwasaidia na kuwashauri. Hii itasaidia...
  8. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Hakuna Anayekufikiria: Fanya yako

    Miaka mingi iliyopita, nilipokuwa katika ujana wangu uliojaa wasiwasi na mashaka, nilikutana na mwanamke mzee mwenye busara nyingi, aliyekuwa na umri wa miaka sabini na tano. Alinipa nasaha za kipekee ambazo nimezihifadhi moyoni mpaka leo: "Katika ujana wetu wa miaka ya ishirini na thelathini...
  9. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu usipofanya ngono wala kujichua unakuwa na nuru sana usoni?

    Wewe Kijana unayejichua na wewe Kijana ambaye unaendeshwa na uzinzi Fanya hivi Maliza mwezi mmoja bila sex au kujichua Hakikisha unakula vizuri na kunywa maji. Kisha kajiangalie katika kioo utaona jinsi uso utakavyokuwa na Nuru.
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Clement Mzize usiwe mjinga, pigania maslahi yako!

    We jamaa pamoja na kwamba unachezea utopolo nimekupigania sana ili timu yako isilalie fursa zinazokujia. Niliwahi kusema ukipunguza wenge wewe ndiyo unaenda kuchukua mikoba ya kina Samatta na kuibeba Taifa Stars kwa miaka 5 ijayo. Utulivu wako wa sasa unaonyesha kile nilichokiona. Wydad...
  11. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kukosana na Mama yako na shangazi zako jaribu kuoa single mother utajua haujui.

    Wamama na shangazi ukitaka wakutamkie kila Aina ya laana jaribu kuoa au kuwa na mahusiano na Single-Mother.
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania kuifanya ndoa yako kuwa bora zaidi na imara hebu zingatia haya machache

    uzi huu nikwaajili ya watu wote yani wale waliopo kwenye ndoa na hata wale ambao bado hawajaingia kwenye ndoa hebu zingatieni vitu hivi ili kuifanya ndoa yako kuwa bora na yenye furaha zaidi, ndoa yenye amani, upendo, uvumilivu, kujali, kusaidiana, kusikilizana, kuelewana n.k kulingana na...
  13. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Maamuzi yako ni yako tu

    Unapofanya maamuzi juu ya maisha yako,ni yako huna haja ya kujitetea kwa mtu yoyote juu ya uamuzi huo
  14. GRACE PRODUCTS

    JamiiForums Tanzania Njia sahihi za utunzaji wa Ngozi yako kwa mwaka 2025: Mwanzo Mpya kwa Ngozi Yenye Afya

    Tunapoanza mwaka 2025, ni wakati mzuri wa kutafakari na kufanya mabadiliko muhimu katika utunzaji wa ngozi zetu. Ngozi yenye afya huathiriwa na mambo mengi ikiwemo lishe, mtindo wa maisha, na bidhaa tunazotumia. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia ili kuimarisha na kulinda ngozi yako mwaka huu...
  15. tamu 3

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje ulipo sikia kwichikwichi chumba cha jirani yako ulipopanga?

    Kwenye Nyumba za kupanga tunateseka sana sisi mafukara, siku MOJA nipo single nimelala chumba Cha jirani kitanda kinasikika mechi on afu mdada analia makusudi, huwezi amini mnara wangu ukawa nyuzi tisini, najipiteza wapi nikaona si vibaya nende bafuni!!! Wewe ulifanyaje?
  16. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania TKZ 2025: HESHIMA kwa Wazazi ni Lazima na Muhimu katika Maisha yako

    Kwa muda mrefu, nimekuwa natafakari juu ya tabia za watu (kama kiburi, uvivu, ulevi, wizi na kila aina ya utovu wa nidhamu) na athari zake katika familia zao na hata kwa Jamii, nikagundua kwamba mtu mwenye mafanikio ni yule anayewaheshimu Wazazi wake. Mtu anayewaheshimu Wazazi wake, haishii...
  17. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Health is wealth, kwa experience Yako mtu anawezaje kutunza afya yake

    Kufanya makosa ndio kujifunza, Sasa nadhani humu Kuna wataalamu wa afya lakini pia Kuna watu wana uelewa mkubwa kuhusu masuala ya afya Nina uliza ninawezaje kutunza afya yangu ya mwili na akili Naombeni tips niishi nazo 2025
  18. Son of Israel from Africa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Lissu analalama kila mara, kwanini usisubiri uchaguzi ushinde au ushindwe?

    Ndugu wana Jamvi ! Mimi nimevuka salama kabisa Please wale wafuasi wa Lissu na kama Lisu upo himu mwenyewe Jibu hilo swalii. Kwanini kila siku umekuwa unalalama kuhusu uchaguzi unayogombea. Mboye nayeye anagombea kama wewe Na wanotoa ushind ni wajumbe Sasa kwanini unakuwa na wasiwasi kila...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ndugu Zangu, Hususani wa Jukwaa la Siasa, Hakikisha Miongoni Mwa Malengo Yako Kwa Mwaka 2025, Unakua na Bima Ya Afya.

    Itakusaidia sana na kukuepusha na fedheha za kujifungia ndani kwasababu huna pesa ya matibabu, au kujiuguza kwa kukimbilia kununua panadol tu, au kufakamia dawa ambazo si sahihi kiholela dhidi ya ugonjwa au maradhi yatakayokua yanakusumbua, Lakini pia bima ya afya inaondoa unyonge na inaweza...
  20. Thecoder

    JamiiForums Tanzania Angalau 3/10 ya rafiki wa rafikiyo wasipokua rafiki zako, rafikiyo si rafiki yako

    Kimsingi ili watu wawe marafiki ni lazima wawe na vitu mfanano vya kuongelea, kwa maana kama hamna vitu mfanano vya kuongelea ni ngumu kutengeneza ile bond kati yenu kwa maana baada ya Salam mnakua mnaangaliana tu na badala yake kila mmoja anatoa simu yake anaanza kuperuzi peruri ili wakati...
Back
Top Bottom