yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Dogoli kinyamkela

    Namna ya kuona Aura yako

    💠💠💠💠Namna ya kuona aura yako💠💠💠💠 ✍️Kama ilivyo katika aina nyingi za uwezo wa kiakili, kuona aura kunaweza kutokea kwa hiari au kwa mapenzi. ✍️Wakati mwingine watu huripoti kuona aura ya rafiki wakati wa mazungumzo au kuona rangi karibu na chakra ya taji ya mtu mwingine wakati wa kipindi cha...
  2. tpaul

    Uzi maalumu kwa single mothers: Single Mothers Special Thread

    Ndugu wanaMMU, naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Baada ya kuona idadi ya single mothers inazidi kuongezeka kila kukicha, nimeshawishika kufungua uzi maalumu kwa ajili yao ili kwa pamoja tuweze kutoa mawazo jinsi ya kuwasaidia na kuwashauri. Hii itasaidia...
  3. Rorscharch

    Hakuna Anayekufikiria: Fanya yako

    Miaka mingi iliyopita, nilipokuwa katika ujana wangu uliojaa wasiwasi na mashaka, nilikutana na mwanamke mzee mwenye busara nyingi, aliyekuwa na umri wa miaka sabini na tano. Alinipa nasaha za kipekee ambazo nimezihifadhi moyoni mpaka leo: "Katika ujana wetu wa miaka ya ishirini na thelathini...
  4. Knock life

    Kwanini mtu usipofanya ngono wala kujichua unakuwa na nuru sana usoni?

    Wewe Kijana unayejichua na wewe Kijana ambaye unaendeshwa na uzinzi Fanya hivi Maliza mwezi mmoja bila sex au kujichua Hakikisha unakula vizuri na kunywa maji. Kisha kajiangalie katika kioo utaona jinsi uso utakavyokuwa na Nuru.
  5. DELETED ACCOUNT

    Clement Mzize usiwe mjinga, pigania maslahi yako!

    We jamaa pamoja na kwamba unachezea utopolo nimekupigania sana ili timu yako isilalie fursa zinazokujia. Niliwahi kusema ukipunguza wenge wewe ndiyo unaenda kuchukua mikoba ya kina Samatta na kuibeba Taifa Stars kwa miaka 5 ijayo. Utulivu wako wa sasa unaonyesha kile nilichokiona. Wydad...
  6. Knock life

    Ukitaka kukosana na Mama yako na shangazi zako jaribu kuoa single mother utajua haujui.

    Wamama na shangazi ukitaka wakutamkie kila Aina ya laana jaribu kuoa au kuwa na mahusiano na Single-Mother.
  7. Genius Man

    kuifanya ndoa yako kuwa bora zaidi na imara hebu zingatia haya machache

    uzi huu nikwaajili ya watu wote yani wale waliopo kwenye ndoa na hata wale ambao bado hawajaingia kwenye ndoa hebu zingatieni vitu hivi ili kuifanya ndoa yako kuwa bora na yenye furaha zaidi, ndoa yenye amani, upendo, uvumilivu, kujali, kusaidiana, kusikilizana, kuelewana n.k kulingana na...
  8. fimboyaukwaju

    Maamuzi yako ni yako tu

    Unapofanya maamuzi juu ya maisha yako,ni yako huna haja ya kujitetea kwa mtu yoyote juu ya uamuzi huo
  9. GRACE PRODUCTS

    Njia sahihi za utunzaji wa Ngozi yako kwa mwaka 2025: Mwanzo Mpya kwa Ngozi Yenye Afya

    Tunapoanza mwaka 2025, ni wakati mzuri wa kutafakari na kufanya mabadiliko muhimu katika utunzaji wa ngozi zetu. Ngozi yenye afya huathiriwa na mambo mengi ikiwemo lishe, mtindo wa maisha, na bidhaa tunazotumia. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia ili kuimarisha na kulinda ngozi yako mwaka huu...
  10. tamu 3

    Ilikuwaje ulipo sikia kwichikwichi chumba cha jirani yako ulipopanga?

    Kwenye Nyumba za kupanga tunateseka sana sisi mafukara, siku MOJA nipo single nimelala chumba Cha jirani kitanda kinasikika mechi on afu mdada analia makusudi, huwezi amini mnara wangu ukawa nyuzi tisini, najipiteza wapi nikaona si vibaya nende bafuni!!! Wewe ulifanyaje?
  11. Tukuza hospitality

    TKZ 2025: HESHIMA kwa Wazazi ni Lazima na Muhimu katika Maisha yako

    Kwa muda mrefu, nimekuwa natafakari juu ya tabia za watu (kama kiburi, uvivu, ulevi, wizi na kila aina ya utovu wa nidhamu) na athari zake katika familia zao na hata kwa Jamii, nikagundua kwamba mtu mwenye mafanikio ni yule anayewaheshimu Wazazi wake. Mtu anayewaheshimu Wazazi wake, haishii...
  12. Solo Traveller

    Health is wealth, kwa experience Yako mtu anawezaje kutunza afya yake

    Kufanya makosa ndio kujifunza, Sasa nadhani humu Kuna wataalamu wa afya lakini pia Kuna watu wana uelewa mkubwa kuhusu masuala ya afya Nina uliza ninawezaje kutunza afya yangu ya mwili na akili Naombeni tips niishi nazo 2025
  13. kibori nangai

    PreGE2025 Kwanini Lissu analalama kila mara, kwanini usisubiri uchaguzi ushinde au ushindwe?

    Ndugu wana Jamvi ! Mimi nimevuka salama kabisa Please wale wafuasi wa Lissu na kama Lisu upo himu mwenyewe Jibu hilo swalii. Kwanini kila siku umekuwa unalalama kuhusu uchaguzi unayogombea. Mboye nayeye anagombea kama wewe Na wanotoa ushind ni wajumbe Sasa kwanini unakuwa na wasiwasi kila...
  14. Tlaatlaah

    Ndugu Zangu, Hususani wa Jukwaa la Siasa, Hakikisha Miongoni Mwa Malengo Yako Kwa Mwaka 2025, Unakua na Bima Ya Afya.

    Itakusaidia sana na kukuepusha na fedheha za kujifungia ndani kwasababu huna pesa ya matibabu, au kujiuguza kwa kukimbilia kununua panadol tu, au kufakamia dawa ambazo si sahihi kiholela dhidi ya ugonjwa au maradhi yatakayokua yanakusumbua, Lakini pia bima ya afya inaondoa unyonge na inaweza...
  15. Thecoder

    Angalau 3/10 ya rafiki wa rafikiyo wasipokua rafiki zako, rafikiyo si rafiki yako

    Kimsingi ili watu wawe marafiki ni lazima wawe na vitu mfanano vya kuongelea, kwa maana kama hamna vitu mfanano vya kuongelea ni ngumu kutengeneza ile bond kati yenu kwa maana baada ya Salam mnakua mnaangaliana tu na badala yake kila mmoja anatoa simu yake anaanza kuperuzi peruri ili wakati...
  16. a sinner saved by Christ

    ***JE,UNAJUTIA TAALUMA/KAZI ULIYOISOMEA /KAZI UNAYOIFANYA, ?UNAFURAHIA NA KUJIVUNIA TAALUMA/ KAZI YAKO?***

    1)JE? unajutia kwanini ulisomea taaluma ya kazi yako ya sasa??ulishawahi jilaumu kwa nini ulisomea kazi yako uliyonayo sasa wakati wakati una apply ulikuwa na uwanja mpana wa machagua ya fani mbalimbali tofauti? 2)Je? unahisi haukuwa na information za kutosha/ exposure ya fani/ujuzi wa kazi...
  17. MwananchiOG

    Yapi ni matukio yako makubwa zaidi mwaka 2024 katika nyanja za siasa,uchumi michezo nk.?

    Matukio mengi yametokea mwaka huu 2024, Je kwa upande wako ni matukio gani unadhani ni makubwa na kwa namna moja ama nyingine yameacha alama au kumbukumbu fulani kwako?
  18. MwananchiOG

    Yapi ni matukio yako makubwa kimichezo 2024?

    Je, Matukio gani makubwa utayakumbuka katika ulimwengu wa kimichezo kwa mwaka 2024? Kwa upande wangu, ni mengi yametokea, Ila haya nadhani yamechukua nafasi kubwa 1.Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi kuu mara ya 30 na mara ya tatu mfululizo 2.Yanga kufuzu robo fainali CAFCL 3.Goli la Aziz ki...
  19. SIPENDI SIASA

    Adui yako anaweza kuwa best friend? Any living examples please?

    Good Morning wadau wa JF. Visa vya rafiki kuwa adui ni vingi mno na vimeandikwa sana humu na sehemu zingine mbalimbali. Je, adui yako anaweza kuwa rafiki? Au aliyewahi kuwa rafiki kisha akageuka adui, anaweza kuja kuwa rafiki tena hapo baadae? Any living examples please? Kama una kisa cha...
  20. K

    Unatembelea Pemba? Tuna Malazi kwa ajili yako

    Karibu Pemba, Karibu Furaha Lodge, katikati ya mji wa Chakechake, bed and breakfast, free WiFi, Self contained rooms, Satellite TVs na ukarimu ni jadi yetu. Wasiliana nasi 0765448065 & 06795099901
Back
Top Bottom