Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).
Mzuka!
Kama hutojali, turingishie kwa picha idadi kubwa ya status viewers unazopata/ulizowahi kupata.
Mimi binafsi ni 000 digits, sijawahi fika 0000. (Ila picha sina).
Mufti kuku The Infinity
BICHWA KOMWE -
Maghayo
#Uzi_Tayari
Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa ovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
SABABU ZA NDUGU KUTO KUFURAHI MAFANIKIO YAKO💰
Kuna sababu kadhaa zinazoweza kuchangia ndugu au watu wa karibu kutokufurahi mafanikio yako. Hizi ni baadhi ya sababu kuu:
1. Wivu na Husuda: Wakati mwingine, ndugu wanaweza kuhisi wivu kwa mafanikio yako, hasa kama wao wanajiona hawajafanikiwa au...
Data saver 99% software inasaidia kudhibiti matumizi ya kifurushi Chako Cha Intaneti kwa kuchagua programu gani itumie intaneti kwa wakati unaotaka kwenye kompyuta (Windows OS 7, 8, 10, 11) yako. Programu inauzwa 30,000 Tsh.
Kumbuka bila kuwa na hii programu kifurushi Chako Cha Intaneti...
------------------------------------
Katika dunia ya sasa, kuna ukweli mchungu lakini wa kuvutia sana: watu wengi hawafanyi maamuzi kwa kutumia akili, bali kwa kutumia hisia. Wakati wachache wakitumia busara, wengi hukwama katika mtego wa maamuzi ya kupendeza moyo pekee—na si maamuzi ya...
Kwa mfano nina Laini ya Airtel Tanzania niliyokuwa Naitumia nikiwa Tanzania, ila naambiwa kuwa nikirejea Tanzania haitokuwa inatumika (na Ninunue Laini mpya) kwani itakuwa Imeshafungiwa kwani sasa ina mwaka siitumii kwakuwa huku nilipo natumia Laini ya Mtandao wa huku.
Kwahiyo nauliza ni Mbinu...
Watu wengi huamini kuwa wakishahitimu chuo kikuu na kupata degree au Diploma, basi mafanikio yanakuja moja kwa moja kama mvua.
Ukweli ni kwamba — Elimu ya darasani peke yake haitoshi. Kama hujui kusimamia fedha zako vizuri, diploma yako haina msaada mkubwa kwenye maisha halisi.
Fikiria hivi...
Huyu mwamba ni legend kabisa wa masuala ya ushauri, biashara fedha na uchawi.
Kwa upande wangu ndio role model wangu hapa JF
Ila kwasasa ndugu yetu amebadilika sana.
Haanzishi tena nyuzi za ukombozi wa vijana, uchawi na mambo ya nyota sikuhizi anahangaika na na nyuzi za ubunifu wa vifuu vya...
Kupanga bajeti ya matumizi ya fedha unazopata inaweza kuwa msamiati kwa baadhi ya vijana na watu wazima wanafanya harakati za maisha mijini na vijijini, hasa wale wanaotegemea malipo ya mshahara ua vibarua.
Katika dunia ya sasa yenye changamoto nyingi za kiuchumi, swali hili linazidi kuwa la...
SWALI:
Je! Ni mtindo upi wa maisha (lifestyle) kati ya iliyoorodheshwa hapa chini ambao ni HATARI ZAIDI kwa changamoto ya Uzito Usio wa Kawaida (Under Weight, Over Weight or Obesity); lakini ukishughulikiwa ipasavyo na kwa usahihi unaweza kuleta suluhu kwa mitindo mingine ya maisha iliyosalia...
Kama ulikua hujui kuwa TABIA YAKO inaendana na HERUFI YA KWANZA YA JINA LAKO wacha nikufahamishe;-
Unaweza ukabisha lakini huo ndio ukweli,
Nimefanya utafiti wa kutosha na kugundua haya yafuatayo, Utafiti huu nimeufanya kwa muda mrefu kwahiyo ninacho kisema hapa ninauhakika nacho...
Natumai Mu wazima wa afya..
Tunafanya Skimming bora na ya viwango vya juu kwa gharama nafuu..
Kazi ya Rangi ni kupendezesha, sasa unapokosea Skimming Jengo haliwezi kupendeza kamwe hata urudie Rangi Mara5..
Skimming haitakiwi kubaki na dosari ya Aina yetote..
(Achana na Skimming unamuuliza...
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nikwamba kama unatumia smartphone basi utakuwa na Watsapp application katika hiyo simu yako, basi na katika hiyo whatsapp ytako kuna akili mnemba (AI) iliyotengenezwa na Chat GPT ili iwe rahisi kwako kuuliza vitu na kujibiwa! Je unaipataje ni Rahisi sana...
Sheria moja kubwa ya Kaz ni kutochanganya mapenzi kwenye kazi au kutoruhusu mahusiano ya kimapenzi kazini (Inamaana kubwa hasa kama unafikiri kwa kutumia kichwa cha juu)
Je, vipi kuhusu kumuajiri rafiki yako kwenye kampuni au ofisi yako?
Success can sometimes draw unkind judgments from low-minded people. When you achieve great things, they may claim that you did it through witchcraft (uchawi), or if you face challenges, they could say you are cursed (umerogwa).
According to the 48 Laws of Power, achieving great things...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.