yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tuone screenshot ya meseji yoyote kwenye simu yako iliyo kukushangaza, kukufurahisha, kukuhuzunisha, etc

  2. JamiiForums Tanzania Unahisi biashara yako inasuasua? Huenda hii ndio sababu kuu kwa 99.9%

    Ijumaa kareem wana JF Leo nimekuandalia hii thread ambayo inaweza ikakusaidia wewe mtu unayetaka kuingia kwenye biashara ya aina yoyote ile iwe ni kilimo, ufugaji au hizi biashara za kwenye frame hapa panakufaa. Kabla ya yote inatakiwa utambue ya kwamba kuna kitu kimoja ambacho biashara zote...
  3. JamiiForums Tanzania Familia yako imetekwa na unatakiwa kuchagua watu wawili wa kwenda nao kuokoa familia

    Familia yako imetekwa na kundi la wahalifu na unatakiwa kwenda kuwaokoa, katika hii orodha unapaswa kupata watu wawili wakusaidie katika kuokoa familia yako. Utamchukua yupi na yupi? Binafsi nitamchukua John Wick pamoja na John Rambo.
  4. JamiiForums Tanzania Njia 30 za kuleta wateja kwenye Biashara au huduma yako

    Njia 30 za kuleta wateja kwenye Biashara au huduma yako: 👉Kwa wafanyabiashara wa Online 👉Freelancers 👉Service provider 👉Wanaouza products za afya 👉Wanaouza digital products 👉Wenye ofisi / kampuni Hizi ni njia za marketing zinazoleta matokeo kwa watu wengi Thread 👇👇 1. Target watu wengi kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanaume jitahidi kwenye maisha yako ya mahusiano/ndoa uwe na mwanamke kama "Zuchu"

    Mwanaume jitahidi kwenye maisha yako ya mahusiano/ndoa uwe na mwanamke kama "Zuchu"
  6. JamiiForums Tanzania Usimpe jirani au rafiki yako yako unga,mpe mahindi ,hela au muache afe njaa

    Jirani yako akikuomba unga,mpe mahindi au mpe hela Kama vyote huna,muwache afe njaa Kwa maana ukimpa unga akaumwa tumbo,hautobaki salama,
  7. JamiiForums Tanzania Inahitajika uwe na moyo mgumu kupinga Mila, tamaduni, dini za jamii yako achilia mbali kusema hadharani na vyombo vya habari

    Pongezi na pole ziende kwa Wachokonozi na huyu mwamba mpya anaitwa Chihonda. Hawa jamaa uwezo wao wa kuchallenge foundation za jamii kuhusu Imani na tamaduni zake inastaajabisha. Tena wanasema na kuongea hadharani.............
  8. JamiiForums Tanzania Kwa namna gani unaweza Ku download video za YouTube na kuzihifadhi kwenye Storage ya Simu yako?

    Wakuu ,nmedownload baadhi ya Apps nilizogugo zinazosemekana zinadwnld video YouTube ila Sijafanikiwa . Ni Application gan nayoweza kutumia?. Kwa kuanzia naomben hii video , Kwa sisi Wasanii tunaburudishwa na Mpangilio wa Sauti https://youtu.be/Ae8IA_84Naw?si=MIz142u-I-7GcaO3
  9. JamiiForums Tanzania Hobi yako hiyo unayopoteza nayo muda, inawezaje kubadilisha maisha yako?

    Mvulana Aliyependa Kusoma Kutokea umri mdogo, Jeff Bezos alikuwa na kiu kisichoisha cha kujisomea. Mama yake Jackie alimkuta Jeff mara nyingi akiwa chumbani, akiwa amezungukwa na milima ya vitabu, akiwa amepotelea kwenye dunia za mbali zilizoko vitabuni. Alimtia moyo kwa kupenda kujisomea, kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kufanya Biashara Yako Ijiendeshe Yenyewe (Thread)

    Jinsi ya Kufanya Biashara Yako Ijiendeshe Yenyewe (Thread) Biashara nyingi zinashindwa kwa sababu mmiliki anafanya kila kitu mwenyewe. Huwezi kuwa CEO, marketer, mhasibu, na mfanyakazi kwa wakati mmoja. Unahitaji mfumo unaojiendesha hata ukiwa haupo. Siri ya biashara inayojiendesha ni...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa SERIKALI ambaye take home yako ni Tsh 450k , Tsh 500k na kuendelea , SIKIA HII

    WATASHA walisema Maisha ni mipango hili ni sahihi kwa 100%, yawekana tumeshindwa kutoboa kwa kukosa mipango sahihi na kuwa na Nidhamu hafifu ya Fedha. Muda wa kustaafu kwa mtumishi wa umma ni miaka 60 kisheria, lakini kwa hiari ni kuanzia miaka 55 hadi 59. Sasa kwa mtu mwenye umri wa Miaka...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Epuka mazoea ya kulala na aina hii ya wanawake, kitu kizito kitakuja kukupiga bila kutarajia

    Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo Under age / Chini ya miaka 18 - Wala haihitaji kufumaniwa red handed, yaani habari zikisambaa tu unatembea na mwanafunzi halafu...
  13. JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Tabora unatumia madaraka yako vibaya kuhujumu Yanga

    Tunaheshimu mamlaka za uteuzi wa mkuu wa mkoa Tabora Tunatambua upo Tabora kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo umeongea kauli za ovyo na uropokaji ambao ni kutweza na kudhalilisha club ya Yanga Mkuu wa mkoa anatoa shutuma za uongo kuwa club ya Yanga imehonga wachezaji...
  14. JamiiForums Tanzania Unakubali kushika bomba kwenye usafiri wa umma huku umeshika simu Yako ya gharama mkononi ili isiibiwe

    Sometimes maisha sio magumu kiasi hicho vipaumbele na mipango ndiyo vinagharimu watu sasa kuliko kumiliki simu worth 2 million na huna usafiri binafsi why don't you go for Tecno then vuta hii chuma tia full tinted kula zako kishoka unapiga harakati zako bila kupakana jasho na watu
  15. JamiiForums Tanzania nifundishe kazi yako au ujuzi wako nipo tayari kujifunza na kufundishika.

    poleni na majukumu. nimetafakali nimeona huu mwezi wa nne niuanze kivingine na kitofauti zaidi kuwekeza kwenye kujifunza zaidi . Ajira hata vibarua kupata imekuwa changamoto cha kwanza uaminifu umekuwa hafifu naimani kwa njia hii nitaiona kesho iliyo njema. Nifundishe ndugu nipo tayari...
  16. JamiiForums Tanzania Je unafahamu Mteja ambaye ameelekezwa na mtu mwingine ni rahisi kumfanya alipie bidhaa yako kuliko mteja anayekuona direct kwa mara ya kwanza?

    Je unafahamu Mteja ambaye ameelekezwa na mtu mwingine ni rahisi kumfanya alipie bidhaa yako kuliko mteja anayekuona direct kwa mara ya kwanza? Tuangalie the power of Patnership Katika online business Ndio maana mara nyingi huwa tunawatumia watu wengine kuwafanya wapost huduma zetu kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Chief GodLove ulikuwa huwajui Wakenya naona sasa utawajua kwa Nguvu yao ya Kimtandao. Pole kwa Kufungiwa TikTok Account yako

    Kuna siku nilikuja na Uzi hapa JamiiForums wa kuulizia huyu Chief GodLove ni nani ukafutwa haraka sana na sijui kwanini.
  18. JamiiForums Tanzania Unavyoweza kuuza siri zako/za taasisi yako kwa mifumo iliyomo kwenye simu yako.

    Dondoo chache muhimu unazopaswa kuzielewa; Utafutaji Mtandaoni: Software za AI zinatumia bots maalumu zinazopitia tovuti mbalimbali duniani ili kukusanya taarifa zinazohitajika. Bots hizi huchambua maandishi, picha, video na sauti zilizopo kwenye tovuti hizi. Mitandao ya Kijamii: AI hukusanya...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Ubunifu Bora ni Muhimu kwa Biashara Yako ! Wasiliana nasi leo GraphixPro Wakali wa Graphic designing Tanzania

    📢 Kwa Nini Ubunifu Bora Ni Muhimu kwa Biashara Yako? Ubunifu mzuri si anasa—ni silaha ya mafanikio kwa biashara yako! 🎯 ✅ Unakutofautisha na washindani ✅ Inavutia wateja zaidi ✅ Inajenga uaminifu ✅ Inasaidia kuuza zaidi 🚀 GraphixPro tunakusaidia kuboresha chapa yako kwa ubunifu wa hali ya juu...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Hupati Wateja Wapya Kwenye Biashara Yako? Unafanya Kila Kitu, Lakini Hakuna Matokeo? Fanya Hivi!

    🔴 Kwanini Hupati Wateja Wapya Kwenye Biashara Yako? Unafanya Kila Kitu, Lakini Hakuna Matokeo? Fanya Hivi! 🎯 Unauza huduma yako lakini hupati sales? 🎯 Unatangaza bidhaa zako, lakini hakuna anayenunua? 🎯 Unapost kila siku, watu wanaangalia tu lakini hawachukui hatua? 🎯 Unasema "We are open!"...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…