🥺
Ukimkuta mtu anaongea peke yake mheshimu
Watoto ni kawaida, unakuta kitoto kimeshika vikopo kinaongea na kujijibu peke yake
Watu wanao ongea peke yao na kujijibu wamefanya mambo makubwa duniani
Waandishi wa Novel.
Tamthilia kama vile prison break, money heist ulishawahi kujiuliza huwa...