Nilikua naongea na mdada (co-worker), sasa akawa ananiangalia sana kama kuna kitu ame note, baada ya muda akaniuliza, nikuambie kitu? nikamwambia sawa nambie, akasema yani una dental formula nzuri kweli, we unajua maana ya dental formula? majua kuna watu wengi humu hawajui maana ya dental...