Rico redi
Senior Member
- Jul 15, 2023
- 166
- 348
Hotuba ya jana ilikua ni kama inataka kufikisha ujumbe kuhusiana na hali halisi ya kinachoendelea pale unyamani
Kwa anayefahamu Kwa mujibu wa katiba ya simba muundo wa kimamlaka uko vipi upande wa mwekezaji na wanachama je budget ikitangazwa ni kila upande unachangia au upande wa mwekezaji tu
Nani anapaswa kua decision maker wa mwisho SSC ni mwenyekiti wa bodi au mwenyekiti wa klabu au mwekezaji mwenyewe
Transformation imeanza toka mwaka 2017 mpaka leo ni kipi haswa kinachokwamisha mchakato huu kukamilika
Kwanini usajili wa wanachama hauendelei upande wa wanachama
Status ya mo pale klabuni wakati huu ambapo Bado transformation haijakamilika ni ipi mfadhili au mwekezaji
Maswali ni mengi
SIMBA NGUVU MOJA