wowote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Troll JF

    Multchoice na DSTV zimenunuliwa na Canal+. Je, kutakuwa na unafuu wowote?

    French media group Canal+ will on Wednesday publish its full-year 2025 financial results – the first annual numbers to include subsidiary MultiChoice Group since the London-listed company completed its acquisition of Africa’s largest pay-television operator. The results, which cover the year...
  2. VERBOSE

    Je! Ni vitu gani ukiambiwa ufanye unaweza kufanya wakati wowote hata ukikurupushwa usingizini saa 7 usiku?

    Swali limenyooka hio wakuu, yaan halijapinda kabisa. Sasa nakuuliza wewe hapo ni kitu gani unaweza kufanya hata ukiwa usingizini yaan umelala ila ukaambiwa ufanye na ukafanya saa 7 usiku bila shida na ukakifanya kwa kukinyoosha kabisa. Mimi nina vitu km vitatu ila kwa leo nitataja vitu viwili...
  3. Davidmmarista

    Hivi Kuna ushahidi wowote Yesu alikuja duniani or it's just a conspiracy theory ya watunga stori?

    Kuna stori hadi sasa nikisikia naona kama hazina utofauti na mere stories. A lot of story kama, yesu alitembea juu ya maji, kufufua wafu, 🤔still doesn't make sense....
  4. kimsboy

    US kuishambulia Iran muda wowote kutoka sasa

    Vita inakuja sahivi wanahesabu masaa tu, huko Israel mahandaki yashafunguliwa Marekani wenyewe washaanza kuondia wanajeshi kwenye bases zao...Sidhani kama round hii itapita bila mtwangano kutokea
  5. Mi mi

    Vita kati ya Marekani na Iran kuna dalili yoyote ya kuepukika au muda wowote toka sasa kuna lipuka huko mashariki ya kati?

    Wakuu kwa yanayo endelea huko mashariki ya kati kuna dalili yoyote ya vita kati ya Marekani na Iran kushindwa kutokea au tuwe tayari kwa breaking news kubwa muda wowote kutoka sasa ? Updates na uchambuzi kuhusu mgogoro wa muda mrefu kati ya Marekani,Israel na Iran shusheni wakuu hapa tupate...
  6. Tundusami

    Vijana wanapenda mashangazi kwa sababu hawaingii period muda wowote inapatikana amna usumbufu

    Leo nawapa siri ya vijana kupenda mashangazi ,mashangazi yameshaingia menopause hakuna mambo ya kukwepa mdinyano kisa upo period mashangazi mda wote unadinya ule ubabaifu wa kuwekewa tomato kwenye pedi haupo.
  7. Godoro la kioo

    Kuna ukweli wowote hapa au anataka kuzua taharuki

  8. Genius Man

    Lissu akiachiliwa hiyo tarehe 9 sasa ndipo uchaguzi utarudiwa kwa nguvu zote za wananchi kwa sasa bado hatujafanya uchaguzi wowote

    Lissu akiachiliwa hiyo tarehe 9 sasa ndipo uchaguzi utarudiwa kwa nguvu zote za wananchi kwa sasa bado hatujafanya uchaguzi wowote. Je watamtoa chuma tarehe 9 au wataanza visingizio sijui shahidi anaumwa tumbo hajafika tuhairishe kesi.
  9. Genius Man

    Hoja ya bunge kutaka kumsifia rais halina msingi wowote wala faida kwa wananchi na linaegemea maslahi ya mtu mmoja yasiyo na maana

    Hoja ya bunge kutaka kumsifia rais halina msingi wowote wala faida kwa wananchi na linaegemea maslahi ya mtu mmoja yasiyo na maana. Hizi ndio baba wa taifa anaziita siasa za kimalaya, bunge Tuacheni siasa za kimalaya kusifia mtu hakuwezi kuleta maendeleo kwa wananchi na kuwaondoa kwenye...
  10. Genius Man

    Kuwapangia wabunge nini cha kuongea Bungeni (wasifie tu) ni ujinga na upumbavu

    kuwapangia wabunge nini cha kuongea bungeni wasifie tu ni kinyume cha sheria na hakina msingi wowote ni ujinga na upumbavu. Nimesikia wabunge wanapangiwa cha kuongeea bungeni tena huongei mpaka uwe kwenye list kama watoto wa shule ya maingi. suala hili linalivua nguo taifa zima kwa ujumla na...
  11. Echolima1

    Kumbusho wakati wowote Iran anaweza shambuliwa na Marekani

    ⚠️ Ukumbusho Muhimu Kabla ya Kuongezeka kwa Uwezekano wa kipondo kwa Iran ⚠️ Makombora yanaporushwa kuelekea Israeli, kile tunachochapisha mtandaoni kinaweza kuokoa maisha, au kumsaidia adui. Hivi ndivyo kila mtu anapaswa kujua: 🔴 USICHAPISHE video za uzuiaji wa moja kwa moja au athari za moja...
  12. Mwanadiplomasia Mahiri

    Safisha safisha inaendelea huko serikalini, muda wowote kuanzia sasa Korogwe ataondolewa

    Ni kama kuna safisha safisha huko serikalini. Nineambiwa baada ya mapete sasa ni zamu ya Korogwe. Tega sikio…
  13. Idugunde

    Muda wowote nitajiunga CHADEMA ya Lissu. Naona ni chama ambacho kitatukomboa Watanganyika

    Kitakuwa chama changu cha kwanza kujiunga. Naipenda nchi yangu. Nahitaji kuwa na watu ambao wapo kwa ajili ya maslahi ya umma. Sio watu kama Freeman Mbowe ambae alijali tumbo lake kuliko maslahi ya umma. Nitawajulisha na kufanya press conference
  14. Mshana Jr

    Manabii na mitume; hamna muujiza wowote wa maji?

    Kitaa hali ni ngumu sana, hata ukiacha haka kamvua ka leo. Ukame Joto Fukuto Ukosefu wa maji Mke wa Kapola aliwahi kuishiwa na gesi ya kupikia. Mumewe akafanya muujiza, mtungi ukajaa gesi, mambo yakawa sawa. Japo hatukuwahi kupata mrejesho kama ile gesi ya muujiza iliisha au la, wala kama...
  15. pulex

    Tetesi: Mange Kimambi: Ujambazi wa rasilimali za Tanzania unaendelea kwa kasi

    Kwa mtakaokumbuka mtakumbuka kuwa kipindi cha kampeni niliwaambia kuwa Aiport ya KIA inaenda kuuzwa kama ilivyouzwa bandari. Kuna wapuuzi na machawa waliniona mimi mchochezi na kwamba natunga vitu ili kujenga chuki. Haya Oneni hii. Kipindi cha kampeni wamefungua kampuni kabisa brela, inaitwa...
  16. H

    Tangu nijue sina umuhimu wowote hapa duniani, nimekuwa mwenye amani sana!

    Sihangaikii chochote naacha nature iamue! Sihofii chochote Sipambani kutafuta furaha maana najua sitakuja kuipata Mimi ni kakitu kadogo sana na Sina maana yoyote hapa duniani
  17. stakehigh

    PostGE2025 Live zinazofuata tuweke watu wa kututafutia fursa za masoko nje, na sisi watz tuungane kwenye kilimo, wasikae tu nje bila umuhimu wowote

    Wale mliokosa kazi mnasubiria kuandamana, mchongo mpya ni kwenye izo izo spaces hao wanaowahamasisha mfanya vurugu sasa ni mda wa kufunga hio chapter na waanze kutumika kuleta fursa kwa wote kwenye izo live, kama ni masoko ya vyakula uku mashamba yapo ya kutosha mpaka yanamwagika, kama ni ajira...
  18. technically

    Tetesi: Huenda muda wowote internet ikazimwa

    Tujipange haraka Sana internet inazimwa muda wowote Leo
  19. nkuwi

    Huyu CEO wa simba hana uwezo wowote, naomba ajiondoe mapema before too late

    Habari za jioni wanasimba, naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja. Huyu bi dada zubeda shakuru tangu ameingia simba kuna lolote positive ameleta?? mbona timu inazidi kuzama?. nafikiri ajiondoe kabla hajatolewa kwa nguvu kwenye hiyo nafasi, amepelea hana uwezo, hajiwezi. simba inahitaji...
  20. DuaZaMama

    PostGE2025 Gerson Msigwa: Vyombo vya ulinzi viko tayari wakati wowote kuelekea Desemba 9

    "Vyombo vyetu vya usalama kama ilivyo leo, ilivyokuwa jana, ndivyo itakavyokuwa tarehe 9 na siku zinazofuata. Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wakati wote viko tayari kuhakikisha watu wako salama, mali zao ziko salama, mipaka ya nchi yetu iko salama." Gerson Msigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali
Back
Top Bottom