wote

  1. JamiiForums Tanzania Kiongozi bora wa muda wote Simba

    Sijui imekuaje Leo. Nimejikuta namkumbuka huyu mwamba.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maswali yote kuhusu wanunuzi wa gesi ya Urusi yamejibiwa hapa na utaratibu wote umefafaniliwa

    Hapa yapo maelezo ya kina kuhusu utaratibu wa Nchi zilizoiwekea vikwazo Urusi kununua gesi kwa Rouble!! Kama Kuna atakayejitolea kutafsiri kwa kiswahili itapendeza Sana Ili watu wote wajue kinachoendelea. Kuna watu wanaongea kishabiki tu hata hawajui utaratibu itakayotumika! 1. What paying for...
  3. JamiiForums Tanzania Ukoo wetu wote ni masikini. Naombeni ushauri Nawezaje kukata huu mnyororo wa umaskini?

    Familia yetu yote hakuna mwenye unafuu wa kiuchumi. Nikaangazia macho ndugu wa baba na mama, na wao wote ni masikini sana. Nikafuatilia historia ya mababu na wao walikuwa mafukara kabisa. Nina shahada ya kwanza ila ninakaribia kumaliza mwaka tangu nimalize chuo lakini sijawahi kuifanyia kazi...
  4. JamiiForums Tanzania Makonda angefanya haya kumalizana na GSM, ni darasa la bure kwa watu wote

    Sakata la mgogoro wa ardhi kati ya RC wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) bado halijafika mwisho, licha ya ukimya wa siku kadhaa lakini sakata hilo bado lipo na halijafikia tamati. Makonda analalamika kuwa amedhulumiwa eneo na mjengo wake eneo...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kwa wote wanaomuamini Yesu

    Hivi yesu alivaa kanzu au Suluari?na alitawaadha au hakutawadha,na alipiga ishara ya Msalaba au alisujudu. Alikaa kwenye mabenji wakati wa kuswali au alikaa chini kitako Na mama yake pia Bikira Maria alivaa gauni,sketi,suluari,au Baibui? Alivaa Hijabu au aliacha kichwa wazi,alipiga...
  6. JamiiForums Tanzania Akili za Viongozi wangu wa Yanga ni za Kiutopolo sana. Yaani mnashangaza, ina maana wote shule hamna?

    Kwa nini tunapambana sana kumfanya Rais aipende Yanga? Tunajipendekeza kwa kiasi kikubwa mpaka wote tunadharaulika sana. Tunaonekana wote ni akina Manara. Toka Manara amekuja yanga tunaona jinsi ambavyo anashawishi mambo yake yaende mbele. Hili wazo amekuwa akilitoa kila mara akijiwekea...
  7. JamiiForums Tanzania Wasanii wamjia juu Fid Q kwa kufanikisha Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki wote Tanzania

    Shirikisho la Muziki Nchini Tanzania ambalo Fid Q Ni katibu Mkuu, lilimtangaza Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki Wote nchini. Wasanii wamaupinga huu uteuzi na kudai wanataka Kusemewa na Mtu anaejua Changamoto zao na sio Steve ambae ni Mwanasiasa na Muigizaji. Wasanii Wameonekana kutokua...
  8. JamiiForums Tanzania Wote hapa duniani ni wapitaji

    Hii video imenifanya nitafakari, kweli hapa duniani tunapita; unaweza ukapambana ili uweze kuishi miaka mingi; lakini viungo vya mwili vikaendelea kuchoka na hatimaye kupoteza ufanisi wake, mfano macho, ngozi n.k na mwisho wa siku moyo kushindwa kufanya kazi yake na kupata umauti.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Polisi na TRA ni Taasisi mbili za Serikali ya Tanzania ambazo nazichukia kwa moyo wangu wote

    Hapa nchini kwetu Tanzania, kuna taasisi mbili za serikali ambazo nazichukia kwa moyo wangu wote. Yaani taasisi hizi zingekuwa ni wanadamu nikaona wanaelekea kutumbukia katika shimo hatari na nisipowatahadharisha watakufa, ningekaa kimya ili wapotelee mbali. 1. Jeshi la Polisi Tanzania 2...
  10. JamiiForums Tanzania Happy birthday kwako mwana JF, Bujibuji na wote mliozaliwa leo

    Bujibuji najua huwa hupendi personal life iwe exposed, lakini kwa umuhimu wako hapa Jukwaani, niona nikutakie heri wee na Wana JF wote mnaoadhimisha siku yenu ya kuzaliwa leo.
  11. JamiiForums Tanzania Wazazi tuwe tunatathmini watoto, elimu ya juu si wote wanaiweza

    Wazazi wengi hasa walioenda shule wanapenda watoto wao wa some Elimu ya juu yaani kidato cha tano, sita na kwenda chuoni kusoma degree na ikiwezekana apate na masters. Unapowalea watoto wako tangu wakiwa wadogo unaweza kuelewa mwenye kumbukumbu nzuri na mwenye kuelewa haraka. Pamoja na kuwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Huu ndio uzi wangu bora kwa muda wote, na wewe tupia wako

    Huu ni uzi ambao nimekuwa nikiusoma nakuurudia tena na tena, usiku na mchana bila kuchola tangu uliporushwa rasmi. Uzi huu unenifundisha umuhimu wa kufanya maamuzi magumu ili mradi tu kulinda maslahi yangu mapana mimi na familia yangu kama vile Urusi afanyavyo kule Ukraine. Hapa Kerubi...
  13. JamiiForums Tanzania Nina watoto sita, kila mtoto na mama yake, sitaki mama zao wawe "single mothers", nawezaje kuishi nao wote?

    Nimebahatika kujenga nyumba mitaa hii ya Mbezi Msakuzi. Mimi kwa sasa nina jumla ya watoto sita kutoka kwa mama tofauti. Je nifanyeje niwa convince 😋 niishi nao wote nyumba moja? Napenda kuona watoto wangu wakiishi wote pamoja na Baba yao, wacheze pamoja na wale pamoja. Niwafundishe maadili...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira kwa vijana: Watoto wote wa viongozi wana ajira

    Nimekuwa nikiumizwa sana na vijana wengi wanaomaliza masomo kila mwaka na kukosa ajira. Uchunguzi niliyofanya nimegundua kuwa ajira karibu zote zinagawiwa kwa watoto wa viongozi wa kisiasa na serikali. Hakuna mtoto wa kiongozi asiye na ajira kama walivyo watoto wawakulima na wafanyakazi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Kuanzia leo natangaza rasmi Kuwachukia na Kuwalaani Wanasiasa Wote wa Upinzani nchini kwa sababu zangu zifuatazo

    1. Ni Majuha 2. Ni Wanafiki 3. Ni Waongo 4. Ni Waoga 5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi 6. Wana Uwendawazimu wasioujua 7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya...
  16. JamiiForums Tanzania Nina uhakika kwa hili la 'Freeman' hivi sasa wana CHADEMA wote wanampenda 'Mama' na 2025 wote watampigia 'Kura' zao aendelee kuwa Rais wa Kusamehe TZ

    Kweli nimeamini unaweza Kuchukiwa na Watu ( hasa Maadui zako ) kwa 75% ila ukaja kufanya Jambo moja na hao hao Maadui zako kwa 100% wakabadilika na kuanza Kukupenda. Kwa Furaha kubwa niliyoiona kwa wana CHADEMA wengi baada ya 'Freeman' kuachiwa na kwa Upendo wa ghafla waliouonyesha kwa 'Mama'...
  17. JamiiForums Tanzania Nafasi zimetangazwa 12 Utumishi interview tumeenda 8. Je, kuna uwezekano kweli wa kupata kazi wote au sheria ndo inafuata mkondo?

    Msaada kwa wadau mwenye uzoefu au aliyewahi kukutana na situation hii
  18. JamiiForums Tanzania Waafrika wanajiona kama wanaonewa muda wote. (Inferiority)

    Toka juzi nafuatilia matukio yanayotokea huko Ukraine kupitia Twitter, ila kuba hili suala la waafrika kujiona kama wanaonewa hasa kupewa hifadhi na access kwenye safe zones inasikitisha sana. Kuna clips zinasambaa mojawapo ni waafrika hasa wanaijeria wanalalamika hawaruhusiwi kuingia Poland...
  19. JamiiForums Tanzania Usiogope tambua heshima Pesa ionekane kwenye wallet yako: Fuatilia mkasa wote

    Habari JF family! Gawiza? Story hii inamixer zote uwe mvumilivu. Way back mwaka 2012-2013, hii miaka sikuwa na gari kabisa ila already nilikuwa na viwanja si haba kimara bonyokwa 40x50, Mapinga bagamoyo eka moja na nusu eka, Mpiji magoe sio mbali na Dr. Mvungi R.I.P mwamba, eka moja, CCM chama...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu kuamini haya yanatokea, why kill innocent people? Mungu awe pamoja na wote wanaoadhirika na vita hii

    Kwa kweli sijawahi kuwa mshabiki wa vita vyovyote vile kwa sababu siku zote anayeadhirika katika vita ni binadam wa chini kabisa Watawala kazi yao ni kutoa matamko tu, vitani huwezi kuwaona. Mungu awe pamoja na wote Ukraine/Russia na wengine watakaoadhirika na vita hii. Vyombo vinavyosukia pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…