wote

  1. Kampuni inayotoa chanjo ya Johnson & Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine kwa watu wote waliopata chanjo ya kwanza

    Kampuni inayotoa chanjo ya Johnson&Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine ambayo itatolewa kwa watu wote waliochanjwa dozi ya awali ili kuupa mwili nguvu zaidi kupambana na kirusi cha Delta. J&J imesifia chanjo yake ya pili kua inatengeneza kinga nyingi mwilini kupambana na...
  2. N

    TAKUKURU Tunaomba msiwaonee haya viongozi wote waliopokea hongo ili chanjo ije Tanzania kama ilivyodaiwa na Askofu Gwajima

    Kwa madai ya askofu Gwajima ni kwamba kuna viongozi walipokea hongo ili chanjo ije, na akauliza walihongwa kiasi gani hicho mpaka kuwauza watanzania? Askofu alidai pia viongozi hao wamechanjwa chanjo feki ili kuwahadaa wananchi. Sasa basi kwakuwa Tayari Waziri kaelekeza TAKUKURU mumkamate na...
  3. Kesi ya 'Ugaidi' inayomkabili Freeman Mbowe kuendelea tena Ijumaa hii, Wanachama wote wa CHADEMA Mnakaribishwa Mahakamani kufuatilia

    Mwamba wa siasa za Tanzania usiotikisika , Laingwanan , Mtemi Isike ama Ustaadhi Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar , kesho anafikishwa tena Mahakamani kwa ajili ya kusikiliza kesi waliyomtungia ya Ugaidi . Natoa wito kwa wananchi wote na hususani ni wanachama wa Chadema...
  4. Baada ya kupoteza kazi iliyokuwa inanipa heshima mjini pia nimepoteza na marafiki zangu wote

    Hili jambo lisikie tu kwa watu baki, baada ya kupoteza tu kazi hata marafiki wamenikimbia. Hadi naandika huu uzi mida hii moja haikai mbili hakai, hakuna kitu kinauma kwa mwanamme kama kuamka na kutokujua unaamkia wapi. Niwakumbushe tu wanamme wenzangu wale mliopo kazini, heshimuni sana hizo...
  5. Ushauri wa bure tu na wenye 'Ukweli Mchungu' kwa Wanachadema wote Mitandaoni na Kwingineko duniani

    Kiungwana kabisa nawashauri na kuwaombeni kuanzia sasa wana CHADEMA wote wekezeni mno katika Kuzisoma Nyendo za Viongozi wenu Waandamizi ili msije mkawa ama mnadanganywa au mnatumika kama Mitaji yao ya kuwa Maarufu Kitaifa na Kimataifa. Yaani Mtu Mmoja kafanya Upuuzi wake tokea Mwezi Septemba...
  6. N

    Sijui kama mtazamo wangu uko sawa, ila nawaona wote wanaopinga chanjo kama wana shortage kichwani!

    Mweshmiwa mbunge wa viti maalumu Humphrey Polepole yeye anasema tusipige chanjo ila tufanye mazoezi kwa wingi pia tule ugali wa dona na matembele kwa wingi na kuondoa hofu tutaishinda corona Askofu yeye anadai tumuomne sana Mungu kwani alikua ameshaliponya taifa na korona ikaisha, pia analaumu...
  7. Wachezaji Wote Waliambiwa Wampost Boss

    Kanjibahi ni mkiritimba kinoma aisee! Kumbe bhana aliwaforce key players wa Simba wamposti na kumpongeza kwa lengo la kuonekana kama ni mtu muhimu sana kwenye simba. Jamaa aliwahadaa sana watu aliposema hakuna mkubwa kuliko simba, kumbe alimaanisha hakuna mkubwa kuliko yeye. Jamaa atawatesa...
  8. Serikali ya Tanzania na viongozi wote mnashusha elimu ya Tanzania

    Chuo cha UDSM ambacho ndio cha kwanza hapa Tanzania kwa ubora wa elimu kimeshika nafasi ya 42 kati ya vyuo vyote vya Afrika. Kama UDSM kimeshika nafasi ya 42 kiafrika na ndio cha kwanza kwenye ubora Tanzania. Vyuo vinavyobakia hata kwenye list havimo. Havimo kabisa. Hivyo ni dhahiri elimu...
  9. Mshahara mmoja tu wa Luis Jose miqusison unalipa wachezaji wote wa Yanga

    By Mwandishi Wetu More by this Author MAPUTO. MKAZI wa hapa Maputo, Luis Jose amekula maisha nchini Misri. Staa huyo mkubwa kwenye soka la Bongo ambaye ameonekana jijini hapa juzi, ameuzwa na Simba kwa Al Ahly ya Misri. Habari za uhakika kutoka kwa mmoja wa watu wa karibu wa mchezaji huyo...
  10. B

    Freeman Mbowe hayuko peke yake, Pongezi kwa wote

    Salamu zitakuwa zimewafikia kuwa mheshimiwa Mbowe hayuko peke yake na hatakuwa peke yake. Funzo kubwa kwa makamanda limetoka kwake wakili msomi Peter Kibatala: "Kuwe na mkakati rasmi wa mapambano ambapo tutakuwa sote na wahanga wetu katika raha na katika shida." Kama ilivyo kwa kamanda Mbowe...
  11. Zamani Ikulu ilipelekewa orodha ya graduate wote, siku hizi inapelekewa orodha ya Viongozi wa CCM ngazi ya kata hadi Taifa

    Habari! Siku moja nilikuwa na mzee mmoja mstaafu JWTZ aliniambia kuwa Ikulu hupokea taarifa na majina ya wahitimu wa elimu ya chuo kikuu wale wa degree ya awali nakuendelea. Pia hupokea majina ya baadhi ya wahitimu wa elimu ya stashahada na advanced diploma kila mwaka. Rais kwa kutumia team...
  12. Wazee wote wapewe pensheni

    Hello JF, Leo nimejikuta nafikiria uzee na changamoto zake, hasa kwa wazee waliokua nje ya mfumo wa ajira rasmi kama mafundi, housegirls/ boys, wafanyabiashara ndogo ndogo n.k ni sehemu ningependa kuchunguza wanaishije katika uzee especially wale wa Dar es Salaam na Miji mingine mikubwa ambao...
  13. B

    Wito: Chadema, CCM na Wote Maslahi ya Taifa Yazingatiwe

    Itakuwa kutojitendea haki kutokutambua kuwa taifa hili linapita katika hali iliyo tete sana. Hali kadhalika itakuwa ni kukosa uzalendo kwa kiwango cha juu kuyaona haya na kuyafumbia macho. Pamoja na yote ni muhimu sana maslahi ya taifa yakawekwa mbele. Ieleweke kuwa maslahi ya taifa (kama...
  14. Wacheni wengine tufe. Mbona mnatulazimisha kuchanjwa wote?

    Ukimwi unaua, Malaria inaua, tb inaua. Hivi vinaua mamia kila mwaka. Hamtulazimishi kuvaa condom, kuchanjwa kama kuna chanjo, kutumia chandarua... Ila hapa tu ndo wazungu mnatulazimisha.kwa nini? Kwa kweli nmekosa nimjibu nini huyu jamaa fala kabisa. Hataki kuchanjwa na wakati namwona mwilini...
  15. Kamati Kuu CCM: Hatua zichukuliwe kwa wale wote wanaokiuka mienendo, taratibu na kanuni za maadili na uongozi kwa mujibu wa katiba ya Chama

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan. Pamoja na mambo mengine Kamati Kuu imempongeza Rais...
  16. Haji Manara acha Kufanya Wana Simba SC wote ni 'hopeless' kama ulivyo

    Hakuna Mtu wa Simba SC hasa hao Viongozi uliowataja wakiongozwa na Salim "Try Again' Wala Nahodha wa Simba SC John Boko aliyekushauri kuwa usifanye ile Press Conference yako uliyoiahidi bali dhamira inakusuta na roho yako ya Kinafiki inakutesa. Kama hawa uliowataja hapa unawaheshimu na...
  17. Ina maana muda wote huu Rais alikuwa hajachanjwa?

    Keshokutwa tarehe 28, mwezi huu wa Julai, tumeambiwa kuwa Rais Samia atachanjwa hapa Ikulu ya Dar es Salaam. Serikali ndo itakuwa inazindua kampeni yake ya chanjo dhidi ya Corona! Sasa nimewaza tu: ina maana muda wote huu tokea Rais Magufuli afariki, huyu Rais wetu mpya alikuwa hajachanjwa...
  18. Kama Taifa limekubali chanjo ndio maslahi ya Taifa, Viongozi wote wanakuwa Bind na A Collective Responsibility Clause. Must support, Shut up or quit!

    Wanabodi, Nimemsikia Mbunge wangu Mhe. Askofu Gwajima akipinga chanjo ya Covid na sio tu kuhamasisha watu waikatae bali hadi kutishia kwa kuwahukumu kifo, wote watakao wachanja watu! Askofu wetu anahitaji kuelimishwa, kwanza yeye, kama Mbunge, ni mtumishi wa umma wa Watanzania wote, kisha ndio...
  19. T

    Thobias Andegenye: Mechi ya Simba vs Yanga wote wavae barakoa, hata uwanja ukifurika

    Mashabiki elfu 17 pekee ndio wataruhusiwa kuingia ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma, kushuhudia mpambano wa watani wa jadi Simba na Yanga siku ya Jumapili. Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amesema wamepunguza idadi ya mashabiki kuingia ndani ya uwanja ili kuthibiti...
  20. Chadema yawatakia heri ya Idd Waislam pamoja na Watanzania wote kwa ujumla

    Huu ndio ujumbe waliousambaza kila mahali leo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…