Ndege ya Ukraine iliyobeba silaha yaanguka na kuua wote waliomo "wanasema Ilikuwa inaenda Jordan" ila sisi tushajua😂😂😂😂

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
18,683
29,410

Explosions for two hours after plane carrying 12 tonnes of weapons crashes​

A view of the crash site of an Antonov An-12 cargo plane owned by a Ukrainian company, near Kavala, Greece, July 17, 2022. REUTERS/Alkis Konstantinidis

Drone footage captures how the cargo plane crash landed in the fields (Picture: Reuters)

A cargo plane carrying 11.5 tonnes of weapons has crashed in northern Greece, killing everyone on board.
Explosions were heard for two hours after the crash as locals saw a fireball light up the sky near the city of Kavala.

The Antonov An-12 cargo plane took off from Nis in Serbia on Saturday and was heading to Amman in Jordan when it crashed shortly before 11pm local time.

Minutes earlier, the pilot of the Soviet-era plane, which was operated by Ukrainian cargo carrier Meridian, had told air traffic controllers there was a problem with one of the engines and he had to make an emergency landing.

He was directed to the nearby Kavala International Airport but never made it.

Drone footage showed small fragments were all that remained of the plane, which crashed in fields between two villages and dragged a small distance on the ground.

Greek media reported there were eight people on the plane and it was carrying 12 tonnes of ‘dangerous materials’, mostly explosives.

Small fires and a plume of white smoke were still rising from the front end of the plane on Sunday morning.

Firefighters who rushed to the scene were prevented from reaching the crash site by smoke and an intense smell which they feared might be toxic.

Villagers were told to keep their windows shut all night, to not leave their homes and to wear masks.

Teams of explosives experts are poised to search the crash site and determine exactly what kind of dangerous cargo it was carrying.

‘We were hearing explosions until a few minutes ago,’ Filippos Anastassiadis, mayor of the municipality of Paggaio, told the Associated Press a little over an hour after the crash.

‘I am about 300 metres from the site of the crash.’
 
Attachments

 • Screenshot_20220717-120055_Chrome.jpg
  Screenshot_20220717-120055_Chrome.jpg
  722.1 KB · Views: 6
 • Screenshot_20220717-115949_Chrome.jpg
  Screenshot_20220717-115949_Chrome.jpg
  1.4 MB · Views: 7
 • Screenshot_20220717-115929_Chrome.jpg
  Screenshot_20220717-115929_Chrome.jpg
  1.1 MB · Views: 7

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
8,486
16,106
#Lavrov : "We have information that US built two biological warfare labs in #Kiev & #Odessa and they have developed pathogens in those labs in #Ukraine."

Russia will have to capture these cities and dismantle those labs to save the people of the world from another pandemic
 
Holly Star

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
2,160
3,743
Rais wa Marekani Joe Biden anakutana na viongozi wa Kiarabu nchini Saudi Arabia leo Jumamosi, kuwashawishi washirika wa Ghuba wa Washington kutoa mafuta zaidi na kuijumuisha Israel katika kanda hiyo.

Hii ni awamu ya pili kwa Biden kuzulu Mashariki ya Kati kama rais, na anaangazia mkutano wa kilele uliopangwa na nchi sita za Ghuba na Misri, Jordan na Iraq akipuuza kukutana na Mwanamfalme wa Saudia Mohammed bin Salman, hatua ambayo imesababisha ukosoaji nchini Marekani juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu.
-
Biden alikuwa ameahidi kuitenga Saudi Arabia katika jukwaa la kimataifa kutokana na mauaji ya mwanahabari Jamal Khashoggi mwaka 2018 na maafisa wa Saudia, lakini sasa ameweka nia ya kuboresha mahusiano na taifa hilo linaloongoza kwa mauzo ya nje ya mafuta duniani na dola lenye nguvu katika ulimwengu wa Kiarabu.
-
Biden anahitaji msaada wa Saudia katika wakati huu bei za juu za mafuta ghafi na matatizo mengine yanayohusiana na mzozo wa Urusi na Ukraine na huku akihimiza juhudi za kumaliza vita vya
 
Naby Keita

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
7,191
7,171

Saudi kampa cha mbavu kamtolea nje babu kabaki anaweweseka tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

9 Reactions
Reply
Top Bottom