wote

  1. JamiiForums Tanzania Tujiunge kwenye vyama ambavyo vina mifumo ya utaifa kwanza, kwa wote tulioiasi au kuikataa CCM

    Ikumbukwe sisi watanzania,kabla ya mfumo wa upinzania kuanza sisi sote CHAMA chetu kilikuwa ni chama cha mapinduzi yaani ccm, baada ya vyama kufunguliwa ndipo kila mmoja wetu kwa akili zake akakimbilia pale anapoona panamstahili na panapoweza kumtimizia mawazo yake na malengo yake ya kisiasa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania SoC03 Afya bora kwa wote: Jinsi ya kufika malengo ya utawala bora

    Afya bora kwa wote ni lengo muhimu katika kujenga jamii yenye ustawi na maendeleo endelevu. Utawala bora ni msingi wa kufanikisha lengo hili kwa kuweka mifumo imara na inayozingatia usawa katika utoaji wa huduma za afya. Kuimarisha utawala bora kunahitaji ushirikishwaji wa wananchi, uwazi...
  3. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya wafanayakazi wa ndani kutoka mikoa baadhi tu wakati watu wote wa vijijini nchini ni masikini?

    Wafanyakazi wengi wa ndani maarufu kama beki tatu asilimia kubwa wanatokea Iringa, Kigoma na Chato. Ni vigumu sana kusikia mfanyakazi wa ndani katoka Tarime, Bariadi au Moshi. Imekuwaje trend ya wafanyakazi wa ndani kutokea baadhi ya maeneo wakati pengine pakiwa hakuna uzalishaji mkubwa wa...
  4. JamiiForums Tanzania Waafrika wasusia hafla ya Urusi ambao miaka yote huhudhuriwa na viongozi wote wa Afrika

    Urusi ilitegemea kutumia hii hafla kuonyesha uungwaji mikono na dunia, ila imetengwa....na inazidi kutengwa na pia kupokea kichapo kutoka kwa kataifa kadogo jirani hapo.... Russian President Vladimir Putin had hoped for a record turnout of African leaders at his second Russia-Africa Summit...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wote Walio Karibu au Wana Uwezo wa Kumfikia Rais

    Wanao wajibu wa kumweleza rais ukweli wanavyouona wao kwa msukumo wa uzalendo wao kwa nchi yao. Maswala mazito, kama hili la Bandari yanapotokea nchini na kuwa na mwonekano wa kuwagawa wananchi katika makundi yanayovutanai, siyo mambo ya kunyamazia, hasa kwa viongozi wa ngazi za juu mbalimbali...
  6. JamiiForums Tanzania Maamuzi ya watu wachache yanakuja kugharimu watu wengi na wote

    Ifike mahali mnaojifanya mna uchungu wa nchi hii na kuchukulia maamuzi kwa kusema watz wote wamechoka semeni kwanafasi yenu.. Leo hii kuna agenda zinaendelea chini kwa chin kuwa watu wanapanga kufanya vurugu kuandamana kisa bandari na wameeanza kuwadanganya baadhi ya watz kuwa nchi imeuzwa hivi...
  7. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awatakia waislamu wote heri ya mwaka mpya

  8. JamiiForums Tanzania Sisi wote wageni hapa duniani, imekuaje unajiita "Life Coach"?

    Wakuu kuna kitu kimekuwa kikinikera mno na kunishangaza, naona leo nikiweke hadharani. Kuna hawa viumbe wanaojiita Life Coach wamezidi kuongezeka sana town. Kimsingi ni Motivational Speakers ambao kwa sababu wanazozijua wao wameamua kujipa vyeo kwamba ni makocha wa maisha. Najiuliza maswali...
  9. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Tukosoane kwa hoja na lugha za staha. Kutukanwa kwa mama mmoja ni kutukanwa kwa kina mama wote Tanzania

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknoloji ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) amewataka watanzania kutotumia lugha za matusi kukosoa jitihada mbalimbali zinazofanywa nchini na Rais wa Serikali ya Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Waziri Nape ameyasema hayo leo Julai 18 Mkoani Dar es Salaam...
  10. JamiiForums Tanzania Wanasiasa bora wa muda wote toka upinzani

    Nionavyo mimi wafuatao ni wanasiasa bora wa muda wote kwa upande wa upinzani. Orodha hii itaanza na yule bora zaidi kushuka chini. 1. Hayati Maalim Seif Kila mmoja anakumbuka vizuri balaa la Maalim Seif kwenye siasa za nchi hii kutokea upinzani. Huwa najiuliza huyu dingi aliwapaga nini wazenji...
  11. JamiiForums Tanzania Polisi yapiga marufuku maandamano ya UVCCM ya kuunga mkono Serikali yaliyokuwa yafanyike Julai 18, 2023

    Polisi Tanzania wametoa taarifa kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika na UVCCM nchi mzima hayataruhusiwa. Wametoa sababu kuwa kufanya hivi kunaweza kusababisha taaruki kwenye jamii. My take, Hii Ni mbinu zilizopangwa kati ya uvccm na vyombo ya ulinzi, ili kupata sababu ya kumzuia mwamba...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kama serikali inayosubiri kuingia madarakani, msimamo wa CHADEMA ni kwamba Mkataba huo ufutwe wote

    Mbowe akiwa kwenye Mkutano na Waandishi wa habari akisoma maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA asema, "kwakuwa hakuna utafiti, ushahidi, wala tathmini ya kina iliyofanywa juu ya jambo hili na kwakua serikali imekosa majibu yenye ushawishi kwa umma, na kwakuwa chama tawala hawasikilizi maoni ya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu CHADEMA wataka wote walioingiza nchi katika mkataba huu mbovu kuchukuliwa hatua

    akisoma maazimio hayo leo 14/7/2023 katika mkutano wa CHADEMA na Waandishi wa Habari juu ya maamuzi yaliyofikiwa na Kamati Kuu kuhusu Mkataba wa Bandari amesema, Kamati Kuu ya CHADEMA imeazimia serikali kuwachukulia hatua wote walioigiza nchi hii kwenye mkataba mbovu ambao haurekebishiki...
  14. JamiiForums Tanzania Leo kivumbi, wote tuko kitandani ila desktop imewashwa

    Nipo kitandani, nashangaa desktop inawashwa, kwenye meza hakuna mtu. Wala hakuna paka labda kusema kaminya sehemu. Hii si balaa?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tumewasikia watu wote, nini hitimisho la mjadala wa Bandari?

    Mjadala wa Bandari umeteka mitandao yote iwe Instagramu, Jamii Forums, Youtube, Twitter, Facebook na mitandao mingine, pia mjadala mkali kwenye vijiwe vya kahawa, mitaani na maeneo mbalimbali yanayokutanisha watu kila mtu akiongea la kwake. Tumeshamsikia Waziri Profesa Mbarawa, Tumemsikia...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa vijana wa kidato cha 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya Chuo Kikuu

    Ushauri wangu kwa vijana wa form 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya chuo kikuu. Tanzania ya sasa haihitaji Degree, zimeshakuwa nyingi sana mtaani mpaka copy za vyeti zinafungiwa vitumbua. Yaani degree ni luxury sio hitaji muhimu. Tanzania ama dunia ya sasa inahitaji stadi na...
  17. JamiiForums Tanzania Mawaziri wote tunawajua hadi uwezo wenu, ebu acheni kujiaibisha

    Mawaziri wetu, wabunge na watu wa Serikali embu sasa acheni kulala usingizi wa kizembe, simameni kwenye nafasi zenu mumsaidie mama Samia jamani. Mmeshakoroga kubalini kurudi mezani, wale watu wote mliowaona wanapinga Mkataba kwa fact Waite I mezani mjadili msaidimane mawazo na mfanye jambo...
  18. JamiiForums Tanzania ZAIDI: Tribute Kwa Kina Mama Wote. Tafadhali Pitia Na Mnipe Maoni Yenu

    Hello JamiiForums, Hii itakua thread yangu ya pili humu Jukwaani toka nijiunge kama member June, 2020. Mimi ni Producer, Composer & Songwriter. Ndani ya miaka mitatu nimekua nikijaribu kuendeleza craft yangu kiujumla na ningependa muweze kuipitia na kunipea genuine feedback, your support and...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa hawa watu wanaobadili dini, Ndugu na wanafamilia wa dini tofauti wajiandae kwa lipi kwenye mazishi yao?

    MKASA WA BINTI MKRISTO ALIEBADILI DINI: Nimeshawahi kushuhudia mvurugano wa hali juu kwa suala hili kutoka kwa familia za wanandoa, Bint wa kimakonde Mkristo alikubaliwa na wazazi wake abadili Dini ili aolewe na kijana Muislam, Shida ikaja pale bint alipofariki, ndugu za mume wanataka kumzika...
  20. JamiiForums Tanzania M/kiti wa wafanyabiashara Kariakoo anawatisha wale wote waliozungumza kwenye kikao na Lissu

    Nukuu ya mwathiliwa; Jamaa ametuma jamaa zake eti kutuhoji kwanini tunatumika na wanasiasa kuichafua Serikali. Anadai hoja zote si zilitatuliwa na PM sasa ya nini eti tunamdhalilisha Rais! Tumewataka hao vibaraka waende wamwambie atuandikie kwa maandishi hayo malalamiko yake ama atupigie simu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…