wote

  1. JamiiForums Tanzania Watawala wa Tanzania wana akili kuwazidi Watanzania wote?

    Nauliza hivyo kutokana na kadhia za Muungano. Ingawa manung'uniko yamekuweko tokea mwanzo wa Muungano, watawala wekuwa kama vile wameziba masikio! Hawaambiliki, hawasikiki wala kushaurika. ~Wasomi wameshauri lakini wakapuuzwa ~ Wanasiasa wamepiga kelele lakini nao wakapuuzwa ~ Wananchi...
  2. JamiiForums Tanzania Kwani ni lazima wauza nafaka wote jumla kuwa na mizani ile kubwa ya bei kubwa, hizi za digital hazifai kupimia magunia?

    Mimi nataka fungua nafaka jumla ila nashangaa wenzangu kila kona wana mzanii ile mikubwa kama hii. Sas nilikuwa nauliza ya digital haifai kwani kama hii kupimia magunia ya kilo mia.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya mshahara bora watumish wote wahamie Zanzibar

    Kwa hiki kinachoendelea pole sana watumishi wa umma, haiwezekani mtumishi no. 1 akashindwa kufika kwenye siku ya WafanyaKazi ambayo yeye ni mwenyekiti na ni mwajiri wa watumisho yote. Halafu Cha ajabu wawakilishi wake wanatoa majibu mepesi kwenye maswali yanayohitaji majibu sahihi. Mbona Mh...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wachina waenzi asili na utamaduni wao katika ibada ya kumkumbuka Mfalme Huangdi “babu wa Wachina wote”

    Ilikuwa ni heshima kubwa mwaka huu kupata mwaliko wa kwenda kuhudhuria ibada ya kumkumbuka Mfalme Huangdi “babu wa Wachina wote”, ambayo ilikuwa kubwa na ya aina yake inayofanyika kila ifikapo tarehe tatu ya mwezi wa tatu kwa kalenda ya kilimo ya China huko Xinzheng mkoani Henan. Mwaka huu...
  5. JamiiForums Tanzania Wachambuzi wameisahau Kengold kuwa imepanda ligi kuu, wanaisifu Pamba muda wote kwa kua wamepewa supu ya Ng'ombe na mboga ya kupeleka nyumbani

    Hili ndiyo taifa lenye wachambuzi wa ajabu kabisa katika tasnia ya mpira wa miguu, wachambuzi wengi walijifungia Mwanza toka waliposikia kuwa timu itachinja ng'ombe 25, wamesahau kabisa kuwa kengold kutoka Mbeya nayo imepanda ligi kuu na ndiyo timu iliyoongoza kwa point 70 na kufuatiwa na pamba...
  6. JamiiForums Tanzania Leo ni Mei Mosi, tujiulize wote watumishi wa Umma: Ni nani alianzisha "Kikotoo" na ni nani wa kukiondoa?

    Karibuni!! Ila ninahishi CCMhuwa inazalisha tatizo likiwa kubwa wanaliondoa, wanajipongeza kwa kuliondoa.
  7. JamiiForums Tanzania Kuna ile hali wanawake wanashika dudu na kulifanyia kazi kwa kuishika na kuingiza na kutoa kwenye chungu chao wazungu muda wote wanaita

    Shalom Sina mengi sana hio elimu au utundu nimeikuta mbinga na kwa waluguru, inakuwa kama katerero ila yenyewe mwanamke anashika dudu na kujifanyisha kazi yeye kwa mkono wake ndani ya chungu chake anatoa na kuingiza kwa spidi fulani hii hali dudu muda wote ni full utamu. Leo hii nasubiria...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe shangwe zilizotawala kufurahia jaribio la kuiteka na kuua waisrael wote (river to sea) October 7, Leo hii vilio vimewageukia wao

    OCTOBER 7..... Raia wa Israel waliotekwa wakiingizwa Gaza, wapalestina wameachiwa wawapige kama sehemu ya kusherekea Mitaa ya Gaza waplestina wakifurahia jaribio lilioanza la kuisafisha israel te Shangwe mitaa ya London, Uingereza Fataki zilipigwa huko Iran Iraq Kahawa ya bure...
  9. JamiiForums Tanzania Wale tuliopewa muonekano na ngozi nzuri hata kama tuna changamoto za kimaisha tukutane hapa

    Kuna wale ambao mungu ametupendelea hata tukikaa jela miezi kadhaa huwa hatuchuji, tunafanyiwa figisu za hapa na pale ili tuharibikiwe na kufubaa lakini bado tunazidi kung'aa tu na maadui zetu wakituona huwa wanazidi kuchanganyikiwa zaidi tukutane hapa 😊
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi wakaazi wa Dunia wanavyotumikishwa na kutawaliwa bila kufahamu. (Hiii ni watu wote, Tajiri mpaka masikini mweupe mpaka mweusi, msomi asiyemsomi

    Kufuatia Hali na mambo yalivyo ni Dhahiri kwamba sasa tutakubaliana kwamba kuna watu wachache mno wanacontrol Dunia nzima kwenye aspects zote ikiwemo za maisha. Na lengo sio kupata pesa ila ni kuwafanya watu wasiwe huru bali wawe watumwa ili wasimfikirie Muumba wao. So wana vitendea kazi ama...
  11. JamiiForums Tanzania Hii tabia acheni. Mtu anakuomba salio na Bado unamuona Yuko online muda wote. Salio la kazi gani sasa?

    Huu Ni utapeli bhna mtu ankusumbua naomba salio either vocha lkn ajabu Bado Yuko online na Yuko Muda wote Sasa salio la Kaz gani Kuna bint kaniudh San Jana kaomba nikampoteza asbh Tena anataka nimtumie vocha na bado Yuko active Hadi HV Sasa Nahisi huyo bint Yuko humu maana Ni member wa muda...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi wauza nafaka wote hapa Dar ni kweli wote huagiza nafaka mikoani au wengi wao hununua tu kwa wauzaji wakubwa wa jumla?

    Habari wana jf natumai wote mko poa Hii habari inanishangaza kila kila ninapoenda kununa labda mchele au maharage kila mfanyabiashar nikimuuliza hizi unachukulia wapi huwa wananiambia wanachukulia mikoani afu ukute ana gunia tano tu au kumi Nimezunguka maduka mengi ila wengi wao wananiambia tu...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi Hakuna Mpinzani aliyetunukiwa hata Nishani Moja la daraja la nne mbona watu wote waliotunukiwa Ni wa wanaccm

    Kwa mbali Sana nimeona waliotunukiwa nishani leo na Rais Samia Ila ajabu hata hakuna mpizani yoyote aliyepewa tuzo hiyo Ina maan wapinzani hawna mchango wwote ktk kufikiwa kwa muungano huu wa kitapeli wa miaka 60 Nataka kujuwa kigezo Cha kutunikiwa nishani ni nini? Pia Soma - Rais Samia atoa...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Azam TV ni burudani kwa wote au burudani kwa waliolipia? Nashauri wabadili kauli ile

    Haiwezekani kwamba Azam TV kuwa ni burudani kwa wote kama wanavyojinasibu. Mi naona hiyo kauli ibadilike na kiwa Azam TV burudani kwa waliolipia mana bila kulipia huoni kitu
  15. JamiiForums Tanzania Shaaban Kissu, mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko watangazaji wote nchini, alifuatiwa na Gadner G

    Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya enzi za Kikwete. Kabla ya kutumbuliwa na JPM. Kanuni za utumishi ziko wazi ukipandishwa...
  16. JamiiForums Tanzania Nahisi GSM na Hersi wana nia mbaya kwa mashabiki wa Simba. Ukweli wote huu hapa

    As-Salaam Alaykum (Peace Be Unto You) Natumai Hamjambo Na Mko Vyema Karibuni Sana Katika Uzi Huu. Ukituskiza Vizuri Mashabiki wa Yanga Tukiwa Tunaongelea Mpira, Hasa Timu Yetu Wallah Nakuapia Tunakeraaa Sie na Ujichanganye Kusikiliza interview za Coach GAMONDI ambaye ungependa kusikia...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Azam tv sio burudani kwa wote ni burudani kwa waturuki. Mnaboa sasa

    Kwa sisi wapenzi watazamaji wa Azam Tv wapenzi wa tamthiliya hasa pale Azam Two hakuna tena burudani kwa wote bali burudani kwa Waturuki. Tamthiliya zinazorushwa na Azam Tv zinachosha mana zinajirudia rudia tu kuanzia visa mpk wahusika. Hv kuna tofauti gani Kati ya Ertugurul, The Othoman...
  18. JamiiForums Tanzania Uzalendo na utumishi waliokuwa nao akina Sokoine, Warioba haupo tena, waliopo ni wote ni wezi tu wenye wivu

    Watanzania wa leo kwa asilimia 99%, ni wezi tu, uzalendo na utumishi kwa ajili ya umma wa watanzania haupo tena, kwa leo hii usione mtu anapigia kelele mwenzake au kiongozi fulani ni mwizi ukazani huyo ni mzalendo, sivyo kabisa, huyo anapiga kelele kwa kukosa uteuzi ili yeye yale ya wizi...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Hivi mnawezaje kuchati na wanawake zenu muda wote, mnachat nini

    Wakuu itifaki imezingatiwa Katika harakati za mahusiano na mapenzi kuna kitu kimenishinda mpaka najiuliza mnaofanya hivi mnaajenda gani muda wote mnawasiliana Hivi mwanaume mwenye majukumu ya kazi tu mbali na familia unakuta muda wote ni kuongea na mwanamke wako yes tena mmoja tu simu ikipigwa...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Ukichunguza sana utagundua kuwa Dully Sykes, Abby skills, Mr. Blue,, Ali kiba, Diamond wote ni familia moja kimuziki

    Maana wote wametoka kimuziki Gerezani kariakoo Abby skills kwao mtaa wa kipata Queen Doreen dada yake Mondi anatokea mitaa hiyohiyo aliwahi kuwa video vixen wa kazi ya Abby Skills na Mr Blue - Mimi Na Wewe pia kuimba na Ally Kiba, Baadae akamleta Diamond mitaa hio kwa Bob junior ambae kwao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…