wote

  1. V

    JamiiForums Tanzania Wasudani weusi Waislam waliwasaidia waarabu kuwafuta wasudan wasio Waislam leo hii waarabu wanakanyaga wote

    Ukiangalia mapigano yanayoendelea sudan utagundua kuwa watu weusi ni wajinga sana Hawa wasudani walioingia katika uislam walianza kujiona wao ni waarabu kwa mtindo huo akawa anashirikiana na waarabu kuwaangamiza wasudan wasio kuwa waislam Leo wanaojiona waarabu hawawatambui wasudani weusi...
  2. JamiiForums Tanzania Baba yangu hakuniachia urithi lakini ndugu zangu wengine wamepewa wote, je nikijitenga na ile familia nakosea?

    Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua...
  3. JamiiForums Tanzania Watu 11 wamepoteza maisha ndani ya Kiwanda cha Mtibwa Sugar, Morogoro

    Kuna taarifa nimezipata kutoka kwa mtu wangu wa karibu anadai Watu 11 wamefariki Dunia ndani ya Kiwanda cha Mtibwa Sugar kilichopo Morogoro kutokana na hitilafu za kiufundi. Wenye taarifa kamili tujuzeni ==== === Watu 11 wakiwemo raia watatu wa kigeni wamefariki dunia na wawili wamejeruhiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Huwa unajisikije pale unapokuta na mwana ambaye kaoa, muda wote stori zake kidogo tu anataja mke wake?

    Bila shaka mko poa kabisaa. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu, uwa naona kinyaa sana pale nakutana na mwana flani unategemea mnapiga stori zenu binafsi au tudiscuss mambo ya maana au kupeana idea nzuri za maisha yeye kidogo tu mke wangu. Hivi huu uwa ni ulimbukeni au ni kitu gani...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya photoshoot wasiliana nami

    Kwa maitaji ya photoshoot wasiliana nami stoney lens kupitia namba 0654726672 kwa wàle wote ndani na nnje ya nchi ila napatikana Dar es salaam Tanzania
  6. JamiiForums Tanzania Weekend imefika naomba wana JF tuburudike wote na kibao hiki

    Ahsanteni https://youtu.be/v6Zw5duTJeA?si=ZCzpze04z1gcx-T-
  7. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Queen Sendiga: RUWASA Hakikisheni Wananchi Wanapata Maji Safi na Salama Muda Wote

    Mkuu wa Mkoa Manyara, Mhe. Queen Sendiga amewataka Wakala wa Maji na USAFI wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kuhakikisha wananchi Mkoani humo wanapata huduma Bora ya maji safi na Salama muda wote. Ameyasema hayo katika kikao cha watumishi wa RUWASA Mkoani humo kolicholenga kuwajengea uwezo...
  8. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ili kuifikia "Tanzania Tuitakayo" ni lazima tuwe na uthubutu na nia ya dhati wote kwa pamoja

    Ubunifu katika Sekta ya Elimu kwa Uwezeshaji wa Kufikia Utoaji wa Huduma Bora kwa Jamii kwa Awamu Ili kuboresha elimu na kuhakikisha kila mtu anapata fursa sawa ya elimu bora, ninapendekeza mpango wa awamu unaojumuisha mambo yafuatayo: Miaka 5: • Kuboresha miundombinu ya shule: Hii...
  9. JamiiForums Tanzania Imani ya Mwarabu na Myahudi zinafanana kwa karibu sana, wote walimkataa Yesu ndio maana laana ya damu inawasumbua

    Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu Wanafanana katika yafuatayo 1. Wote hawaamini kuwa Yesu ni Masiha 2.Wote hawaamini katika utatu...
  10. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mamilioni ya Raia Masikini kunufaika na Bima ya Afya kwa Wote

    Rais Cyril Ramaphosa, Mei 15, 2024 anatarajiwa kusaini kuwa Sheria Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote unaolenga kutoa huduma bora za Afya kwa wote huku wanufaika wakubwa wakiwa ni Mamilioni ya Raia maskini Muswada huo uliopitishwa na Wabunge Mwaka 2023 unalenga kuwapa Waafrika Kusini "wa rangi...
  11. JamiiForums Tanzania Usitegemee mwanasiasa akuletee urahisi wa maisha yako

    Usitegemee mwanasiasa akuletee urahisi wa maisha yako. Kila biashara ina mtaji na mtaji wa mwanasiasa ni mtu mjinga ambae hajielewi ndo anaweza kukalishwa kwenye jua na kupangishwa foleni ili kupiga kura.
  12. JamiiForums Tanzania Hongereni sana wakina mama wote kwa upendo mlionao kwa watoto wenu.

    Juzi mama wa mwanangu alikuwa anaenda dukani, mtoto nayeye akataka kwenda mama yake akamzuia dogo akawa mbishi. Ikabidi wakubaliane kwamba hakuna kubwebwa, mtoto akakubali safari ikaanza, kama dakika 6 tu dogo akataka abebwe. Mama akawa mkali, mtoto akatumia akili nyingi akaita mama mamaake...
  13. JamiiForums Tanzania Aposto, Kuna muujiza huku, watu wote hawa wamewezaje kujazana kwenye Kandege kadogo hivi?

    REKODI YA DUNIA ya abiria wengi kupanda kwenye ndege moja iliandikwa mwaka 1991 baada ya abiria 1086 Waethiopia wenye asili ya Uyahudi kupakizwa kwenye ndege aina ya Boeing 747 kutoka Ethiopia kwenda Jerusalem nchini Israel...... Baada ya kufika Jerusalem abiria waliongezeka kutoka 1086 hadi...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi na TFF hawa wazee wote waondoke. But nani wa kuwatoa?

    I will be short These are the most useless individual in our football. i believe we could have been better than what we are today. 1. Ligi yetu ina panga matokeo kama ligi ya Kenya. Shame shame. Why only 3 teams. Why not favor all teams. Small teams more. 2. Time table aipo equal in all...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Mashabiki na Wachambuzi wote wanaamini kua hizi team haziwez kua bora kwa wakati mmoja?

    Habari mwanajukwaa la michezo, Leo katika tafakuri zangu nimewaza kitu ambacho kwa asilimia kubwa ukikifatilia kinaongelewa sana kama sio sasa basi hata hapo nyuma kilikua kinasemwa sana. Kwa saiv No ubishi Yanga ana enjoy sana yupo kwatika Level ya peke ake kabisa, ambayo wamekua wakiitamani...
  16. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ni kiboko, wameshapitisha sheria sasa wanarudi kufafanua nini? Amemwibua Comrade Kinana!

    Wiki mbili za Tundu Lissu kufanya maandamano Takribani Mikoa 6 mfululizo zimeacha Madhara makubwa. Madhara hayo ni kufungua Wananchi kuhusu masuala mbali mbali ikiwemo Uchaguzi, Katiba Mpyaz Uhuruz na Utawala bora, siasa na maendeleo. chawa wengi walijaribu Kujitutumua kumjibu ikashindikana...
  17. JamiiForums Tanzania Single mother wote nchi hii karibuni mkoa wa Mara,Ukuryani, kwa nini uteseke? Kwa nini ujione kama ulikosea hii dunia? Hakika hutojutia

    Slogani yetu sisi wakurya "Tunataka watu,na kitanda hakizai haramu " Nashangaa mdada unateseka huko uliko kisa huna mume na huwezi kuolewa kisa una watoto wako uliozaa na mwanaume mwingine huku ukiwaza watoto wako wataishije mbeleni? Sisi Ukuryani tunataka watu,njoo na wanao utaolewa na majina...
  18. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Wote tumepigwa na taharuki juu ya hela nyingi wanazohitaji wachezaji wetu

    Gharama za Mpira zimepanda sana, Wote tumepigwa na taharuki baada ya kusikia fedha wanazohitaji Wachezaji wetu kipindi cha usajili. . Kama ni kweli Wachezaji wanataka fedha hizo basi hakuna klabu Tanzania yenye uwezo wa kuzalisha nyingi hivyo kutoka kwenye vyanzo vyake bali tunamtegemea...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini wakimbizi walioingia nchini kinyemela, wote waonekana kuwa na akili kubwa hakuna mapoyoyo

    Nilikuwa nasoma uzi wa Furtunatus Boyombe kuhusu idadi kubwa ya wahamiaji haramu ambao wako serikalini kwa idadi kubwa wote Wana akili kubwa kubwa mno Mfano wengi unaawakuta wako BOT UDSM SUA IFM TRA UHAMIAJI WAJUMBE WA BODI TARURA TAKUKURU JWTZ Kwa kifupi Ni hivi, wote hakuna hata mwalimu wa...
  20. JamiiForums Tanzania Raha ya tendo la ndoa wote mfurahie si, kukaa kama gogo kitandani

    Raha ya tendo la ndoa wote mfurahie si kukaa kama gogo kitandani. Kufanya tendo la ndoa walikuwa kwenye mahusiano lazima kila mtu afurahie utamu wa tendo la kufanya mapenzi sio kukaa kama gogo kitandani ni aibu sana na hii ndiyo inapelekea walio kwenye mahusiano kuchepuka.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…