Hayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake.
Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji.
Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya mapato ila kukawa na upigaji.
Kikwete awamu yake ikajaa upigaji tu na uswahili.
Hayati Magufuli...
Niwe mkweli kabisa saa sita hii usiku nimekuwa inspired na uzi wa Robidinyo ambaye ameeleza changamoto ya kutokuwa na kazi au biashara jinsi maisha yanavyokuwa magumu.
Nikajikuta nataka kuwapa respect wale wote ambao hamchoki kutoa msaada kwa ndugu na jamaa zenu waliopata changamoto za hapa na...
CHADEMA ORIGINAL
Freeman Mbowe
Godbless Lema
Joseph Mbilinyi
CHADEMA ACADEMIA
Tundu Lissu
Peter Msigwa
John Heche
Ni suala la muda tu na nawaombeni kama hamtojali wekeni Kumbukumbu ya huu Uzi kwani tayati Moto unawaka.
Habari wanajukwaa,hasa wafia dini. Kabla ya kuja dini afrika mababu zetu waliishi kwa Mila na desturi zao,hawakumjua yesu Wala muhamad, na sisi tuliomjua yes na muhamad tumemjua kwa kusimuliwa na kukaririshwa ,hivyo tumekuwa umma wa yesu na umma wa muhamad??JE MABABU ZETU WALIOKUFA BILA KUWAJUA...
Mataifa mengi huwa na vyakula vyao vya kipekee ambavyo ni kama sehemu ya utamudini wao kitaifa.
Wako walio na piza, mabaga, taco, shawarma, matoke, githeri, kimchi n.k. Nafikri kwa sisi Tanzania Chipsi mayai ndio chakula cha kipekee kinachotuunganisha kiutamudini Watanzania wote kama taifa na...
Miaka ya nyuma, yaani 1995 na kurudi nyuma, elimu ya vyuo vya kati na vyuo vikuu vya serikali, iligharamiwa na serikali kwa asilimia 100. Miaka ya 1990, kufuatia utekelezaji wa mageuzi ya kiuchumi (“Structural Adjustment Programme”), mpango uliofadhiliwa na Benki ya Dunia (“World Bank - WB”) na...
UTANGULIZI.
👉Lengo kuu la HESLB ni kutoa msaada wa kifedha kwa wanafunzi wa elimu ya juu ili kuhakikisha kuwa wanaweza kukamilisha masomo yao bila kikwazo cha kifedha. Dhamira yake ni kuongeza upatikanaji wa elimu ya juu na kusaidia kuboresha ubora wa elimu nchini Tanzania.
👉Baada ya kumaliza...
Wakati siri imefichuka kwamba pendekezo la kusimamisha vita limetoka Israel. Vile vile wafuatiliaji wa vita vya Gaza wametoa takwimu za kuonesha jeshi la nchi hiyo kwa sasa limechoka na lina upungufu mkubwa wa askari.
Kwa mujibu wa mtandao huo wa ufuatiliaji vita imeelezwa kuwa askari wote...
Bila shaka mko poa wana jukwaa na wale mabingwa wanaendaelea kusherekea ubingwa wao.HALAA MADRID. Moja kwa moya kwenye mada, wakuu nina rafiki angu kaoa mwana mke kahitimu chuo huko daslam miaka mitatu iliopita nadhani ni diploma ya uwalimu ila bado hajeajiriwa sasa huyu mwanamke nifull jeuri...
Habari za jumapili!
Ni wivu katika jamii au ni jambo gani?
Ña hii tabia ipo kwenye jamii maskini hasa huku Afrika,
Ni kwànini mdada akiwa mzuri wale ambao hawakujaliwa uzuri humpa maneno mabaya na kumhusisha na umalaya, udangaji, ukahaba n.k?
Wakati ûkienda site unakuta hali ni tofauti...
Hii nimepenyezewa jioni hii, na mdau wangu wa muhimu sana.
Wahusika wote waiotajwa kwenye report ya CAG mwaka huu wamesamehewa na Mh Raisi hii ni baada ya kamati ya kuwaombea msamaha kuwa na jukumu zito sana la kuwahoji kabla ya kumuomba Raisi awasamehe na awape onyo kali sana.
Kamati...
Kila mtoa huduma ambae ana sadikika ana nguvu kubwa ya uponyaji anaweka makazi na huduma yake katika majiji makubwa, why?
Ina maana Hakuna mtumishi mwenye karama kubwa alie inuliwa tandahimba, tarime, bunda, bariadi, etc.
Uhalisia ni upi wa kiroho hawa watu wote kuwepo Dar tu. Ina maana Dar...
Uonevu,ubabe na udanganyifu pamoja na woga wa baadhi ya watu kwa binadamu wenzao ambavyo vimeoneshwa tangu mwanzo wa vita hivi hakuna shaka kutaleta mabadiliko ya maana kwa dunia nzima.
Kwa nje na kwa akili za kibinadamu kuna watu wanadhani Hamas na wenzao ndani ya Palestina wameshindwa.Kiundani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.