wote

  1. JamiiForums Tanzania Kwa wabunge wote kabla ya kuelekea majimboni mnakumbushwa kuja kuoga dawa kuondoa nuksi na kukatwa jina mwezi huu ni mgumu sana sana

    Mimi kama mganguzi napenda tu kuweka mambo sawa! Mwezi huu ndio utakutana na wagonjwa wengi wenye sukari na presha ! Mwezi wa kujidhalilisha ndio huu ! Na Mimi Sasa nimefungua dirisha kuanzia Leo kutakuwa na huduma ya kuoga dawa kabla hujarudi jimboni na hujakutana na wajumbe wenye roho mbaya...
  2. JamiiForums Tanzania Hongereni sana Yanga SC wote kwa Kutufunga ki Haki, ki Mpira na ki Mafunzo ya Mpira wa Kisasa (wa Kiufundi) jana kwa Mkapa

    Wana Simba SC tutazunguka kila Kona, tutasema kila Maneno, tutatafuta Mchawi / Wachawi kila pembe ya dunia, Tutalaumiana mno, tutachukiana sana wenyewe kwa wenyewe ila Leo hii namaliza rasmi Utata kuwa Simba SC hatuwawezi Yanga SC na tusipojitathimini Kimkakati upo uwezekano mkubwa tukaendelea...
  3. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Hersi kwa Wanayanga wote

    Rais wa Yanga SC Engineer Hersi Said kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe wa kuwashukuru Mashabiki na Wanachama wa Klabu hiyo baada ya kutwaa Ubingwa wa ligi kuu ya NBC Msimu huu Injinia Hersi ameandika ✍🏿 "ALHAMDULILLAH!!! YANGA BINGWA WA NBC 2024/25 Shukran za dhati kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ulikuwa hujui kwa nini mchungaji wako ana bonge la leso, muda wote anajifuta futa madhabahuni? Ni leso za kishirikina, sikiliza ushuhuda huu!

    Mchungaji huyu anasema lesso hizo huwa zimetengenezwa kishirikina ili kuwachezea waumini akili, ili wajae kwenye mfumo wa kuwa misukule kama wale jamaa wa ubungo maji.
  5. JamiiForums Tanzania Vichekesho vya Afrika: Waislamu wote wanadai Iran itashinda, Wakristo wanadai Israel itashinda.

    Wa Afrika mmerogwa na nani? Mmeshindwa kubaini wasio julikana wanaowateka na kuwaangamiza ndugu zenu mnakaa kusimuliana hekaya ambazo hata haziwahusu. Kama haitoshi miaka nenda rudi ndugu zenu wa Congo wanaishi kama digidigi lakini hakuna anayejali. Natamani kuwaita kenge weusi nyie sema JF...
  6. JamiiForums Tanzania Je, tupo kwenye dakika za lala salama unabii wote wa biblia umeshatimia ?

    Kulingana na unabii kulikuwa na falme nne katika danieli 7 zilizotabiriwa kuwa baada ya hizo ufalme watapewa watakatifu na ndipo mwisho wa dunia. wafalme hao waliotabiriwa ni babeli, umedi na uhajemi, uyunani na rumi. je, tawala hizi zina uthibitisho na ushahidi wa kihistoria nje ya biblia ili...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ikiwa wanadamu wote wameumbwa kwa udongo, Hawa nusu udongo nusu chuma wametokea sayari gani?

    Salaam, Shalom! Wanadamu wote asili yao ni Adam na Eve, walitokana na udongo. Sasa Leo kuna mtu ameponyokwa neno la Siri na kutudokeza kuwa tuna kiongozi nusu udongo nusu chuma. Je mtu huyu amepata maono kusema jambo hili? Au tuseme naye ameota ndoto kama Mfalme Nebuchadnezzar aliyeona...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Trump: Marekani inaweza kumuua Ali Khamenei, ni "easy target" inajua wapi yupo ila haitafanya kwa sasa

    Rais wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa Marekani inaweza kumuua Supreme Leader Ali Khamenei kwasababu ni "easy target" na inajua wapi alipo ila haitafanya kwa sasa ====== Trump: US could kill Iranian leader but won't - "for now" Donald Trump says the US knows where Iranian Supreme Leader Ali...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Poleni wanaharakati poleni wapigania haki poleni wote wenye kupenda kusema ukweli kazi hii imekuwa ngumu mno

    Kazi inapokuwa ngumu SI vibaya kujikusanya na kupeana hope Ikitokea mashambulizi yanalemea upande wako SI vibaya mkarudi nyuma kidogo kwa Nia ya kujipanga upya Wakuu nasema hivi kwa sababu ya Hali ilivyo kwa Sasa chini ya utawala wa rais Suluhu kushambulia kwa kutumia nguvu kubwa...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Watanganyika wote wapenda haki: Tum - support Tundu Lissu na CHADEMA kwa kujitoa sadaka/dhabihu kwa ajili ya wokovu/ukombozi wa sisi sote

    Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA ameamua kujitoa mwenyewe sadaka/dhabihu ya mateso kwa ajili ya ukombozi na wokovu wa Watanganyika wote Angekuwa ni mtu anayefanya haya kwa faida binafsi (personal benefits) ili apate vitu vya dunia hii kama fedha, vyeo, majumba, ardhi nk vitokanavyo na dhuluma...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge wote wa Covid 19 wamekata tamaa ya kuweza kurejea tena bungeni. Wana sonona (Depression)?

    Kila zama na kitabu chake, na kondomu ilitengenezwa ili iweze kutumika mara moja tu na baada ya hapo kutupwa mbali kama uchafu hatarishi. Huenda hichi ndio kinaendelea vichwani mwa wabunge wa Covid 19. Haijarishi watakuwa na hoja gani au watakimbilia chama gani, hakuna dalili yoyote kwa mbunge...
  12. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa wataalam tisa wa nyuklia Iran wameuawa, watamaliwa wote

    Ni hatia kwa kobaz yeyote kubobea kwenye utaalam wa nyuklia, utawindwa popote, sijui Pakistan waliachiwa aje, uzuri India wanawapumulia huko, japo siku Pakistan watajifanya kuonyesha chuki kwa Israel, na wao watafuatwa huko huko... Israel anawamaliza wataalam wa nyuklia Iran, ukiwa kobaz jikite...
  13. JamiiForums Tanzania Wako wapi watu wako mliosoma wote

    Mlikuwa darasa moja lakini hatima hazikufanana.. Mlijenga urafiki mkashirikiana katika mengi. Lakini hatima hazikufanana. Wengine mkafikia hatua ya kuwa familia kabisa.. Kwenu kwao na kwao kwenu. Lakini hatima hazikufanana Mlikaa dawati moja mkasaidiana masomo, wengine mkacheza pamoja lakini...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia anapenda kufanya kazi kwa ukaribu na watu kutoka mkoa wa Mara?

    Jaji mkuu mstaafu Prof Ibrahim Juma ni mwenyeji wa mkoa wa Mara, Jaji mteule Maseju nae ni mwenyeji wa mkoa wa Mara. IGP mstaafu Simon Sirro ni mtu wa Mara, IGP wa sasa pia ni mtu wa Mara. ADC wa Rais Samia nae ni mtu wa Mara, pia nimedokezwa hapo ikulu kwa sasa wasaidizi wengi wa mheshimiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Mfadhili mkuu Israel kaamrisha wanamgambo wake wote waingie kwenye mapango

    Marekani imeamrisha wanajeshi wake wote kwenye base za mashariki ya kati waingie kwenye bunker ili kuokoa viwiliwili baada Iran kuanza maangamizi ndani ya Israel U.S. Servicemembers at two bases in the Middle East were ordered into bunkers during tonight’s Iranian ballistic missile attacks...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2

    Mdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2 CHEMISTRY.... C BIOLOGY.....C GEOGRAPHY...D MATH.....F Naombeni msaada japo amechaguliwa form 5, je nimpeleke huko au nimpeleke chuo na chuo gani? naamini kupitia uzi huu watu wengi wataneemeka na kufarijika...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanzisha ada ya magari yanayoagizwa nje ili kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

    Uanzishaji wa Vyanzo vya Mapato kwa Ajili ya Kudhibiti Maambukizi ya Ukimwi na Kugharamia Bima ya Afya kwa Wote Kutoza magari na mashine (heavy machines) zinazoingizwa kutoka nje ya nchi kama ifuatavyo: Shilingi 50,000 kwa magari yenye ukubwa wa injini (CC) kati ya 0 -1000; Shilingi 100,000 kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Je , wakristo wakafundishwa chuki dhidi ya waislamu wote bila ya kutambua?

    Habari wajameni, Nimekuwa nikijiuliza swali hili wala sipati jibu : kwa kawaida anapotokea shekhe katoa msimamo wake binafsi katika maswala ya kijamii bila hata ya kunukuu kwenye vitabu vya dini basi watatukanwa waislamu Dunia nzima ..Mbona maaskofu wanatamka ujinga kama Mwamposa ,kuna Hananja...
  19. JamiiForums Tanzania Zari The Bosslady: Zuchu apewe Tuzo ya 'Girlfriend Of The Year' kwa uvumilivu, sisi wote tulishindwa

    Zari The Bosslady amemmwagia maua Zuchu kwa uvumilivu wake kwa Diamond Platnumz mpaka kuipata Ndoa 😄
  20. JamiiForums Tanzania Mashekhe wote kwa umoja wenu: Ijumaa ijayo khutba iwe ni October TUNATIKI ✅

    Wenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi, Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo, Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote Mkizubaa tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…