wote

  1. JamiiForums Tanzania Nasikia sasa wamesema bora tukose wote na tuanze upya!

    Wakuu kinachoendelea ni ule utaratibu wa bora tukose wote . Jamaa wa ubungo maziwa eti pale kwake Bukoba kijijini analindwa Kama sio yeye . Yule jamaa muhaya akili nyingi ana hasira za kupishana na tonge, karatasi pia alinyimwa . Na yeye anaona kurudi kupiga madesa anaona haiwezekani Je...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wanaufufuo na watu wote mnakaribishwa kesho tujumuke kwa ajili ya bwana Mungu wetu

    Ndugu zangu wapendwa huu ndiyo wakati wa kuwa imara zaidi kuliko wakati wowote. Simama na mathayo 10:28 HATISHWI MTU Kumbukeni hili msije kusahau hata siku moja! Mungu yupo pamoja nasi wakati wote, Yeye mwenyewe Alisema DUNIANI MNAYO DHIKI LAKINI JIPENI MOYO, MIMI NIMEUSHINDA ULIMWENGU (Yohana...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hitimisho; Watu wote humu ni CCM!

    Ndiyo, hivyo ndivyo ilivyo humu jf mpaka Sasa baada ya uchunguzi wangu wa kina. Hoja za upingaji na upondaji huja tu ikiwa Inategemea pale ccm juu amekaa nani na anasema au kufanya nini kinachotofautiana na mawazo au uelewa wa mwanaJF. Tofauti na hilo, wote humu ni wanaccm tu kwa hakika kwani...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Cuba na Urusi kuna nini, zama zilee za mwalimu, wasomi wetu walio enda kusoma nchi hizo walirudi wakiwa wamechanganyikiwa (data)

    Huo ndio ukweli, watu wa miaka ya zamani watakumbula kuwa, wasomi wetu walio somea Cuba au Urusi walikuwa wamechanganyikiwa! Kwa miaka ya hivi karibuni mtamkumbuka Dr. Shika sasa marehemu, ambaye pia alisomea huko Urusi alirudi akiwa amedata. Wapo wengi tunawajua wengime wametangulia mbele za...
  5. JamiiForums Tanzania Watu wenye tabia zifuatazo watachelewa sana au hawataweza kuwa matajiri kwenye uzao wao wote

    1. Watu wenye tabia za uoga 2. Watu wenye fikra za kimaskini 3. Watu wanaopenda kuzaa watoto wengi. 4. Watu wanaopenda kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na watu wengi. 5. Watu wanaoamini kuwa utajiri ni bahati. 6. Watu wasiomwamini MUNGU
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wito wangu kwa wana simba wote wenye mapenzi na nia njema kwa timu yetu

    Timu yetu inapitia wakati mgumu sana, inarushiwa mishale mashariki, magharibi, kusini na kaskazini, hawapumui. Nawapa pole sana viongozi wangu, hiyo ndio kazi ya uongozi. Mitandao ya kijamii imeleta changamoto kubwa katika tasnia ya habari nchini, kila mtu anapojisikia kuongea anaita social...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Naona ikitungwa sheria ya serikali kujimilikisha account za mitandao ya kijamii ya viongozi na social influencers wote

    Kwa mambo yanayoendelea Kuna uwezekano kuna sheria zinatungwa serikali kujimilikisha account za viongozi na social influencers, maana yake hata kama account ni yako binafsi, as long as we ni public figure au kiongozi, utatakiwa ku handle credentials kwa serikali Ili ukija kuhasi, basi usipate...
  8. JamiiForums Tanzania Rasmi Viongozi wote wa Chadema wapigwa stop kufanya siasa

    GT Wale wahuni waliopeleka kesi ya mali wanasema kupitia mawakili wao Baadhi ya viongozi wa Chadema wanakosea kutafasiri amri ya mahakama. Mawakili hao wanasema kupitia jambo TV hakuna hata kiongozi mmoja wa chadema anapaswa kufanya siasa kuanzia ngazi ya kitongiji aha ha 😄 🤣 😂 😆 Dunia simama...
  9. J

    JamiiForums Tanzania DIRA2050: Tanzania kumiliki uchumi wa TZS2,600Trilioni pesa hii inaweza kugawiwa kwa Watanzania wote na kila mmoja hadi watoto akapata TZS44 milioni

    DIRA2050: Tanzania kumiliki uchumi wa TZS2,600Trilioni pesa hii kwa hesabu za leo inaweza kugawiwa kwa Watanzania wote na kila mmoja hadi watoto akapata TZS44 milioni Ifikapo mwaka 20250, Tanzania inatarajiwa kuwa ni nchi yenye pato la taifa la $1Trilioni kufikia mwaka 2050 sawa na...
  10. JamiiForums Tanzania Ikiwa kuna wanaChadema damu walihama chama; Unawezaje kujihakikishia kwamba wote wanaoitwa mawakili wa Lissu, kwamba wana nia nzuri naye?

    Nimeona askari magereza wakinangwa pasipo sababu, kwamba wanazuia Lissu asipeane mikono wala kubadilishana nyaraka na mawakili wake. Watu wanatakiwa kuelewa kwamba Lussu is a red line; ndo mwanasiasa mwenye mvuto kwa sasa ndani ya Afrika Mashariki. Maana yake huyu mtu anatakiwa kulindwa. Hao...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania wote wanunue picha ya Mama Samia na kuitundika sebuleni na chumbani

    Natamani tumwone mama tukiamka, tumwone sebuleni, tumwone ofisini, tumwone kwenye vyombo vya habari, n.k Hakika mama yetu anatupenda, mimi Ponjoro wa Kinondoni nafarijika sana nikiona tabasamu lake. Wanaomchukia wanaishi kama digidigi si mnamwona gwaji boy, nasasa kuna digidigi nyingine inatua...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mayu Mwigulu kama kweli unataka Urais hakikisha unabadilishiwa madiwani wako wote

    Mwaka 2020 ulifanikisha kuingiza madiwani wote uliowataka na yule wa akribu yako zaidi ukamfanya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Iramba. Mbaya sana! Pamoja na wewe bado kukubalika ninakushauri kwa dhati ya moyo wangu usitoe hela kuhakikisha hao madiwani wanarudi,. Hiyo sio timu itakayokufikisha...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Samia anaondoa vigogo wote wa juu🧕🤦🏾‍♂️

    Wote wameondoka kwa shinikizo kwa habari za ndani. Hawa ndiyo walikuwa viongozi wa juu kabisa Makaumu wa Raisi Mpango Waziri Mkuu Majaliwa Spika Ndugai
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?

    Wanabodi, Huu ni uzi wa swali, Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, hata kujiuzulu kwake ni kwa kung'atuka kama Nyerere!, kwenye sababu zake kumi za kungatuka, kwa sisi wa jicho la tatu, tunajua amesema ukweli nusu!, ndio maana bado yuko mguu mmoja ndani, akisema atabaki kuwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kulelekea Uchaguzi, natamani Samia abakie peke yake na familia yake, wengine wote wamtenge na ashindwe kwa kila kitu

    Kwanza ifahamike sielewi amefanya nini na anatupeleka wapi, mi naona anatupeleka kwenye kumfunga kila anayempinga namna anavyoendesha nchi yetu! Itakuwa furaha kuu siku moja mgombea wa ccm kuanguka na kushindwa vibaya Natamani mgombea wa CCM ashindwe na atengwe na kila mtu ili abakie peke...
  16. C

    JamiiForums Tanzania SIKU UTAKAYOPATA AKILI NDIO SIKU UTAKAYOCHUKIWA NA WATU WOTE WANAONUFAIKA NA UJINGA WAKO

    Habari wakuu kuna hii kauli nilikuwa nimepita sehemu nikaisikia Hii kauli ina ujumbe mzito sana na ni ya kipekee kwa watu waliowahi kupitia hali ya kutumiwa au kudharauliwa kutokana na kutokujitambua. Inaweza kutafsiriwa hivi: "Siku utakayopata akili" – yaani, siku utakapoamka, kujua thamani...
  17. JamiiForums Tanzania Wasira: Ashauri wawekezaji wadogo, wakati na wakubwa wote watazamwe sawa

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameishauri serikali kupitia Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) kuwa karibu na wa wawekezaji wote wakiwemo wakubwa, wa kati na wa chini ili kuongeza kazi ya kukuza uchumi. Wasira...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha sita 2025: Inaonekana almost wote wamefaulu, kutakuwa na shida kubwa ya University placement

    kama 99.95% wamefaulu, then wote wana qualifications za kwenda University. Inakuwaje?
  19. JamiiForums Tanzania Nadhani viumbe vilivyoko kwenye ulimwengu wa roho hazina kazi ya kufanya ndio maana muda wote wanahaninga na wanadamu

    Hapo vip!!kwa uhalisia uliopo nikwamba viumbe kama majini,mapepo,mashetani,n.k wapo busy sana kufuatilia na kuharibu maisha ya mwanadamu kwa kushirikiana na wachawi na kwa tafsiri hii inaonyesha hivi viumbe vimekaaa kakaa tu huko pasipo na kazi ya kufanya kama mwanadamu,kwa ujumla ni viumbe vya...
  20. JamiiForums Tanzania Picha: Said Othman Mangwelele a.k.a mchawi wa drafti wa muda wote

    Kama ulishawahi kutazama game zake either physically au online bila shaka utakiri huyu jamaa ni mchawi kama sio jini kabisa. Jamaa anakufunga anavyotaka yeye, yani kuna ile game unaona kabisa imeisha ila jamaa hataki kumaliza ,atataka akufunge ki ladha kiasi kwamba hata wewe unayefungwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…