wizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Mbinu mpya ya CCM kuingiza kura fake vituoni ni kutumia Plice na magari yao.

    CCM ni sawa na yale magenge ya Madawa za kulevya kule Mexco, ambako kila mbinu ikijulikana huingia chimbo na baadae kuja na mbinu mpya ya kusafirisha Dawa za kulevya. CCM baad ya kugundua mbinu nyingi za wao kuiba kura hasa kura fake zinajulikana now day sana wanatumia police hao hao kuiba...
  2. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Kuiba Misalaba, Mashada ya Maua Makaburini ni Laana

    KWA miaka ya hivi karibuni kuna kukithiri kwa wizi wa mashada ya maua makaburini, na ung'oaji wa misalaba unaofanywa na baadhi ya wananchi kwa Malengo tofauti tofauti. Katika baadhi ya makaburi ambayo hayalindwi, kumekuwa na aina hiyo ya wizi hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam, Arusha...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Wizi katika Biashara za Mtandoni

    Biashara Za Mtandaoni zinatusaidia sana kupata vitu kwa bei rahisi sana Ila sasa Biashara hii imeingiliwa na Matapeli wengi. Sasa utamjuaje uyu ni tapeli.? JINSI YA KUMJUA TAPELI WA MTANDAONI 1. Mabadiliko ya namba za simu za huduma kwa mteja. Yaani kila ukiperuzi bidhaa utakuta baada ya muda...
  4. G

    JamiiForums Tanzania CCTV video: Wizi wa vitu ndani ya magari, usijenge mazoea ya kuacha vitu ghali kwenye gari,

    kukumbushana sio mbaya, tahadhari muhimu kuliko kusubiri yakukute Muda mwngi katumia kusubiri watu wapite, 2:00 kapiga tukio
  5. Meta AI

    JamiiForums Tanzania Nimeiba ama ndo zali la mentali

    Siku iko aje.... Kama kawaida jana jumapili nlitoka katika moja ya bar ya akina sisi wa hali ya kati nikiwa niko tungi kiasi. Kwa vile muda uliyoyoma nikaona nisepe mapema nikapumzike ile niupe mwili nafasi ya kujiandaa na majukumu ya kesho (ambayo ni leo). Kwa vile nliishiwa cash nikaona...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Marekani kuna wizi wa kura, vitambulisho haviruhusiwi kupiga kura kwenye majimbo ya Democrats, Ni Majimbo pekee aliyoshindwa Trump.

    hadi Marekani wanaojinadi ni wakuu wa Demokrasia haya mambo yapo Majimbo mekundu alikoshinda Trump ID zinahitajika, Majimbo ya Blue alikoshinda Kamala ID hazihitajiki, kama zinahitajika zisiwe na picha NON PHOTO ID - Mpiga kura anahitaji nyaraka yoyote isiyo na picha kuthibitisha utambulisho...
  7. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kwa haya tunayofanyiana Waafrika nakuja kuona hotuba ya P.W. Botha ilikuwa ina mashiko kwa kiasi fulani

    Although Botha alikuwa ni mbaguzi juu ya watu weusi South Africa lakini zaidi ya miaka 30 baadae unakuja kuona alikuwa sahihi katika baadhi ya vipengele katika hotuba yake. Baadhi ya vipengele vya hotuba yake: "Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wizi wa kimtandao

    Nawasalimu nyote. Ndugu zangu nimetapeliwa katika mazingira ya kutatanisha ambayo mpaka sasa wahusika wanapatikana nimepeleka taarifa kituo cha polisi kimsingi mpaka leo sijapata msaada nawaombeni mwenye kuweza au kujua namna ambavyo naweza kufanikisha hili anisaiidie maana nimepoteza hela...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hivi Arusha OCCID wa Miaka 2010-2012 Alikuwa Nani Mbona Wizi wa Panya Road. Ulizagaa

    Nakumbuka miaka hio maeneo ya mianzini Panya Road kama 20 hivi wanavamia nyumba kadhaa Kila mtu anakuwa mdogo wanachukua wanachotaka kwenye compound nzima let's say apartment 5 basi wanavuruga kote na mnavhezea panga yente yente kama zote kama kawaida. Enzi hizo makao mapya yote haikuwa na...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ni nani anapanda mbegu ya uongo, wizi, uhuni katika Uongozi na Utawala wa Tanzania?

    Tumsikilize Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wizi

    TANGAZO LA KUIBIWA Ningependa kuwataarifu umma kuwa nimeibiwa vitu vifuatavyo: 1. Laptop (2) Aina: "HP Pavilion, & HP Hewlett Rangi: ( moja ina rangi ya kijani na nyingine ina rangi ya silver 2. Vyeti vya Taaluma *cheti cha Diploma in records and archives management *cheti cha computer...
  12. Jerry Farms

    JamiiForums Tanzania KERO Wizi wa rejareja afanyiwao mkulima katika manunuzi ya mbolea za Ruzuku kanda ya Ziwa

    Tunaomba wizara husika itutolee ufafanuzi juu ya bei ya ruzuku ya mbolea : Mfano sms hapo chini👇🏾👇🏾 Ndugu XXXXXX Na. ------- umenunua DAP - 50 KG idadi 1 Tsh76701.33 kwa [TFRA-06----1] Kama hutambui manunuzi haya piga namba: 0800110153/4 NOTE: Bei anayopewa mkulima ni hio 76,701.33 ila ki...
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wanachama wa CCM Dar waandamana Ofisi ya Mkoa wakidai kuna Rushwa na wizi wa Kura katika Kura za Maoni

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es Salaam wamendamana wakiwa na mabango katika ofisi za makao makuu ya chama kwa kile wanachodai kuwepo kwa wizi wa kura na rushwa katika uchaguzi wa kura za maoni. Wanachama hao kutoka Chanika, Buguruni, Tandika, na...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mageni: Ajira za 'Connection' zinasababisha mifumo ya Wizi Serikalini, ataka Wakurugenzi, Katibu Tawala wapimwe kwa sifa sio kujaza nafasi

    Mbunge wa Sumve (CCM), Kasalali Mageni, ameelezea wasiwasi wake kuhusu mchakato wa ajira serikalini unaotegemea ‘connection’, akidai kuwa mfumo huu unazalisha watumishi wasiokuwa na sifa zinazostahiki, hivyo kusababisha hasara kwa serikali. "Wengi wanaamini ajira bila connection haipatikani...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wiki moja baada ya agizo la RC Kilimanjaro: Wizi wa Vitabu vya Majina ya Wakazi, Polisi mmefikia wapi?

    Ni zaidi ya Wiki moja sasa tangu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, alipotoa agizo kwa Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwachukulia hatua wale waliohusika katika wizi wa vitabu vya majina ya wakazi katika kituo cha Josho, kijiji cha Kikelelwa, wilayani Rombo. Tangu wakati huo, hakuna taarifa...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni ahitimisha ziara ya papo kwa papo, amtaka RPC Mjini Magharibi kukomesha kero ya wizi Kikwajuni

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Zanzibar, Mhandisi Hamad Masauni, amemtaka Kamanda wa Polisi Mjini Magharibi komesha kero ya wizi katika Shehia ya Kikwajuni Bondeni. Mhandisi Masauni ameyasema hayo mapema jana, Oktoba 28, 2024, wakati akihitimisha ziara yake ya...
  17. Chakaza

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kuwashirikisha Watoto Wizi, CCM mnaharibu Taifa lijalo

    Mnawachukua watoto wanafunzi na kuwaandikisha kupiga kura wenye miaka 14-17 kisha mtu mzima kama Makalla anatoka hadharani kujisifu kuvuka malengo ni picha kuwa taifa linapotea njia. Watoto wetu wanahusishwa na tabia za wizi huo mnadhani wakikua tabia hiyo wataacha? Jee hii CCM inayofanya mambo...
  18. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Angalizo: Utapeli na wizi kwenye maduka ya Pharmacy/ biashara ya dawa za binadamu

    Habari za wakati huu ndugu zanguni. Kama ilivyo ada na kawaida kuhabarishana habari mbali mbali zenye manufaa kwa ajili ya kuepushana na mambo yanayoonekana kutuathiri kwenye jamii na familia hii kwa ujumla wake. Nimepata bahati mbaya ya kumuuguza mgonjwa hapa nyumbani kwangu mwenye ugonjwa wa...
  19. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Tulidhibiti Wizi wa Transfoma kwa kuwanywesha Wezi Mafuta ya Transfoma

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila amesema vitendo vya wizi wa mafuta ya transfoma katika mkoa wa Dar es salaam vilikirthiri, hivyo ili kukomesha vitendo hivyo waliamua kuwa yeyote atakayekamatwa anafanya vitendo hivyo atanyweshwa mafuta ya transfoma na mpaka sasa hakuna wizi wa...
Back
Top Bottom