Julius adakwa akijifanya Afisa Muuguzi Mloganzila, atuhumiwa kwa wizi wa mali za wagonjwa na kukiri kuiba Simu Tatu

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
1,806
4,791
Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imemkamata Bw. Steven K. Julius kwa tuhuma za wizi wa mali za wa wagonjwa ikiwemo simu za wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo kwa kujifanya ni mwajiriwa wa Muhimbili Mloganzila kwa cheo cha Afisa Muuguzi.
IMG_2116.jpeg

Baada ya mahojiano Bw. Julius amekiri kuiba simu tatu ambapo mbili aliziuza kwa mkazi wa Kibamba na moja ameiuza kwa mtu anyeishi nje ya mkoa wa Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa Bw. Julius baada ya kumaliza mafunzo kwa vitendo ya uuguzi (nursing internship) amefanya kazi katika hospitali kadhaa za mkoa wa Dar es Salaam ambapo alifukuzwa kutokana na vitendo vya kukiuka maadili ikiwemo wizi.

Mtuhumiwa amefikishwa Kituo cha Polisi Gogoni kilichopo Kibamba kwa taratibu za kisheria.

Aidha uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili inapenda kuihakikishia jamii kuwa inayo mifumo imara ya kiusalama ya kuweza kubaini watu wote wanaoingia na kutoka hospitalini na ndio maana imeweza kumfuatilia mtuhumiwa huyu na kumkamata.
 
View attachment 3187027

good job Hospitali kwa kumdaka kibaka! endeleeni kuimarisha mifumo ya ulinzi. pia hakikisheni mnaenda kutoa ushahidi mahakamani ili kibaka akalime magereza miaka 7.
 
Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imemkamata Bw. Steven K. Julius kwa tuhuma za wizi wa mali za wa wagonjwa ikiwemo simu za wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo kwa kujifanya ni mwajiriwa wa Muhimbili Mloganzila kwa cheo cha Afisa Muuguzi.

Baada ya mahojiano Bw. Julius amekiri kuiba simu tatu ambapo mbili aliziuza kwa mkazi wa Kibamba, na moja ameiuza kwa mtu anyeishi nje ya mkoa wa Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa Bw. Julius baada ya kumaliza mafunzo kwa vitendo ya uuguzi (nursing internship) amefanya kazi katika hospitali kadhaa za mkoa wa Dar es Salaam, ambapo alifukuzwa kutokana na vitendo vya kukuika maadili ikiwemo wizi.
1735392641646.jpg

Mtuhumiwa amefikishwa Kituo cha Polisi Gogoni kilichopo Kibamba kwa taratibu za kisheria.

Aidha uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili unapenda kuihakikishia jamii kuwa inayo mifumo imara ya kiusalama ya kuweza kubaini watu wote, wanaoingia na kutoka hospitalini na ndio maana imeweza kumfuatilia mtuhumiwa huyu na kumkamata.

-------------------------------------------
Najiuliza kaa sauti ya kinyonge tu, je wizi wa namna hii ni wizi wa kawaida au ndo watu wanatafuta laana kwa lazima? Mshana Jr ebu type ABC kuhusu hili tukio maana sidhani kama ni jambo la kawaida.
 
Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imemkamata Bw. Steven K. Julius kwa tuhuma za wizi wa mali za wa wagonjwa ikiwemo simu za wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo kwa kujifanya ni mwajiriwa wa Muhimbili Mloganzila kwa cheo cha Afisa Muuguzi...
Nchi imefika mahali Haina mwenyewe!
 
Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imemkamata Bw. Steven K. Julius kwa tuhuma za wizi wa mali za wa wagonjwa ikiwemo simu za wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo kwa kujifanya ni mwajiriwa wa Muhimbili Mloganzila kwa cheo cha Afisa Muuguz,,,.
Ccm ni wapumbavu sana
 
Back
Top Bottom