wizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Uhalifu Kawe na Mbezi Beach Mamlaka za Usalama chukueni hatua

    Jeshi la Polisi Napenda kutoa taarifa kuhusu eneo la Kawe na Mbezi Beach, maarufu kama "Makazi Mapya," ambalo limekuwa kimbilio la wahalifu. Eneo hili linatumika kama maficho ya wahalifu wanaovuta bangi na kuuza madawa ya kulevya. Aidha, kuna shughuli za uchimbaji wa mchanga zinazoendelea...
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Makato Equity bank ni wizi wa wazi

    Kununua bidhaa online au Kutoa pesa Kwa Kadi ya ATM Equity utajuta kuwajua nilitoa pesa kwa visa Sydney, Australia naona makato yamekuja 110,000 TSH. NB: Eeh ndugu usijaribu kutumia Kadi pendwa toka Equity bank
  3. Abdulrahmanyusuph03

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Dola Milioni 4.4 Ulioitikisa Taifa La Zimbabwe Wiki iliyopita

    Zimbabwe Alhamisi iliyopita, wezi waliiba dola milioni 4.4 kutoka tawi la benki ya Ecobank huko Bulawayo katika tukio ambalo linadaiwa kuwa wizi mkubwa zaidi wa benki katika historia ya Zimbabwe. Uhalifu huu wa ujasiri umekamata fikra za taifa, na vyombo vya habari vya ndani vimejaa maelezo ya...
  4. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Utapeli na wizi wa wachungaji ni marudio ya wamisionari wa kale

    Tunasikia vilio na malalamiko kuhusu wachungaji wenye kuwatapeli waumini wao na wasio waumini wao. Wenye kuamini miujiza ila utapeli huo wa kisasa zaidi mchungaji anatoa chupa ya maji na udongo ,wewe unampa pesa. Ukirudi nyuma utapeli huu haukuanza leo ulianza kale wamisionari...
  5. M

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO nalia na nyie! Mmehalalisha wizi kupitia makato ya kodi ya pango

    Jamani, Tanesco, nalia na nyie! Mtatutoa roho nyie. Yaani mtu unanunua umeme wa shilingi elfu 20, unapewa umeme wa shilingi elfu 10? Hivi nyie mna matatizo gani? Iko hivi, juzi umeme kwangu uliisha usiku, nikasema ninunue umeme wa elfu 5, ukagoma. Nikajua labda pesa haitoshi, nikiongeza elfu...
  6. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Wizi Ndani ya Kanisa la WASABATO: Kiko Wapi Sasa? Maana Mnajiona Kama Ndugu wa Musa, Eliah na Yesu

    Kwa kusali Jumamosi tofauti na Madhehebu mengine na wanawake wao kutovaa hereni na kutengeneza nywele wanajifanya ni watakatifu sana. Kumbe hawana lolote. Ona wizi wa mamilioni hapa
  7. J

    JamiiForums Tanzania Anayejua namna ya kukomesha huu wizi wa Swift fund app naomba anisaidie

    Kuna hii app ya mikopo ya online, inayoitwa Swift Fund, hawa ni wezi kabisa.. Unakopa, wakati wa kulipa wanakutumia link, unalipa, na Deni lako linaendelea kuwepo, hakuna kinachobadilika! Unamaliza deni, wa naendelea kukusumbua kila siku, na kila siku anakupigia mtu mpya, wanakuchafua kwa...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Emmanuel Kalungwana kortini kwa wizi wa Mita za Maji za DAWASA

    Emmanuel Kalungwana mkazi wa Mbezi Africana, amefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kujibu shtaka la kuingilia miundombinu ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ambalo ni kosa la uhujumu uchumi Kalungwana amefikishwa Mahakamani hapo na kusomewa shtaka...
  9. oko majimaji

    JamiiForums Tanzania Hivi hii tabia ya wizi ni kwa watanzania tu au duniani kote

    Natumai wazima. Unakuta kijana kaangaika miaka kibao kutafuta ajira tena na maombi ya kutosha kwa Mungu lakini baada tu ya kupata ajira anaanza kuangalia mwanya au udhaifu upo wapi ili apige na yeye akanunue kigari atambe mjini alafu wenyewe wanaita et marupurupu wakati huu ni wizi. Hii tabia...
  10. vnn

    JamiiForums Tanzania Processing fee ya mikopo ya benk ni wizi uliokaliwa kimya

    .
  11. milele amina

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Kadi za Malipo ya Wizi katika Malipo ya Serikali ni nini kifanyike?

    Matumizi ya kadi za malipo katika mfumo wa malipo ya serikali ni hatua muhimu kuelekea kuboresha uwazi na ufanisi katika usimamizi wa fedha za umma. Hata hivyo, tatizo la wizi wa kadi za malipo limekuwa kikwazo kikubwa katika kufikia malengo haya. Kadi hizi zinapotumiwa vibaya, zinachangia...
  12. Influenza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: CHADEMA ikiondoka kwenye misingi iliyonifanya nijiunge nacho, nitaondoka. CHADEMA siyo mama yangu wala dini yangu

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA- Bara, Tundu Lissu amsema iwacha CHADEMA itaacha misingi yake ailiyomfanya ajiunge na chama hicho basi ataondoka katika chama hicho na sio dhambi kufanya kuvyo kwani Chama cha Siasa sio mama yake wa dini yake Akizungumza kupitia Mtandao wa Clubhouse amesema "Mwalimu...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Njia za kuzuia wizi kwenye Biashara yako

    Njia za kuzuia wizi kwenye Biashara yako. Wizi ni miongoni mwa vitu vyenye kurudisha sana nyuma Biashara zetu. Kuweza kudhibiti wizi kwenye Biashara sio kazi nyepesi kabisa. Lakini unatakiwa kupambana sana mpaka ukae sawa kwenye Biashara yako. La sivyo wewe utateseka kisha wafanyakazi wako...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Watanzania na Wizi wa Miavuli, au majini ndo yanaiba?

    Salaam Wakuu, Unakuta mtu kila msimu unanunua miavuli miwili au Mitatu. Lakini yote huwezi jua hatima yake. Watu gani wanaiba miamvuli Tanzania? Wanaifanyia kazi gani? Kila nikinunua Mwavuli huwa sijui unaenda wapi. Na kila ninaye muuliza anasema hata yeye kapoteza au kasahau sehemu. Je...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya tigo Internet, ndio vinaisha kwa kasi kiasi hiki au ni wizi?

    Jana usiku niliweka kifuruahi cha siku 7 cha net, sma na dakika ambapo nilipara MB 400 na nilitumia zaidi ku-browse ila nashangaa muda huu net imeanza kususua na kuangalia salio naona zimebaki MB 19 na point. Sasa najiuliza hii speed ya bando kwisha ni haki au ni wizi? Sidhani hata kama...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wizi wa udanganyifu wa tiketi katika SGR umenikumbusha walafi enzi za shule. Hakika "samaki mkunje angali mbichi"

    Katika shule za secondary nilizosoma nyama na wali vilikuwa vyakula adimu sana hivyo siku vikipikwa ilikuwa ni harakati kubwa mithili ya "survival for the fittest". Nyama ilikuwa inapikwa mara mbili au mara moja kwa wiki, hivyo pia kwa wali. Watu wengi ambao walikuwa wanaonekana wastaarabu siku...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Ili jamii iweze kuendelea kiuchumi, wizi ni lazima. Efficient Market Mypothesis (EMH) haipo na wala hai-exist

    Ukiona rais anayeingia madarkani anasema atakomesha wizi huyi ni mwongo wala ukweli haumo ndani yake. Hata Mungu amesharuhusu wizi pale aliposema mwenye nacho ataongezewa na asiyenacho hata kile anachoamini anacho atanyanganywa (ataibiwa)
  18. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Asiyepiga kura hana haki ya kuhoji wizi wa kura, tujitokeze 2024 na 2025 kupiga kura na kuzilinda

    Salaam, Shalom!! Nachukua wasaa huu kuwaamsha wote waliokata tamaa, wote walioapa hadharani kuwa hawatashiriki kupiga kura wengine wakachoma kadi za kupigia kura, baada ya matumaini Yao ya kumuona ndugu Edward Lowwassa anakuwa Rais wa nchi 2015 kupotea. Uchaguzi wa 2020 pia ulichagizwa na...
  19. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Sababu Kanda ya Ziwa kuwa kinara wizi wa watoto

    Mnatia aibu kina Ngosa madhara ya kudharau elimu ndio haya mnatia aibu taifa letu. Najua itawagusa lakini huo ndio ukweli watani zangu Acheni ujinga huu mungu amewapa utajiri wa asili utumieni ila shule nayo ni muhimu sana Chanzo cha kichwa cha habari ni gazeti la mwananchi la leo
  20. B

    JamiiForums Tanzania TANESCO hiki mnachofanya tuite wizi, ukwapuaji, unyang'anyi, au uhujumu uchumi

    TANESCO kwa nini mbona mnakwapua pesa za wanyonge bila huruma. Mwanzo wananchi walipiga kelele kuwa mmepandisha kodi ya jengo kutoka 15,000/= hadi 2,000/=lakini mlikuja kukanusha huku ukweli mkiujua. Sasa hivi kuna uhuni unaofanywa wakati wa kununua umeme kuliko hapo awali. Sasa hivi karibu...
Back
Top Bottom