Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,327
- 24,203
Unapata ujumbe huu kwamba tayari umeinganishwa na matandao wa Playinc., na unakatwa ths 200/= kwa siku.
Ujumbe uko hivi:
"VODACOMLIVE
Hongera! Umeunganishwa na Playinc, Tembelea playinc.com/tz bure siku 3 kisha utatozwa Tsh200/siku. Kujiondoa tuma neno ONDOA Playinc1 kwenda 15599"
Mtu huna interest na mziki, hujaomba kuunganishwa na tayari wamesha kutia shs 200 siku hiyo.
Vodacom ina wateja wengi, kwa hiyo kama wame target siku hiyo wateja wao milioni 5, basi aameshawaibia toka account zao wote BILIONI 1 KWA SIKU.
HUU NI WIZI WA MCHANA
TCRA na wizara ya mawasiliano naomba msilale.